Bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026 inatuonesha dhahiri kuwa tulipigwa na kutapeliwa — jamani ebu imagine! Serikali imetangaza bajeti ya TSh trilioni 49.35, tena kwa mbwembwe zilezile za kila mwaka, kana kwamba Watanzania wote ni mabubu na vipofu wa kifikra.
Hii siyo bajeti, huu ni mkakati wa...
Mbunge Felista Deogratius Njau akituzwa pesa leo Jumatatu, Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma baada ya kuchangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha 2025/26.
Wasaalam.
Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka wa fedha wa 2025/26 itasomwa tarehe 27 Mei, 2025.
Karibuni kwa ufuatiliaji.
Ahsanteni sana.
MBUNGE EDWIN SWALLE ASEMA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA KILIMO UTAKUWA FARAJA KWA WAKULIMA
Mbunge wa jimbo la Lupembe Edwin Swalle amesema kuwa utekelezaji wa bajeti ya kilimo ukienda vyema utakuwa tiba na faraja kwa wakulima ambao kwa kipindi kirefu wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali...
CONDESTER SICHALWE APONGEZA ONGEZEKO LA BAJETI WIZARA YA KILIMO
Mbunge wa jimbo la Momba Condester Michael Sichalwe ameitazama bajeti ya wizara ya kilimo kama mkombozi kwa wakulima wa mahindi na mpunga kwa kuwa itasaidia kupata Masoko ya nje ambapo pia imeitaka serikali kuhakikisha inatokomeza...
LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameelezea umuhimu wa uanzishwaji wa Mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema la Jimboni mwao.
Mbunge huyo ameeleza mengi, yakiwemo yafuatayo:
(i) Mhe Rais Dkt Samia...
NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI KUU YA SERIKALI YA WIZARA YA KILIMO, BUNGENI JIJINI DODOMA
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro tarehe 21 Mei, 20245 amechangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya Wizara ya Kilimo ambapo amempongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
Wizara ya Maliasili na Utalii imetaja vipaumbele 10 itakavyovitekeleza katika bajeti ya 2025/2026 ikiwemo kuendelea kujitangaza kupitia ligi mbalimbali duniani zenye kuangaliwa na watu wengi.
Vipaumbele hivyo vimetajwa leo bungeni Mei 19,2025 na Waziri wa Wizara hiyo Dk Pindi Chana wakati...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2025/26 ya Shilingi trilioni 2.28, ikiwa ni ongezeko la takribani asilimia 28.89 kutoka trilioni 1.769 ya mwaka 2024/25. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema bajeti hiyo inalenga kuharakisha...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepitisha kwa kauli bajeti ya TAMISEMI shilingi trilioni 11.783 kwa mwaka 2025/26, ikiwa ni ongezeko kutoka trilioni 10.125 mwaka 2024/25 imeongezeka kwa takribani asilimia 16.38 ikilinganishwa na mwaka wa fedha uliopita. Bajeti hii inalenga...
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeidhinishiwa bajeti ya TSh bilioni 519.66 kwa mwaka wa fedha 2025/26, ongezeko la takriban asilimia 82.2 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2024/25 ya Shilingi bilioni 285.3.
Pia, Soma: Waziri Kabudi aomba Bunge kupitisha Bajeti ya TSh 519.66...
Muktasari:
Miongoni mwao alikuwepo wakati Aweso akiwasilisha hotuba yake ya bajeti, ni Babu Ali ambaye ni mdogo wa Waziri huyo aliyeongozana na wanafamilia wengine kumsindikiza na kujionea tukio hilo.
Dodoma. Kifo ni fumbo. Hivi
ndivyo unavyoweza kusema kwani
kinaweza kumtokea mtu mahali na...
Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usimamizi wa mikataba, na matengenezo, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa usalama wa barabara na...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia akiwa na Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi Said na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 7, 2025 kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa makadirio ya mapato na...
Wakuu, kama hujawahi kukasirika hadi damu ipande pressure, basi soma huu uzi kwa makini. Hii siyo lelemama, siyo kutafuta kiki wala siasa za kishamba — hii ni sauti ya uchungu, hasira na uhalisia wa mnyonge wa Tanzania anayeishi kwa maajabu ya Mungu.
Serikali imetangaza bajeti ya mwaka wa fedha...
Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi alivyomsonya Mwenyekiti wa Bunge wakati akichangia Bajeti ya Ujenzi baada ya kuambiwa muda wake wa kuchangia umeisha.
Mpango wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026
Ujenzi ni Bajeti ya Kazi na Utu
Waziri Ulega aahidi ujenzi zaidi
Dkt. Samia kuzindua Daraja la JPM
Makandarasi wazawa kicheko
Miji 200 kumulikwa taa
Usumbufu kwenye mizani wapata dawa
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega...
Katika muda wa miaka 15 niliyokuwa mbunge miongoni mwa Wizara ambazo mijadala ya bajeti huwa ni vita ni Wizara ya Nishati tangu wakati inaitwa Nishati na Madini. Mwaka huu naona bajeti imepitishwa bila mikwaruzano yeyote. Nilipata kusema huko nyuma kuwa Waziri Dotto Biteko ni 'Simba mwendapole'...
MBUNGE NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOJA KATIKA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI BUNGENI JIJINI DODOMA
Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara Akichangia Bungeni Jijini Dodoma wakati Hotuba ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 ikiendelea kujadiliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.