bandari

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe aendesha zoezi la kupiga kura ya wazi juu ya hoja ya Bandari akiwa Nyehunge Geita

    Baada ya zoezi Hilo la kupiga kura ya WAZI, Matokeo ni kuwa, Wananchi wote wameazimia Kwa pamoja kuwa Bandari zetu haziuzwi, hazikodishwi Wala kugawiwa Bure. Pia wananchi wameweka mikono kichwani na kupiga ukunga/nduru na kulia uwi! Hii ni Ishara kuwa, wananchi wanachukizwa na jaribio lenye...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya suala la bandari kupita huku kinachofanyika ni kelele tu hakuna la kubadirika

    UTANGULIZI rais Samia ameshasema yeye atajibu kwa vitendo na pia Kuna fununu kuwa hata wasaidizi wake wameambiwa wasijibu maana hakuna kurudi nyuma tena KIHISTORIA Hakuna jambo liliwahi kushindikina kimvuatano Kati ya CCM na upinzani na upinzani ukashinda kama lipo litaje ? Hakuna taasisi...
  3. JamiiForums Tanzania Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana ====== MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Operesheni +255 CHADEMA & Rejesha bandari zetu: Kesho tarehe 2/8/2023 Tundu Lissu ndani ya Chato, Geita...

    Leo mzee wa kuwachapa za uso na za kichwa tu, Tundu Lissu - Makamu Mwenyekiti CHADEMA (Taifa) leo tumefungia siku katika mji mdogo wa Mbogwe. Kesho J'tano tarehe 2/8/2023 operesheni inaingia Wilaya Chato mkoani Geita na Tundu Lissu atahutubia mkutano mkubwa katika mji wa Chato na ratiba...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuruhusu watu wajadili mkataba wa bandari tayari ni legacy

    Habari wanaJF. Nimepata wasaa mzuri wa kutafakari haya mambo ya bandari na huu mchuano unaendelea kati ya wanaosapoti mkataba na wanaopinga. Kwa vyovyote itakavyokuwa lazima tukubali kwa mara ya kwanza tumepata Rais anayependa ukweli na uwazi kwa vitendo. Haijawahi tokea wananchi wakajadili...
  6. JamiiForums Tanzania Ufanyike mdahalo (Debate) kumaliza utata kuhusu Bandari

    Kwema Wakuu? Kwa sasa MAIN TOPIC au AGENDA nchini ni swala la Bandari. Kuanzia ma ofisini, majumbani, vijiweni, kwenye daladala, bar hizi story zimetapakaa. Kila mmoja anazungumzia issue za bandari kwa muktadha wake. Wapo wanaoihusisha Bandari na dini, utanganyika v/s uzanzibar, kuibiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Bandari na unafiki wa Watanganyika

    Wana Jukwaa Ama kweli akili ni mali na ujinga ni adui! Watanganyika, watu wenye rasilimali asilia za kila aina, kuaniza ardhi kubwa ilimikayo, 60% ya ardhi hiyo binadamu hajawahi kuweka mguu wake, maadini mbali mbali yenye thamani kubwa sana dhahabu, almasi, shaba, chuma, tin, lithium...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa bandari na mkataba mzuri yote ni ya muhimu kwa Tanzania

    Naomba nitoa maneno machache hasa kwa wapotoshaji 1. Uwekezaji ni muhimu sana kwenye bandari yetu ya Dar na nyinginezo. 2. Mikataba yenye maslahi kwa taifa nayo ni muhimu sana kwa taifa letu. Hivyo badala ya kulumbana na wananchi serikali ishirikiane na wadau na wale wanao lalamikia mkataba...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

    Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili. Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti: 1. Mwabukuzi ni mchochezi. 2. Mwabukusi...
  10. JamiiForums Tanzania Atupele Mwakibete: Serikali haibinafsishi Bandari kwa mwekezaji, anakodishiwa

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete amesisitiza kuwa mkataba kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai siyo wa kubinafsisha, bali ni ukodishaji wa shughuli za uendeshaji kwa mwekezaji. Akizungumza jijini Mwanza Julai 30, 2023 wakati wa mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hayati Magufuli alisema ni kichaa peke yake anaweza kukubali mkataba wa miaka 99 bandari ya Bagamoyo

