bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Vilio vingi ni matokeo ya kuweka bajeti kubwa kwenye vifaa bila kuzingatia mafundi wenye CV na Uzoefu, Maiko atajenga hata kwa robo bei ila ujipange

    Unapojenga jaribu sana kutafuta balance ya vifaa vya ujenzi na mafundi Maiko hawezi kukataa tenda, hata ukimwambia una elf 10 ya nondo atapokea ila usije kustuka kaweka mbao 😂
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo inachambua bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu

    https://www.youtube.com/live/boUBc1geEE0 UCHAMBUZI WA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI 2025/26 “Serikali inaogopa uchaguzi huru na haki” Utangulizi Tarehe 09 Aprili 2025 Waziri Mkuu aliwasilisha Bungeni mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na...
  3. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Je, Unapanga Bajeti ya Hela Yako ya Mshahara au Unatumia Tu na Kesho Itajijua Yenyewe?

    Kupanga bajeti ya matumizi ya fedha unazopata inaweza kuwa msamiati kwa baadhi ya vijana na watu wazima wanafanya harakati za maisha mijini na vijijini, hasa wale wanaotegemea malipo ya mshahara ua vibarua. Katika dunia ya sasa yenye changamoto nyingi za kiuchumi, swali hili linazidi kuwa la...
  4. BANGO JEUPE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

    habarini Wakuu Niko Dar, Nina Mil 3 Hapa Nataka Kati Ya Gari Hizi Starlet, Corolla Fe, Clavia Au Sprinter Asanteni
  5. A

    JamiiForums Tanzania Vyumba vya kupangisha bajeti 30M

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka wadau, Nina million 30 nipo dar natamani nijenge vyumba kadhaa vya kupangisha vya single ila self sasa kwa bajeti hiyo inaweza kutoa vyumba vingapi? Nakaribisha maoni na ushauri
  6. L

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuishi kwa bajeti ya 5000 hadi 10,000 kwa siku? Hebu tujadili!

    Maisha ni magumu, gharama za maisha zimepanda, lakini bado kuna familia zinazoishi na bajeti ndogo. Swali ni moja: Ukiwa na 5000 hadi 10,000 tu kwa siku, unaweza kupata milo mitatu kwa familia yako na ikatosha? 🤔 Hebu tuweke hali halisi mezani. Unaamka asubuhi na hiyo bajeti mkononi. Unahitaji...
  7. vumiliag

    JamiiForums Tanzania inahitajika ist hata ikiwa no c bajeti 6.5

    habari zenu wakuu nahitaji gari aina ya ist bajeti yangu 6.5 nikipata direct kutoka kwa muuzaji itapendeza zaidi maana najua mambo ya ma dalali 0745906009
  8. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya ya Serikali ya 'HUDUMA PAMOJA CENTER' haina jenereta? Umeme ukikatika huduma zinasimama

    Katika kuhakikisha wananchi wanapatiwa huduma za haraka bila usumbufu hasa kuepuka kutumia muda mwingi kwenye ofisi za umma, Serikali iliamua kuanzisha Kituo jumuishi cha huduma (HUDUMA PAMOJA CENTER) ambacho kina ofisi za taasisi mbalimbali za Serikali eneo moja. Miongoni mwa ofisi zinazotoa...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa game ya GTA umezidi bei ya bajeti la jengo la Dubai lile refu

    Siwezi shangaa kuona bajeti kubwa ikitengwa kwa watu wa programmer ambao wanashindana na idara kubwa za hisabati na mainjinia wa ovyo pamoja waziri mkuu wetu naye kuwepo ufikiri ni VETA. Programmer ina beba uwezo kubwa wa kumaliza mengi mambo ya software. Leo hii kwa nini ccm wanaogopa...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jimbo likiwa kubwa kinachohitajika ni kuligawa ili apatikane Mbunge mwingine au kinachohitajika ni kuongeza bajeti ya kulihudumia hilo jimbo?

