banda

Mount Banda Banda, a mountain of the Mid North Coast region of New South Wales, Australia, is situated 320 kilometres (200 mi) from Sydney within the Willi Willi National Park. Banda Banda can be seen on the north western horizon from Port Macquarie. And seen on the south western horizon 39 km from the town of Kempsey. At 1,258 metres (4,127 ft) AHD  it is the highest mountain in the region.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Kuna sheria inayomtaka mhudumu wa banda la chips kuwa na cheti cha afya kutoka serikalini?

    Hello! Leo katika pita zangu mtaani kwetu makuburi nikamkuta bwana afya wa kata ya makuburi kibangu wanakoromeana na mmiliki wa banda la chips huku mmiliki wa banda hilo akimnyooshea kidole bwana afya kuwa anafanya utapeli kwa kuwa yeye(mwenye banda la chips) ana miaka zaidi ya mitano katika...
  2. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Natafuta banda la chuma la kununua mwanza au kukodi?? sharti bei iwe kitonga!

    Mwanza igoma Sharti bei iwe chini sana
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuona nyumba iliyokufanya uhisi yako ni kama banda tu?

    Kuona ni kuamini! Burudika kwa picha chache za nyumba toka sehemu mbalimbali!
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo Sabasaba International Trade Fair Banda la UDSM

    MAZUNGUMZO SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR BANDA LA UDSM 1 Nimetembelea Banda la Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam nimekuta nje wameweka vitabu vingi vya historia. Nimeanza kutazama kitabu kimoja baada ya kingine. Sikuona kitabu cha Abdul Sykes. Nimemuuliza niliyemkuta pale kulikoni...
  5. Baba Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Banda la biashara Moshi Linahitajika

    Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta Banda la kununua Moshi mjini..Banda la bati linalohamishaika.....Mwenye nalo anicheki hata inbox
  6. O

    JamiiForums Tanzania Niuzie Banda la chuma ninaloweza kulifanya kama kiofisi sio ya uwakala

    Banda lisiwe kubwa sana just size ya fut 5 x5 au 5x6 Location mwanza, lisiwe chakavu nitafurahi likiwa maeneo changamfu au kama bado halijaingia sokoni sio mbaya nicheki dm
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Rais Mstaafu Joyce Banda

    Joyce Hilda Banda, alizaliwa 1950. Huyu alikua Rais wa Malawi (April 2012-May 2014) msomi haswa alifurushwa kupitia sanduku la kura za Wananchi.
  8. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Siku hizi kila mgahawa una banda la chipsi, na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi

    Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi. Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila chipsi lazima wanunue na kinywaji kama soda cha kusukumia hizo chipsi, kama ujuavyo chipsi ni viazi na...
  9. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Tazama banda la kupokelea Samaki lililojengwa na TAMISEMI kwa Tsh. Milioni 50

    Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa banda la kupokelea samaki katika soko la kimataifa la samaki lilipo eneo la Katambe Magarini lililojengwa kwa fedha za mfuko wa ndani Halmashauri kiasi cha Tsh. Mil 50 lakamilika kwa 100%. OR TAMISEMI
  10. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TRA inawakarabisha wananchi wote kutembelea banda letu

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawakarabisha wananchi wote kutembelea banda letu katika uzinduzi wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa 2024 utakaofanyika katika viwanja vya Chuo kikuu cha Ushirika wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro tarehe 2/4/2024. Aidha TRA itaendelea kutoa elimu ya kodi...
  11. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Singida Fontaine Gate imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kiungo wake Bruno Gomes Barroso raia wa Brazil

    Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii Bruno amesema kumekuwa na uvunjaji wa mkataba kwa upande mmoja kutoka kwa klabu hali inayopelekea uhusiano wa nyota huyo na wakulima hao wa Alizeti kumalizika. “Uamuzi huu haukuwa rahisi, lakini ulifanyika kwa nia ya kuhakikisha tunaweza kuendelea...
  12. AnoldAngelz

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani?

    Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani? Samahanini wakuu, naombeni mchango wenu on regard of heading above
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Awapa Kongole Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu

    WAZIRI MHAGAMA AWAPA KONGOLE BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU SERA, BUNGE NA URATIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama afurahishwa na ushiriki wa ofisi yake katika uzinduzi wa Wiki ya Vijana pamoja na maadhimisho ya kuelekea...
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nitamkumbuka Peter Banda kwa kanzu hii matata

    Jana Simba ilimpa mkono wa kwaheri Peter Banda. Katika tukio nitakalomkumbuka zaidi ni katika mechi ya Simba vs Singida ya msimu uliopita, ambapo alifunga goli halafu baadae akaumizwa. Tukio lenyewe lilikuwa ni kanzu moja matata sana alimpiga mchezaji wa Singida. Nakumbuka niliwahi kumpiga...
  15. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Hastings Kamuzu Banda alikuwa daktari binafsi wa Malkia Elizabeth na alihasiwa ili asitembee na Malkia

    Nimekuwa nikisikia kuwa Rais wa zamani wa Malawi, Dkt. Hastings Kamuzu Banda aliwahi kuwa Daktari wa Malkia wa Uingereza na alihasiwa asije akatembea na Malkia Elizabeth na kuzaa naye. Kuhasiwa kwake huko kulipelekea Dkt. Kamuzu Banda mpaka anafariki dunia mwaka 1997 akiwa na umri wa miaka 99...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Sichalwe: Karibuni Mtembelee Banda Letu la Momba NaneNane Mbeya 2023

    MHE. CONDESTER SICHALWE - "KARIBUNI MTEMBELEE BANDA LETU LA MOMBA NANENANE MBEYA 2023" Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe ametembelea Banda la Momba Nanenane Mbeya na kuitumia fursa hiyo kuwaalika watu wote kuona fursa mbalimbali za Kilimo na Mifugo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Victoria Mwanziva: Karibuni banda la Wilaya ya Ludewa kwenye maonesho ya nane nane Mbeya katika viwanja vya Mwakangale

    NANE NANE MBEYA 2023 KARIBUNI BANDA LA WILAYA YA LUDEWA Maonyesho ya Kilimo - Nane Nane 2023 yafunguliwa leo tarehe 01.08.2023 katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya ambapo mgeni rasmi wa sherehe hizo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwenye banda la NEMC Maonesho ya Kimataifa Nanenane Mkoani Mbeya

    Karibuni kwenye banda la NEMC Maonesho ya Kimataifa Nanenane Mkoani Mbeya.
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Njoo Sabasaba ujifunze, utusikilize, uone katika banda la madini pavilion

    Watumishi wa Wizara ya Madini, Taasisi zake na Wadau wa Sekta ya Madini wanaendelea kutoa elimu, ushauri kwa wadau wanaotembelea banda la Wizara (MADINI PAVILION) katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo Cha Bernard Membe

Back
Top Bottom