    Mimi nilikuwa namchukia sana Magufuli siwezi kumsingizia neno, "Magufuli alisema Mkapa na Kikwete wameuza nchi kwa mikataba mibovu akaanza kuivunja mikataba yote,tukashtakiwa" Tundu Lissu#MkutanoOkoaBandariZetuNyakanazi. "Magufuli alisema awa Wazee wameharibu sana nchi,tukamwambia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Wanaopinga Mkataba wa Bandari ni wivu tu

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza Amos Makalla amesema wanaopinga uwekezaji wa bandari za Tanzania hawana maono na maendeleo yanayoletwa na serikali. Akizungumza wakati wa mkutano unaofanyika jijini Mwanza amesema uwekezaji huo utasaidia katika usafirishaji wenye urahisi wa mizigo mbalimbali kupitia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukiendelea kujibizana na hawa wapumbavu kuhusu uwekezaji wa Bandari utapoteza mwelekeo na utapoteza muda

    Mama yangu Rais Samia kwanini mkataba moja huu wa bandari utumie nishati kubwa namna hii. Huu ni mkataba moja tu je utaweza kufanya chochote km kiongozi mkuu wa nchi? Nachoogopa kwa kuwa uelewa wa watu bado ni mdogo ndio mtawachanganya zaidi. Bunge limeshapitisha, na bunge ni wawakilishi wa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika kumaliza mgogoro wa mkataba wa bandari nchini Tanzania

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUMALIZA MGOGORO WA MKATABA WA BANDARI NCHINI TANZANIA Utangulizi Katika juhudi za kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii, serikali na taasisi za umma hufanya mikataba na wawekezaji ili kuvutia uwekezaji na kuleta maendeleo katika nchi. Hata hivyo, mikataba...
  15. JamiiForums Tanzania Kizuri kinajiuza,kibaya kinajitembeza.Hili la Bandari CCM mnajitembeza.

    Ukweli ni kwamba, Kama kuna kitu kimewapa Hali ngumu CCM na Rais kwa ujumla basi ni hili Sakata la bandari. CCM kwenye corridor nakutana nanyi na uzuri ni kwamba baadhi yenu mnakiri kabisa kwamba kwa hili tumeingia chaka na hatujui hatima yake hasa 2025. Baadhi mnakiri kabisa tuna wakati mgumu...
  16. JamiiForums Tanzania Watu wanasema Tundu Lissu hana shukrani!Je Shukrani ni kutoa sadaka bandari za Tanganyika kwa Mwarabu?

    Shukrani kuangalia Wazanzibar wakitoa sadaka bandari za TANGANYIKA na miundombinu yake yote kwa wajomba zao DPW ??? Huku bandari zote nane za Zanzibar kule pemba na unguja zikiwa hazipo kwenye mkataba TATA kama kweli ni mzuri wema huo wa wazanzibar kwa Tanganyika umeanza lini ?? Yaani maendeleo...
  17. JamiiForums Tanzania Mikataba ya Bandari na DP World, SGR imeanza kuwanyima usingizi CCM

    Mkataba wa usimamizi wa bandari kati ya Tanzania na kampuni ya Dubai unampa Rais Samia Suluhu na Chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukosa usingizi usiku huku upinzani ukiendeleza kampeni za kuibua hisia za kisiasa. Na kabla ya mzunguko ujao wa uchaguzi utakaoanza mwaka ujao, Rais ambaye...
  18. JamiiForums Tanzania CCM yaamua kutuma meseji kwa kila Mtanzania kuwakataa wanaopinga mkataba wa kuuzwa kwa bandari zetu

    Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari limezika Nyota ya Rais Samia kabisa!

    Wanawake wengi walikuwa ukiongea nao walikuwa hawampendi kabisa huyu Mama yetu! Nilikuwa najiuliza why? Lakini sasa Mama ametutibua hata na sisi wagawa urithi (Wanaume)! Yaani anataka watoto, Wajukuu na vitukuu wetu wazaliwe wakute wao tayari ni manamba kwenye Nchi yao! Wananchi tusikubali...
  20. F

    JamiiForums Tanzania "Dot connecting Intelligence" na Sakata la Bandari zetu!

    1st Dot: DP World Foundation hata kabla Watanzania hatujajua mkataba uliosainiwa wa kupora Bandari zetu wakakimbilia Mbeya kugawa Futari mwezi mtukufu wa ramadhani uliopita. 2nd Dot: DP World Foundation wamekiri wazi kuwa specifically walichagua mikoa miwili ya kugawa "Futari" zao, kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…