    Wakuu , naomba kupata ufafanuzi wa kitaalamu . Ikiwa Jimbo ni kubwa je kinachohitajika zaidi nini kati ya haya. Tume ya huru ya uchaguzi -kuligawa jimbo . Au serikali kuelekeza bajeti kubwa ya kulihudumia hilo jimbo? Maana ikiwa tutaligawa Jimbo maana yake tunaenda kuongeza idadi ya wabunge...
  11. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Bajeti yako ya mwisho kabisa kwenye kununua simu ni shilinga ngapi?

    Huwezi kununua simu inayozidi sh ngapi? Tushirikishe…
  12. Supu ya kokoto

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja bajeti 4ml

    Nahitaji kiwanja Buswelu,mwanza kwa bajeti tajwa hapo juu. Asante
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Songwe: Wakurugenzi wa Halmashauri kazi zenu hazidumu milele, lipeni madeni ya Watumishi na Wazabuni

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo, amewataka wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha wanalipa madeni ya watumishi na wazabuni bila kuchelewa. Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Maendeleo ya Mkoa (RCC) kilichofanyika Februari 19, 2025, kwa ajili ya kupitisha bajeti ya...
  14. Halmashauri ya Jiji DSM

    JamiiForums Tanzania Madiwani Jiji la DSM wapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti ya TShs. Bilioni 290.5 kwa Mwaka 2025/26

    BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, limefanya Mkutano Maalum wa Mapitio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/25 kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai-Disemba, 2024) na kisha kufanya Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/26 wenye Jumla ya TShs. Bilioni 290.5...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya laki 4 hadi 6 ninunue simu gani ambayo kioo chake hakizidi laki 1 ?

    Nimedondosha simu kioo kimepasuka, nimehamisha mafaili fasta kabla wino haujajaa Bei ya kioo ni shilingi laki 4 Tukio kama hili ni mara ya pili, mara ya kwanza niliweka simu kabatini mwezi mzima nilikuwa natumia kitochi round hii nimeona bora nibadili simu maana simu itanifilisi kipato changu...
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jiji la Tanga limepitisha rasimu ya bajeti ya Tsh. bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026

    Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Jiji la Tanga limepitisha rasimu ya bajeti ya Tsh. bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ikiwa ni ongezeko la asilimia 19.491 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2023/2024, ambayo ilikadiriwa kukusanya Tsh. bilioni 21 kutoka mapato ya ndani. Akizungumza...
  17. X

    JamiiForums Tanzania Trump anataka Marekani, China na Urusi zipunguze nusu ya bajeti zao za ulinzi. Pia anapenda Urusi irudishwe kwenye G7

    "Moja ya mikutano ya kwanza ninayotaka kufanya ni pamoja na Rais Xi wa China, Rais Putin wa Urusi, na ninataka kusema, tupunguze nusu ya bajeti zetu ya kijeshi na nadhani tutaweza kufanya hivyo." – Trump Huu ndio utamu wa kwenda naye kibabe Marekani. Marekani ni superpower kwa mataifa dhaifu...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Ofisi Mpya ya Mkuu wa Wilaya Chunya Kupangiwa Bajeti 2025/2026

    UJENZI OFISI MPYA YA MKUU WA WILAYA CHUNYA KUPANGIWA BAJETI 2025/26 Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Dkt. Festo Dugange amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuweka kwenye bajeti ya mwaka wa fedha 2025/26 maombi ya fedha kwaajili ya ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chunya. Mhe...
  19. upupu255

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha apendekeza nyongeza ya Tsh. bilioni 945.7 kwenye bajeti ya serikali ya 2024/25. Pesa za Kampeni zinatafutwa?

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye Bajeti Kuu ya Serikali ya 2024/25 kutoka kwenye ile ya awali ya Trilioni 49.3 iliyowasilisha Bungeni Juni 13,2024. Soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
  20. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Utegemezi Afrika jadi yetu - Bajeti AU, SADC, EAC 60% zinategemea wafadhili

    1. Majengo ya Makao Makuu - AU Addis Ababa (Msaada toka China). EAC, Arusha (Msaada toka Ujerumani). 2. Bajeti zaidi ya 60% kutoka kwa wafadhili (hususani EU, huku wanachama wakisuasua kutoa ada kila mwaka).
Back
Top Bottom