bandari

  1. JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja bandari kavu kwala

    Kiwanja kipo karibu na mnada wa mifugo na bandari ya kwala Ukubwa mita 64 x70 Bei milioni 3.5 Contact 0678804442 Eneo ni langu sihitaji dalali
  2. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Bandari ya Mtwara Waleta Matokeo Chanya

    UWEKEZAJI BANDARI YA MTWARA WALETA MATOKEO CHANYA Naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi ( Sekta ya Uchukuzi) Mhe. Atupele Mwakibete, amesema uwekezaji wa zaidi ya shillings bilioni 157.8 uliowekwa katika maboresho ya Bandari ya mtwara umeanza kuleta matokeo kwani kumekua na ongezeko la shehena na...
  3. JamiiForums Tanzania Maboresho ya bandari yanavyovutia wateja wapya

    MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA), imeendelea kufanya maboresho makubwa katika Bandari ya Dar es Salaam. Maboresho hayo yamechangia kuongeza ufanisi ikiwa ni pamoja na ongezeko la meli, shehena na kuvutia wateja wapya zikiwemo nchi jirani. Akizungumza, Mkurugenzi wa Bandari Mrisho Mrisho...
  4. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mhe. Atupele Mwakibete Awaagiza TPA Bandari Kwala Ianze Kazi

    NAIBU WAZIRI, MHE. ATUPELE MWAKIBETE AWAAGIZA TPA BANDARI KWALA IANZE KAZI Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Sekta ya Uchukuzi Mhe. Atupele Fredy Mwakibete ameiagiza mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA) kuhakikisha inaanza kutoa huduma kwa kutumia Bandari Kavu kwa kuanza na Bandari ya...
  5. JamiiForums Tanzania Eti unajenga bandari ya Karema Ili upunguze Malori Tunduma, kwa Jiografia ipi hiyo?

    Hawa wanaopanga na kufanya hii miradi Huwa wanajua wanachokifanya au wanakurupuka tuu? Yaani Mizigo Mingi inayopita Tunduma inaenda DRC(Lubumbashi), Zambia na Zimbabwe ambako route Yao fupi ni via Tunduma.. Sasa inawezekanaje mizigo itoke Dar iende Karema then ivuke Ziwa itafute Barabara ndio...
  6. JamiiForums Tanzania Wizara yamshukuru Rais Samia Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa

    Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Profesa Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi Bilioni 266.7 kugharamia ujenzi wa mradi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko mkoani Lindi. Profesa Shemdoe amesema bandari hiyo ya uvuvi ikikamilika itakuwa msaada...
  7. JamiiForums Tanzania Uhujumu wa Bandari yetu

    Kuna hujuma ya kupunguza mapato ya nchi dhidi ya sheria tata za pollice wetu, baada ya hizi ajali za mara kwa mara police wameweka sheria hizi gari za IT kutokubeba mtu zaidi ya dereva tu. Sasa unakuta mtu anakuja kuchukua gari yake, hapohapo afanye shopping, aje na mkewe au mtoto wake, atakua...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa ufafanuzi wa uhamisho kutoka Halmshauri kwenda Mamlaka ya Bandari

    Habari wana JF, Pasipo kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtumishi kwenye Halmshauri X, nimeajiriwa kama afisa mtendaji, ila kwa bahati mzuri nina diploma ya shipping and port operation management pale Bandari College sasa lengo langu...
  9. JamiiForums Tanzania Viti bandari ya Unguja vibovu, mazingira pia machafu, mamlaka hamuoni hiki kinachoendelea?

    Nimekuwa na kawaida ya kusafiri kwenda Zanzibar mara kwa mara, kuna hili jambo limekuw alikinikera naona leo nilitolee povu, ni kuhusu baadhi ya viti vinavyotumiwa na abiria kusubiri muda wa kuanza safari. Hali ni mbaya, viti kadhaa vimeharibika na mamlaka zipo kimya tu, sometimes pia maeneo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Uelekeo mpya wa bandari, Kampuni ya TICTS yakabidhi rasmi mikoba TPA

    UELEKEO MPYA BANDARI Kampuni ya TICTS yakabidhi Rasmi mikoba TPA ‘’Tunapenda kuwahakikishia kwamba Bandari ya Dar es salaam itaendelea kutoa huduma za hali ya juu kama ambavyo zilikuwa zikitolewa na kampuni ya TICTS lakini pia kuzipeleka juu zaidi ya zilivyokuwa zikitolewa’’. Alisema Mbossa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Bandari inatosha kuendesha uchumi, tunahitaji maamuzi ya kimapinduzi tusirudie yale ya TICTS

