bandari

  1. JamiiForums Tanzania Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr. Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?

    Wanabodi Juzi September Mosi Imetolewa taarifa ya Ikulu kumhusu aliyekuwa Balozi Dr. Wilbroad Slaa kufutiwa hadhi ya Ubalozi, taarifa hiyo ya Ikulu haikutoa sababu za kumfutia hadhi hiyo ya Ubalozi. Hatua hii imezua mijadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wengi waki speculates sababu za...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Siko tayari kuhongwa nikae kimya ili nisipokonywe hiyo title, mapambano ya Bandari yako palepale

    Muda mfupi baada ya kuvuliwa hadhi ya Ubalozi, Mwanasiasa Mkongwe, Dkt. Willbroad Slaa amesema "Niliwakilisha nchi yangu kimataifa, wanaojua ubora wa ubalozi wangu ni nchi ambazo nilizihudumia. Ubalozi ni historical, hautafutika. Nilishawapa ruhusa niko tayari wachukue ubalozi kwa sababu siko...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Nitaendelea kusema ninachoamini, asema hajutii kuondolewa hadhi ya balozi

    Dkt. Slaa ameongea na mwananchi baada kuondolewa hadhi ya ubalozi, Slaa amesema taarifa hizo nae ameziona kwenye mtandao lakini hajutii chochote na nchi alizotumikia wanajua walikuwa na balozi wa aina gani. Amesema alipewa ubalozi na sasa wamechukua, hawezi kuhoji lolote. Alipoulizwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Wale waliosema Bandari imeuzwa tubuni mapema dhambi zenu Mkataba wenu feki unawaumbia Mchana kweupe Samia hadi 2030

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imealika kampuni kutuma zabuni kwa ajili ya kusimamia kituo cha makontena (Container Terminal II) kinachohusisha gati namba 8 hadi 11 katika Bandari ya Dar es Salaam, Hii ni eneo ambalo hapo awali lilisimamiwa na kampuni binafsi ya kimataifa ya kuhudumia...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

    Kwa wachache tuliobarikiwa kuielewa vizuri nchi hii na jamii yake pamoja na siasa zake tunaposimamia jambo kwa maslahi ya taifa naomba tuheshimiwe na tueleweke vizuri. Kwa miezi 2 sasa kuna kikundi cha wanasiasa na viongozi wa dini, kwa maslahi binafsi na kutumiwa na watu ambao kila siku...
  6. JamiiForums Tanzania Muhimu sana: Tusome na kujadili kuhusu bandari na DP World kwa namna nyingine

    Wakati serikali imesema inaingia hatua ya pili ya mkataba katika uwekezaji bandarini Dar kati yake na DP world,ningependa watu wote bila kujali kama mnaunga mkono au kupinga maudhui ya mkataba, msome kwa umakini haya nitakayoyaandika hapa chini, mpime katika mizani ya bongo zenu,kisha mseme...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

    Hakika shetani ana trick za ajabu sana anapotaka kutenda au anapotenda uovu wake kwa kuwatumia watu waovu hususani viongozi wenye dhamana kubwa za kuongoza nchi na wananchi wa nchi yetu.. Hebu twende pamoja, soma na sikiliza hii👇👇👇 Mkataba wa DP WORLD ni zaidi ya mkataba tu! • Kumbe kulikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali kuendelea na uwekezaji wa Bandari na DP World kama ilivyopangwa

    Licha ya Makelele ya TEC na Chadema ila Msemaji wa Serikali bwana Msingwa amesema Serikali itaendelea na uwekezaji na DP World kama ilivyopangwa ila itazingatia maoni ya wadau. ======= SERIKALI KUENDELEA NA MCHAKATO WA UWEKEZAJI BANDARI NA DP WORLD Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Kila hatua...
  9. JamiiForums Tanzania Hili la Bandari, lawama hii iende kwa hayati Magufuli

    Bado sehemu mbalimbali za nchi yetu zinaendelea kujadili kuhusu Uwekezaji wa DP-World. Mbaya zaidi, mitazamo inayotolewa sasa inajadiliwa kwa milengo ya kidini, jambo ambalo si la kawaida katika nchi yetu. Ni nini mzizi wa haya yote? Kisa kilianza Mwaka 2020, wakati wa Uchaguzi Mkuu. Ulikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Live: Operesheni +255 - Katiba Mpya na Kuokoa Bandari Zetu huko Didia, Jimbo la Msalala

    https://youtu.be/X9GIuklmkK0 =
  11. JamiiForums Tanzania Nimetoka kanisani kwetu Mikocheni, tumesomewa tena waraka wa Maaskofu wa Katoliki kupinga uuzwaji wa bandari,watu wamepiga makofi na vigelegele

    👍👍nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu...
  12. JamiiForums Tanzania Itakuwaje DP World ikimuuzia China bandari yetu ya Dar es kwa mkataba wa milele!?

    Mwendo wa kimyaaa kimya huku wakingoja watu wasahau tukisha sahau tutaiona bendera ya waarabu inapepea pale bandarini kimya kimya na hakuna hata gazeti litalo andika! tukianza kelele mwarabu anamuuzia MoU mchina,mpaka hapo Watanzania tutakuwa tumepotezwa mbaya,tukitaka kumpokonya...
  13. JamiiForums Tanzania PAROKO: Tusikae kimya sasa kusubiri Miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari.

    Leo ikiwa ni Wiki ya Pili ya Tamko la Maaskofu kusomwa Makanisa yote ya Roman Catholic, nimevutiwa na Maneno aliyoyaongea Paroko mmoja kwenye Ibada " Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija...
  14. JamiiForums Tanzania Tafakuri ya FaizaFoxy 9: Ushauri kwa Rais Samia, Dr. Hussein Mwinyi na Watanzania wote kuhusu Uchumi wa Bandari wenye tija

    Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele. Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuanza kuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longolongo. Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Sioni uwezekano wa Raisi Samia kupata asilimia 30 ya kura zote, na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 mwaka 2025

    Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025. Kashifa...
  16. JamiiForums Tanzania Ubinafisishaji wa Bandari zetu Muendeshaji atapata faida kubwa kuliko Serikali

    Sijui nitumie lugha gani ili wote muelewa. Kiufupi ni kwamba ukibinafisha wowote ule muendeshaji anapata faida kubwa zaidi ya mwenye Mali hasa tunapoongelea sekta nyeti kama bandari Uwezekano wa mwenye mali kuambulia 10% ya makusanyo yote ni kawaida sana.. waendeshaji wengi ni wahuni...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGA

    Wanabodi, Kama kawaida yangu ya kuwaletea trends mbalimbali, leo naomba niwaletee hii trends za kinachoendelea kwenye hii issue. Baada ya IGA ya DPW na Bandari Zetu, HGA yake iko njiani inakuja! Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kwa bandiko la mwana JF huyu. Wananchi...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bandari ya Bagamoyo au Dar es Salaam na si ya Mtwara na Kilwa Masoko?

    Nimemsikiliza Mzee Samson Luhigo ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa THA wakati huo, na amezungumzia Bandari kuwa ni mgodi Makubwa na nafasi iliyokuwa nayo Tz, na kuongelea uzuri wa Bandari ya Mtwara dhidi ya hizi Bandari zingine, za Bagamoyo, na Dar es Salaam, hivyo uwezo wa Bandari ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mkataba wa BANDARI dhidi ya DP WORLD hautaongezwa wala kupunguzwa herufi moja

    Habari! Hili suala la BANDARI ambalo limeleta amsha amsha takribani miezi 3 sasa. Watu wanalichukulia jambo hili kawaida. Wengine wanaamini huenda Rais Samia kahongwa pesa ili aupitishe haraka ule mkataba. Hapana. Hajaongwa hata Senti. Hili suala ni spiritual manipulation (shinikizo la kiroho)...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi mbalimbali wanatoa ushauri mbovu kwa Rais kuhusu suala la Bandari

    Aliyewahi kuwa Waziri asiye na Wizara Maalum na pia Waziri wa Ardhi, Maliasili na Utalii, Pia Katibu Mkuu wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Masuala ya Wanawake Na Rais wa kwanza wa Bunge la Umoja wa Mataifa, Balozi Dkt Getrude ibengwe Mongela Ameshauri Rais kuwasikiliza wananchi na kuacha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…