bandari

  1. JamiiForums Tanzania Human Rights Watch: Tanzania inakandamiza Wakosoaji wa Mkataba wa Ubinafsishaji Bandari

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema Mamlaka za Tanzania zimewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania Mkataba huo utaruhusu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa rais Mbeya kesho kwenye 8-8 ndio kumeahirisha hukumu ya kesi ya Bandari?

    Salam wakuu, Wengi wanajua kuwa leo Mahakamani hapo Mbeya kulipaswa kusomwa hukumu ya kesi inayovuta masikio na hisia za watu wengi, ambayo imetunguliwa na mawakili wa nne wakujitegemea dhidi ya Jamhuri (AG) na Bunge pia kupitia Katibu wa Bunge. Historia ya kuibuka kwa shauri hili...
  3. JamiiForums Tanzania Mbeya: Hukumu ya kesi ya kupinga Mkataba wa Bandari yaahirishwa, sasa kusomwa Alhamis 10/8/2023

    Hii ndio taarifa ya sasa iliyotolewa Mahakamani hapo, na kwamba kuahirishwa huko kumetokana na dharula iliyompata Mwenyekiti wa Jopo la Majaji. Usiku wa deni hauchelewi, Alhamisi siyo mbali. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Mkataba wa bandari Baraza la Mawaziri tuliusoma na kuuelewa

    Nimekusikia sasa hivi katika matokeo ya wiki ITV ukiwa Mwanza unaongea na wakulima kuwa kuna watu Kule Kagera walisema Baraza la Mawaziri hatujausoma mkataba. Ukasema ni waongo tuliusoma, tukauelewa vizuri. Kama mliusoma mkaupitisha, basi akili zenu ni MATOPE. Hatuna nchi nyingine ya kwenda...
  5. JamiiForums Tanzania Huu si upotevu wa fedha - Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweka tangazo DSTV

    Kama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inadai tumeshindwa kuendesha bandari, na hivyo DP World wanapewa waendeshe, kuna umuhimu gani wa TPA kuwa na tangazo DSTV, wakati hawana ufanisi na wanakwenda kuwaachia waarabu waendeshe? Naona tangazo lake likiunguruma Dstv channel 223.
  6. JamiiForums Tanzania Makuwadi wa kuuza Bandari wanajaribu kutusahaulisha kupitia michezo

    Ni wazi tena pasipo shaka mpango wa kuuza Bandari zetu kwa Waarabu wa Dubai umekutana na upinzani mkali. Kwakuwa majibu na shaka shaka juu ya ufisadi huu uliotukuka umekosa majibu Makuwadi wamekimbilia Simba Day. Napendakuwahakikishia kwamba suala la kugawa Bandari zetu zote halitazimwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Malema awashukia Viongozi wa Afrika Kusini kwa kuuza bandari ya Durban. Tanzania tujiangalie

    Kijana Machachari wa South Africa ameichana chana nchi yake kwa kuwaita watawala wajinga baada ya kuuza Bandari ya Durban kwa tamaa ya Pesa tu na haukuna kingine ikipita miaka kadhaa tunasema tumetawaliwa.. Viongozi wabovu wanashindwa kuongoza nchi wanaharibu mali za nchi kwa kulindwa kisha...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Meli ya Mirembe Judith kupunguza msongamano wa makasha bandari ya Dar es Salaam

    06 August 2023 UWEKEZAJI KATIKA MELI MIREMBE JUDITH KUCHOCHEA MATUMIZI YA BANDARI YA DAR ES SALAAM Meli yenye uwezo wa kubeba makasha 600 iliyobatizwa jina MIREMBE JUDITH inayomilikiwa na kampuni ya kitanzania itakuwa inafanya kazi ya transhipment baina ya bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar...
  9. JamiiForums Tanzania Bandari ni mali ya umma, wananchi tuna haki ya kuhoji

    Kwenye group Moja hivi member mmoja amenihoji naongea sana kuhusu Bandari kwani ni yangu? Kwa kweli nimechukia sana. Nina hasira sana naomba kushusha hasira zangu hapa. Jamani kitu ambacho hamjui Bandari ni mali ya umma maana yake umma ni Mimi na wewe ndio umma. Kwahiyo Tukihoji Maslahi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mwijaku na Baba Levo wakatazwe kuongelea habari za DP World na Bandari

