bandari

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka bandari ya Mombasa kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki

    Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka katika bandari ya Mombasa ili kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki, asema Rais Ruto baada ya mazungumzo na Rais Zelensky. Haya yametokea wakati Ruto akiwa kwenye ziara nchini Marekani, ambapo alimpongeza Rais Zelensky kwa kuendelea kupambana na...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukanda wetu wa Bahari kuu ni mkubwa sana, tunafikiria kujenga Bandari nyingine ya uvuvi Bagamoyo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Bandari ya Uvuvi - Kilwa Masoko leo tarehe 19 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/--l5dcKBzxc?si=TJchCSVp4JNKxdwb === Rais Samia amewasisitiza wananchi waliopata boti za mkopo nafuu...
  3. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Bandari (TPA) imeanza kutangaza Zabuni kwaajili Ujenzi wa Bandari

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imetangaza zabuni mbili za ujenzi wa bandari ya Kisiwa Mgao mkoani Mtwara, Mbegani wilayani Bagamoyo, kadhalika bandari ya Tanga. Zabuni hizo, zinatangazwa kipindi ambacho kumekuwa na hoja kutoka kwa watu mbalimbali juu ya bandari zote nchini kukabidhiwa kwa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Mwekezaji wa Bandari kapewa miaka 5 tu na watareview mkataba, Bara kajifunzeni hata huko

    Inaumiza sana, Mwekezaji wa kuendesha bandari ya Zanzibar kapewa miaka mitano tu ya kuendesha bandari. Mwekezaji huyo kutoka ufaransa ataendesha bandari kwa miaka mitano tu na mkataba utaangaliwa upya kama kafikia malengo ataongezewa muda na kama hajafikia malengo atapewa mwekezaji mwingine...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Kutishia watu kuwapeleka Magereza ili wateseke ni Ushamba na ulimbukeni. Kuuza bandari za Watanganyika ni ufisadi

    Kwa mujibu wa RIPOTI ya CAG ya mwaka 2020/2021, ni kwamba, MAGEREZA yote Tanzania, YAKIJAA, yanauwezo wa KUBEBA watu 35,000 tu. Uwanja wa MKAPA-DSM, UKIJAA, unaweza KUBEBA watu 60,000. Tanzania ina watu 60 MILIONI. Kwa hiyo, KUTISHIA watu MAGEREZA, ni USHAMBA na ULIMBUKENI.
  6. JamiiForums Tanzania Hizi hapa Bandari bora zaidi duniani

    Chapisho la hapa chini limeelezea bandari bora kabisa duniani zinazo fanya vizuri. Top 50 seaports 2022 Every year, a new ranking of top seaports is issued. Port throughput can be measured by cargo tonnage, container TEU, and the number of vessel calls categorized by commodities carried. TEU...
  7. JamiiForums Tanzania DP World ameshapewa bandari?

    Naona matangazo mengi ya DP World yakinifikia yakiwa sponsored kwenye mitandao ya kijamii. Nikikumbuka kauli ya mwisho ya Serikali ni kutokurudi nyuma licha ya vyama vya upinzani kupinga mkataba huo kutekelezwa na pia tumeona waraka wa maaskofu kanisa katoliki TEC kutokuunga mkono mkataba huo...
  8. JamiiForums Tanzania Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa/ kapewa mwarabu zimeishia wapi?

    Amani ya Bwana wetu mpendwa Yesu Kristo iwe nanyi. Leo naomba kuwauliza wale wapotoshaji na wazandiki fc! Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa sijui Bandari zote kapewa mwarabu zimeishia wapi? Wale wengine WARAKA FC mbona hatusikii tena waraka wa upotoshaji na uongo ukisomwa kwenye vigango na...
  9. JamiiForums Tanzania Zitto mpigania haki ndie huyu anayefurahia kuuzwa bandari za Tanganyika,kukaa kimya juu ya Katiba Mpya na wanayofanyiwa Wamasai Ngorongoro!?

    Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu,Mungu uwa analeta dhoruba kwenye kujiokoa watu wanavua ngozi zao za kondoo na kuwa mbwa mwitu. Huwezi amini kwamba huyu ni Zitto aliyetufundisha siasa za uzalendo na kipigamia haki.leo hii amekuwa kimya katika...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia itisha kura ya maoni kupitia akaunti yako ya X kuhusu suala la Bandari, utapata picha halisi na ikusaidie kufanya maamuzi

    Rais Samia kama unavyopenda kutumia mtandao wa X kuelezea mambo yanayohusu nchi na Watanzania ikiwemo kutoa taarifa mbalimbali za Serikali yako, nakushauri utumie mtandao huo kupata maoni ya wananchi ni namna gani wameupokea mkataba wa Bandari ambao umekuwa gumzo kuu hapa nchini. Rais Samia...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai. Nakala : Maulid Kitenge Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
  12. JamiiForums Tanzania Arusha: Wakili Madeleka apata dhamana

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imekubaliana na maombi ya rufaa ya Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka na kumpatia dhamana. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Septemba 9,2023 na Kaimu Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Boniface Semroki kwa niaba ya Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Yohane Masara...
  13. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Bandari za Tanganyika umeongeza nguvu ya kuamini kwamba Mungu wa kweli yu hai jana, leo na hata milele

    Wasalaam, Tumsifu kristo na bwana wa majeshi. Nimekuwa nikitafari sana juu ya waliofanya jambo la kuleta huu mkataba na nimepata kuamini pamoja na watawala wengi kuwa ni wafuasi wa freemasons na illuminati lakini bado nguvu ya Mungu haiteteleki. Jeuri, kibri, dharau havina nguvu mbele ya Mungu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari ndiyo utakuwa msumari wa mwisho CCM

    Kila kukicha, kila mahali wapinzani hasa CHADEMA wanatembea na ajenda hii ya bandari. Wamemwaga sumu na asilimia kubwa ya wananchi wanaamini kuwa nchi imeuzwa. Kwa jinsi mambo yanavyokwenda mkataba wa bandari ndo utakuwa msumari wa mwisho kwa CCM 2025. CCM inatakiwa ijitathmini na...
  15. JamiiForums Tanzania Lililoitwa Sakata la Bandari: Pumba zimeanza kujitenga na Mchele

    Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana. Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili...
  16. JamiiForums Tanzania Rorya: Tundu Lissu aingia Shirati, asambaza Oparesheni 255, Wananchi wasikitishwa na Mkataba wa Bandari

    Tulionya humu mapema sana kwamba , Moto utakaowashwa na Chadema kwenye Oparesheni 255, hakuna wa kuuzima, Kauli hii imetimia, Nadhani wote mmeona jinsi Katibu Mkuu wa CCM alivyojaribu na baada ya kuona Maji ya Shingo akaweka mpira kwapani . Sasa leo Chadema imevamia Mkoa wa Mara na kuteketeza...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania mkijichanganya mkakomaa na katiba mkasahau kuhusu Bandari zetu kuuzwa laana itamea juu yenu

    Wasalaam nyote, Katika mikutano ya chadema hivi sasa ya +255 , swala la kuhamasisha umma kuhusu uhuni wa kuuzwa bandari zetu lipewe uzito kila sehemu, CCM hawana dhamira njema na dhati kwa nchi hii, viongozi wengi ni ni wanachama wa illuminati na freemasons. Msitarajie huruma haitatokea...
  18. JamiiForums Tanzania Uteuzi na Mabadiliko: Ofisi ya AG, Mahakama na Wizara ya Mambo ya Nje

    Usiku huu, imetolewa taarifa kuwa Rais Samia amefanya teuzi katika nafasi mbalimbali. Rejea kiambatisho hiki:
  19. JamiiForums Tanzania Chunya: Sugu apeleka Mkataba wa Bandari kwa Wananchi, awasomea kwa Kiingereza na kutafsiri kwa Kiswahili

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa, mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, jioni ya leo alikuwa Wilayani Chunya, akiwaelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na Ubovu wa Mkataba wa Bandari. Hapa ni Kata ya Makongorosi, ambapo...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amshangaa Rais Samia kumteua Alexander Mnyeti kuwa Waziri. Asema hana uadilifu

    Ni leo J'pili tarehe 3/9/2023 alipokuwa akiongea na wananchi katika Kijiji cha Kiabakari - Butiama mkoa wa Mara katika mfululizo wa mikutano ya CHADEMA katika OPERESHENI +255 KATIBA MPYA, OKOA BANDARI ZETU - Tanganyika. Video: By Mwananchi Digital -- Rais Samia ameteua Baraza la Mawaziri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…