    TANZANIA imekuwa kiungo muhimu kwanchi zisizokuwa na bandari katika ukanda wa Afrika mashariki na kati. Bandari zake za Dar es Salaam, Tanga naMtwara zimekuwa lango muhimu la bidhaa na biashara kwa nchi za Zambia, Zimbabwe, DRC, Malawi, Burundi, Rwanda na hata Uganda. Hivi Karibuni nikiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TPA

    POST SECURITY ASSISTANT – 5 POST POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION LEGAL EMPLOYER Tanzania Ports Authority (TPA) APPLICATION TIMELINE: 2022-03-29 2022-04-11 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To assist in preparation of roster and supervises Security guards for general security...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa Utalii ashauri bandari ya Dar, Zanzibar ziboreshe huduma ili kuongeza watalii

    Ushauri umetolewa kwa mamkala za bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar kuzingatia ubora wa huduma wanazotoa ili kutengeneza mazingira mazuri ya utalii kwa kuwa kufanya hivyo kutaongeza soko la tasnia hiyo pamoja na kuongeza kipato kwa watu binafsi na Serikali kwa jumla. Ushauri huo umetolewa na...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Bandari ya Bagamoyo na uwanja wa ndege wa Msalato ni miradi isiyo na faida?

    Tanzania tumejariwa utajiri wa rasilimali madini,gesi asilia na mafuta,utajiri huu ni kinyume na maisha halisi ya wananchi wa Tanzania, nje ya mipaka ya Tanzania kuna soko kubwa la bidhaa mbali mbali zinazozalishwa nchini, tunahitaji uwanja wa kimataifa kwenye mji mkuu wa nchi ili kuweza kufanya...
  15. JamiiForums Tanzania Bunge laazimia Serikali ianze ujenzi wa Bandari Bagamoyo je haya waliyazingatia wabunge?

    BUNGE limepitisha azimio la kuitaka Serikali iharakishe utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bandarii ya Bagamoyo. Azimio la Bunge hili la Bunge kuhusu Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo limeazimia na Bunge lakini mradi haujawahi kuwepo. Azimio la Bunge kuagiza mradi huu utekelezwe haraka...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge anusa uozo bandari ya Tanga

    Wakati Bunge likijadili ripoti za kamati za Bunge kuhusu ubadhirifu uliofanywa na baadhi ya watendaji katika miradi mikubwa. Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Judith Kapinga ameishukia Mamlaka ya Bandari (TPA) kwa kile alichokiita uozo katika ujenzi wa bandari ya Tanga. Hoja za wabunge ziliibuliwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge acharuka Tsh. Bilioni. 64 kutafunwa ndani ya siku 1

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Judith Kapinga, ameliibua bungeni sakata la kutafunwa Sh. bilioni 64.3 kwenye Bandari ya Tanga baada ya kutolewa kwa zabuni iliyogubikwa na utata, akitaka hatua zichukuliwe dhidi ya wahusika ili kuongeza uwajibikaji. Judith aliibua hoja hiyo jana alipochangia...
  18. JamiiForums Tanzania TPA yaruhusu rasmi magari kuhifadhiwa kwenye bandari kavu (ICDV) kupunguza msongamano

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeruhusu rasmi kuanzia tarehe 24 October 2022, magari kupelekwa kwenye bandari kavu za nje za kuhifadhia magari kwa ajili ya kupunguza msongamano wa magari ndani ya bandari ili kuongeza ufanisi. Chini ni tangazo rasmi kutoka website ya bandari na gazeti ya...
  19. JamiiForums Tanzania Uhuni: Korosho sasa kusafirishwa kwa malori kwenda bandari ya Dar es Salaam

    Wakazi wa Mtwara wamepigwa pigo takatifu baada ya kupata taarifa kuwa sasa ni rasmi Korosho hazita pitia bandari ya Mtwara. Utaratibu wa usafiri utakuwa hivi: 1. Mkulima atavuna korosho na kuzipeleka ghalani kungoja wanunuzi ambao hupatikana kwa njia ya mnada. 2. Baada ya Korosho kununuliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ujenzi Bandari ya Bagamoyo kuanza mwakani

    Serikali inatarajia kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo katika mwaka ujao wa fedha 2023/24, ikiwa itafikia makubaliano na wawekezaji kuanza kazi kabla ya muda huo. Wazo la ujenzi wa bandari wa Bagamoyo lilianza wakati wa Serikali ya awamu ya nne ya Rais Jakaya Kikwete. Hata hivyo, Serikali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…