    Napata hasira kali sana kuona hawa Makanjanja wakiongelea mambo nyeti ya nchi kwa ushabiki na mzaha. Hawa watu wamejaa ujinga na masihara inatia aibu kuona wanavyoongea na kujaribu kuelezea vipengele vya kisheria kuhusu mkataba huu ila hamna wanachojua aibuu tupu.
  11. JamiiForums Tanzania Tatizo la bandari ya Dar ni ufisadi uliokubuhu. Dubai hawana tatizo hili, sasa IGA inakujaje? Hata HGAs ni batili

    Hauhitaji kuwa mwanasheria kufahamu maana na dhana ya haya maneno ya IGA na HGA. Makubaliano ya taifa moja na taifa moja jingine au zaidi yenye nguvu za kisheria (legal binding), yanayohusu kushirikiana kutatua matatizo fulani yanayozikumba nchi zote husika yanaitwa Treaty. Maneno mengine...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Jopo la Wanasheria 10 kuwaburuza kortini wanaotumia lugha ya matusi katika mjadala wa Bandari

    Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama...
  13. JamiiForums Tanzania Je, wabunge wa CCM wenye akili wametishwa kutoa maoni mkataba wa Bandari?

    Habarini nyote, Kuna kila ishara ya wingu la utisho mkubwa dhidi ya wabunge wa CCM wenye akili ambao kwa hakika wanajua fika huo mkataba wa Bandari ni utopolo na umangungo mtupu. Na nadhani awamu hii huo utisho ni mithili ya mkondo wa maji ajali ya meli ya titanic. Hadi wabunge makini...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naomba Watanzania tujadili mazingira yenye utata kwenye Mkataba wa Bandari

    MAZINGIRA YENYE UTATA KUHUSU MKATABA WA BANDARI Kuna mazingira yenye utata mkubwa na yanayoibua hisia na maswali mengi kutoka hatua ya MoU, kusainiwa na kuridhiwa kwa mkataba huu wa IGA, nitaongelea vipengele vitano kama ifuatavyo. (a) Kampeni za wazi, Spika wa Bunge kuandaa ziara mwezi...
  15. JamiiForums Tanzania Je, hili la Bandari likoje?

    Mengi yamesemwa na kujadiliwa kuhusu Bandari, Wanasiasa wamesema yao, Wataalamu wa Sheria wamesema yao, Wabunge wamesema yao na hata Wananchi wamesema yao. Nimewasikia hata Viongozi wa dini wakisema yao. Hata hivyo katika kusikiliza hao wote nimekuwa nikitafuta msimamo ambao unaweza kututoa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hauwezi kununua bandari, tutakuwa wajinga kukataa uwekezaji huu

    MWEKEZAJI: HAUWEZI KUNUNUA BANDARI, TUTAKUWA WAJINGA KUKATAA UWEKEZAJI HUU Nazir Karamagi, mmoja wa watu ambaye ametajwa muda mrefu kuwa mmiliki wa Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Bandarini (TICTS), iliyokuwa ikifanya kazi ya kupakia na kupakua makontena ya mizigo katika Bandari ya...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia aitumie Simba Day kutuambia kwanini alisaini Mkataba mbovu wa Bandari

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo. Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma...
  18. JamiiForums Tanzania Taarifa ya 2022 ya ufanisi wa bandari duniani: Djbouti 26, Berbera 144, DSM 312 na Mombasa 326

    Djbouti 26- DP WORLD Berbera 144- DP WORLD, DSM 312- DP WORLD (analetwa), Mombasa 326-wabia wanatafutwa === President William Ruto's announcement of a raft of measures to improve efficiency will give the Port of Mombasa an edge over its biggest competitor, Dares Salaam. The measures include...
  19. JamiiForums Tanzania Vikao vya madiwani kuhusu uhamasishaji mkataba wa bandari

    Hivi hii nchi wapi inaelekea kwa sasa, serikali itwambie hii bajeti ya vikao vya madiwani nchi nzima ya kuwawezesha na kuwaelimisha ili waende kwa wananchi kuwaeleza na kuwashawishi kuhusu mkataba wa bandari wanaitoa wapi? Hata ivyo mimi naliwe najiuliza kunani kwenye mkataba huu hadi kufikia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Sababu kwanini ACT Wazalendo hawazungumzii mkataba mbovu wa bandari

    Leo nilikuwa na kiongozi mmoja wa kitaifa wa ACT ambaye amenitonya haya kuhusu ukimya wao kuhusu issue ya makataba wa bandari na DP World. 1. Mapema June walikuwa na mikutano ya chama wakizinguka maeneo mbalimbali ya nchi. Ni katika kipindi hicho suala la bandari lilikuwa linaanza kushika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…