Nitamkumbuka Peter Banda kwa kanzu hii matata

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,129
7,898
Jana Simba ilimpa mkono wa kwaheri Peter Banda. Katika tukio nitakalomkumbuka zaidi ni katika mechi ya Simba vs Singida ya msimu uliopita, ambapo alifunga goli halafu baadae akaumizwa.

Tukio lenyewe lilikuwa ni kanzu moja matata sana alimpiga mchezaji wa Singida. Nakumbuka niliwahi kumpiga jamaa mmoja kanzu kama hii na ni wachezaji wachache sana duniani wamewahi kuipiga.

Kanzu hii inaparaza unywele wako kama wembe namba 8 wa kinyozi na ukiruka na mpira nao automatically unasogea kwenda juu kwa umbali ule ule ulioruka ili kanzu yenyewe isisumbuliwe.

Mimi nilipoipiga mshkaji alinimind sana, baadae nilipotaka kuirudia akanipiga bonge la mtama. Sina kumbukumbu kama mchezaji aliyemchezea rafu Banda siku ile ndiyo alikuwa mhanga wa ile kanzu ila sitashangaa maana ni kanzu inayokera sana.
 
Mimi nilipoipiga mshkaji alinimind sana, baadae nilipotaka kuirudia akanipiga bonge la mtama. Sina kumbukumbu kaka mchezaji aliyemchezea rafu Banda siku ile ndiyo alikuwa mhanga wa ile kanzu ila sitashangaa maana ni kanzu inayokera sana.
Weka hiyo Clip Mkuu
 
Tatizo Simba hawana mkurugenzi was ufundi, Gomes aliwaambia Simba wakitaka kuchukua ubingwa was Africa watengeneze timu ya muda mrefu itakayojengwa kwa kusajili wachezaji wenye umri mdogo ndio wakasajiliwa Inonga, Sakho, Banda na Kanoute.

Wameondoa kocha amekuja mwingine wameanza kusajili wazee waliochoka Kama Saidoo halafu wanadanganyana watabeba ubingwa was Afrika.
 
We acha tu. Nimesema hadi naonekana nachonga sana. Nimeacha muda uongee
 
Waombe Azam warudie kuonyesha mchezo maana kwa jinsi wasivyo watu wa mpira kwenye highlights hawakuiweka
Hio mechi nlitazama hakuna kitu kama hicho nmerudia tena kwa umakini hakuna kitu
 
Jana Simba ilimpa mkono wa kwaheri Peter Banda. Katika tukio nitakalomkumbuka zaidi ni katika mechi ya Simba vs Singida ya msimu uliopita, ambapo alifunga goli halafu baadae akaumizwa.

Tukio lenyewe lilikuwa ni kanzu moja matata sana alimpiga mchezaji wa Singida. Nakumbuka niliwahi kumpiga jamaa mmoja kanzu kama hii na ni wachezaji wachache sana duniani wamewahi kuipiga.

Kanzu hii inaparaza unywele wako kama wembe namba 8 wa kinyozi na ukiruka na mpira nao automatically unasogea kwenda juu kwa umbali ule ule ulioruka ili kanzu yenyewe isisumbuliwe.

Mimi nilipoipiga mshkaji alinimind sana, baadae nilipotaka kuirudia akanipiga bonge la mtama. Sina kumbukumbu kama mchezaji aliyemchezea rafu Banda siku ile ndiyo alikuwa mhanga wa ile kanzu ila sitashangaa maana ni kanzu inayokera sana.
Ngoma inanoga zaidi pale anakupiga kanzu, ukigeuka uchukue mpira anakupiga tobo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom