bandari

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hili la Bandari zetu kubinafsishwa kwa muda na 'conditions' ambazo hazijulikani, tuviachie vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama

    Asalaam Aleykum wana jamvi, Ama baada ya salamu hizo nidondoke kwenye mada tajwa hapo juu. Kiukweli suala la kubinafisha (??!kumilikisha) Bandari zetu, ni suala ambalo limeibua hisia za Watanzania wengi wazalendo wa dhati (na wasio na uzalendo wa dhati). Ni suala ambalo kwa kweli kwa kila...
  2. JamiiForums Tanzania Mdude Chadema amvaa Nape amwambia aache kutisha watu. Kuuza bandari isiwe sababu ya kutisha watu

    Mdude Chadema: Yani mkodishe bandari kwa makataba wa milele halafu mtutishe na juu? Jaribu uone Nape. Utashugulikiwa na huyo SSH unayeamini ndio god-father wako hatakusaidia. Unamtisha nani wewe mwoga wa taifa? Sisi tutaendelea kupambana kuhakikisha bandari zetu zinarudi katika mikono salama.
  3. JamiiForums Tanzania Kwenu Wazee Wa Dar: Bandari unaenda hiyoo

    Wazee wa Dar walikuwa na nguvu sana enzi hizo. Nakumbuka Tibaijuka aliondolewa uwaziri kwa nguvu zao. Hili la Bandali mnalionaje? Mnataka Bandali iende tuu ? NB. Ni marufuku mtu kulinganisha mkataba wa bomba la mafuta na Bandari. Bandari ni yetu na mafuta sio yetu
  4. JamiiForums Tanzania Kama ulikubali na unakubali siasa za Hayati Magufuli hupaswi kuukosoa mkataba wa Bandari

    Magufuli ndio aliharibu uchaguzi wa 2020 akatuletea mabumunda mjengoni sasa leo wanapitisha mikataba ya kipopoma mnapiga kelele. Athari za utawala mbaya wa magufuli zitadumu kwa miaka mingi sana. Wote mnaoshadadia siasa za hayati Magufuli hamna moral authority ya kuukosoa upopoma wa wabunge na...
  5. JamiiForums Tanzania Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" kuhusu jambo lolote lenye maslahi makubwa kwa taifa letu liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii. Mada ya leo ni kuhusu makubaliano ya kiserikali, IGA ambapo Bunge letu tukufu, limeridhia...
  6. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Watanzania hawapingi uwekezaji wa Bandari, wanataka Mikataba iwe Mizuri

    "Chama cha Mapinduzi (CCM) kilibadili mwelekeo wa kisera za kiuchumi na kisiasa miaka ya 90's, mojawapo ya mabadiliko ya kisera za kiuchumi na kibiashara ni kuachana na Serikali kuhodhi nyenzo za uchumi kama ilivyokuwa hapo kabla"- Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Mbunge wa Jimbo la Ubungo "Miaka ya...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania msiogope suala la Bandari, Marekani yupo pamoja nasisi atatusaidia

    Kwema ndugu zangu, Kama mjuavyo viongozi wetu wakeamua kutupotezea sisi tuliowapa mamlaka ya kusimamia mali zetu badala yake wameamua kuuza bandari yetu. Ila kumbukeni kiranja wa Dunia ni marekani na wana balozi zao na CIA ipo hapa nchini so kila kitu wana taarifa na wanajua effects zake hapo...
  8. JamiiForums Tanzania Sijaona Mbunge wa CCM anaetoa angalizo kwenye makubaliano ya Bandari na DP

    Kunapo kuwepo na makubaliano ya pande mbili hususani katika minority point of view. Tulitegemea Bunge liwe sehemu ya wabunge kuchambua maelezo ya makubaliano na kuyawakilisha kwa niaba ya wananchi. Lakini cha kusikitisha, leo katika bunge, wabunge wote wa CCM kujikita katika kusifia, ku attack...
  9. R

    JamiiForums Tanzania TLS, CHADEMA na wote wanaoipenda Nchi yetu, lipelekeni mahakamani suala la Bandari zetu

    Kama inawezekana, lipeleke mahakamani hata kama mahakama zinaweza kuwa na kigugumizi kutoa haki kwa uhuni uliofanywa na magufuli a below (Public interest litigation) Tanzania’s parliament has fast-tracked a legal amendment that threatens to severely restrict the capacity of independent rights...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai alisema itauzwa. Tusibiri kinachofuata baada ya bandari na Loliondo

    Spika aliyelazimishwa kustaafu kwa kusema ukweli au kutabiri yajayo akalazimishwa kustaafu chini ya mtutu wa Bunduki. Haya bandari tushauza. Ngoja tukauze na shamba letu la Bagamoyo
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya Tanzania na DP World: Kuongeza Ufanisi, Ajira, na Kuvutia Wafanyabiashara

    Mageuzi katika bandari kupitia ushirikiano na DP World yataleta mabadiliko muhimu ambayo yataleta faida kubwa kwa uchumi na biashara. Baadhi ya faida hizo ni: 1. Kupunguza muda wa ushushaji wa makontena kutoka siku 4.5 hadi siku 2: Kabla ya mageuzi hayo, mchakato wa ushushaji wa makontena...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kumilikisha bandari kwa wageni kunaathiri maslahi mapana ya kiusalama na kiuchumi ya nchi

    Jana alijitokeza yule bush doctor kwenye vyombo vya habari akishambulia ufanisi duni wa bandari kama kigezo cha kumuuzia mwarabu na kwamba mapato yatokanayo na bandari ni pesa kidogo sana. Lakini huyu bush doctor ameshindwa kutambua kuwa tatizo la nchi hii siyo mapato bali ni ufisadi...
  13. JamiiForums Tanzania Huku tunaojali na Kuipambania Tanzania yetu na Bandari Wasiojali na Vibaka wako Jangwani muda huu

    Huku tunaojali na Kuipambania Tanzania yetu tukiwa busy Kuiokoa Wasiojali na Vibaka wako Jangwani muda huu Hakika Asali ya Shilingi Milioni 20, Asali ya Ndege Uarabuni, Asali ya Mapochopocho Magogoni Big House na Ndege Umbeyani imewafanya wasiwe na Uchungu wa kutaka kujua lolote lihusulo...
  14. JamiiForums Tanzania Maoni ya Kamati Kuhusu Azimio la Bunge Kuridhia Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai Kuhusu Ushirikiano wa Uendelezaji na Uboreshaji Bandari Tanzania

    MAONI YA KAMATI YA PAMOJA KUHUSU AZIMIO LA BUNGE KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI TANZANIA LA MWAKA 2023 SEHEMU YA KWANZA...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Uendeshaji wa Bandari zetu

    Je mkataba unaojadiliwa Bungeni kuhusu bandari zetu ni huo huo uliopo mitandaoni au mwingine? Je ni kosa kwa wananchi kujadili mkataba huu? Je wabunge wamejikita kiasi gani kwenye mada iliyopo mezani mfano vifungu vya mkataba na adhari ( + or -)zake kwa Taifa.
  16. JamiiForums Tanzania Mchezo umekwisha, kila mbunge anaona ni sawa kwenye hili la bandari

    Kila aliyepo bungeni leo hadi spika wanaona ni sawa DP world kupewa bandari, na hakuna kipengele tata kwenye mkataba( makubaliano kama wanavyoita) yaani vifungu vyote vipo sawa tu, hakuna hata mmoja anayena kuna tatizo hata moja. "Uchangiaji waoleo upo hivi, Serikali ina njema na nchi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe hamaanishi anachokisema kwenye sakata la bandari

    Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Mbowe ameonesha na kuthibitisha kuwa sasa yeye ni mlamba asali ya Ikulu aliyekubuhu. Hili limethibitika hivi karibuni alipojaribu kujadili sakata la bandari ambapo badala ya kujadili hoja iliyopo meza na faida na hasara zake kwa umma na nchi kwa ujumla yeye...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Msigwa: hakuna bandari iliyouzwa kwa miaka 100 na hakuna bandari itakayouzwa Tanzania

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amekanusha upotoshaji mkubwa unaoendelea katika mitandao ya kijamii kuwa bandari za Tanzania zimeuzwa kwa kampuni ya DP World kutoka Dubai kwa miaka 100 na kusema jambo hilo halina ukweli wowote. Akizungumza na waandishi wa habari wa kimtandao (JUMIKITA)...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi wabunge kutoka Zanzibar kushiriki kuamua hatma ya bandari za bara katika Azimio linaloendelea?

    Makamu wa Rais Zanzibar ameeleza vyema kwamba mkataba huu haifiki Zanzibar, means unaishia Tanganyika. Bunge la Muungano lina wabunge wa majimbo kutoka Zanzibar pamoja na baadhi wa kuteuliwa jambo ambalo linaleta mkanganyiko unapotaka kutoa maamuzi kuhusu Tanganyika. Leo mjadala hafifu...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Mkataba DP World, Bandari ya Mangapwani, Daraja la Zanzibar: Miradi hii ina uhusiano?

    Zanzibari wana mpango wa kujenga bandari kubwa kuliko zote Africa Mashariki. bandari hii haiwezekani kama Zanzibari haina mzigo wa kutosha. Mzigo wa Zanzibari peke yake hautoshi kujenga bandari kubwa Zanzibari. Lakini Zanzibari ikiwa na uhakika wa kuhudumia mizigo ya Tanzania bara pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…