Naenda nayo mbuganiUnakunywa?
Sawa mkuuBuku nunua juice cola jaza ndoo, tulia nyumban, utatuletea vurugu sehemu za starehe
Karibisha na maoni ya watumbua kwa urefu wa kamba,halafu linganisha na mswaga mawe,mvuja jasho na mlipa kodi.Mimi nimetenga 150, inatosha kabisa kwa vurugu zangu. Hapa hakuna pombe yoyote itakayohusika.
Haitoshi tu kua handsome, lazima pia uwe na mavumba kidogo. View attachment 3315289