bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Dhima ya bajeti ya wananchi

    Dhima kuu ya bajeti ya mwaka 2022/23 ni “Kuongeza Kasi ya Kufufua Uchumi na Kuimarisha Sekta za Uzalishaji kwa ajili ya Kuboresha Maisha.” Kufanikisha dhima hiyo, Mhe. Rais Samia Suluhu anaweka mkazo katika kilimo, mifugo, uvuvi, nishati, uwekezaji na biashara.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge 19 wa CHADEMA wagoma kuipigia kura ya ndio bajeti

    Upigaji wa kura kwa bajeti ya 2022/2023 unaendelea Bungeni ambapo wabunge wote wa CCM wamepiga kura ya ndio huku wa CHADEMA na ACT wakisema hawana maamuzi Najiuliza ni kwanini hawaoneshi shukrani kwa Serikali ya CCM iliyowaweka na kuwalinda Bungeni?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Je, kwa mara ya kwanza bajeti ya 2022/2023 kupitishwa na kura chache za wabunge wa CCM?

    Tumezoea kuona mara nyingi inapofikia wakati wa kupiga kura kupitisha bajeti ya Wizara ya Fedha., wabunge karibia woote (99.9%) wa CCM huipigia kura ya NDIYOOO kuiunga mkono hata kama hoja zao za msingi hazikujibiwa kwa usahii, ukiachilia mbali wale wa upinzani (sio kwa bunge la sasa) ambao...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Nchemba: Nchi inayoendelea lazima ikope

    NCHI INAYOENDELEA LAZIMA IKOPE "Duniani kote nchi zinazotekelea miradi mikubwa ya maendeleo na zenye uchumi mkubwa, zina madeni makubwa, ipo hivyo nendeni mkaangalie Huwezi linganisha uchumi wa Tanzania na Marekani,” - Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba Kuna nchi masikini hazina madeni na...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Bajeti iliyosomwa ni mbovu haijawahi kutokea tangu tupate uhuru. Takwimu nyingi haziko sahihi

    Waziri wa fedha amechemka. Maana hata takwimu alizotoa hazilandani na kilichomo kwenye bajeti. Na hii bajeti haikufanyiwa utafiti Profesa Lipumba: Bajeti ya Serikali mbovu kuwahi kutokea. ========= Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameikosoa bajeti ya Serikali...
  6. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaikosoa bajeti ya Serikali 2022/23

    Leo nimemsikiliza sana Ndugu J.Mnyika akitoa ushauri juu ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23. Nimemsililiza na mengi nimekubaliana naye hasa ugumu wa maisha kwa wananchi. Anaendelea kushauri kuwa punguzo la bei ya mafuta kwa sasa bado haijamsaidia mwananchi na hivyo Serikali ione...
  7. Acehood

    JamiiForums Tanzania Natafuta simu bajeti laki mbili Mbeya

    natafuta simu nipo Mbeya, bajeti yangu laki mbili. karibu itapendeza zaidi kama muuzaji atakuwa mkoani Mbeya
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Felista Njau: Bajeti haijazungumzia Diplomasia ya Uchumi

    Picha> Mbunge Felista Njau akitoa hoja bungeni Felista Njau, Mbunge wa viti maalum akiwa Bungeni leo ametoa mchango wake kuhusu bajeti huku akisisitiza kuwa bajeti imeacha kipengele muhimu cha Diplomasia ya uchumi katika kufafanua jambo hili alisema: "Katika bajeti sijaona kipengele muhimu...
  9. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Laptop Dell au HP Bajeti yangu ni 350k

    Ram4 Hardidisk 500gb Processor 2.50ghz Corei5, Charge 4 hours Bei 350k
  10. E

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Siasa toeni elimu juu ya maumivu tarajiwa ya bajeti 2022-2023

    Ukifuatilia mitandaoni na kwenye vyombo mbali mbali vya habari utaona watu/waandishi wa habari wengi (wenye weredi mdogo wa uchambuzi wa masuala ya bajeti) wakiandika na kusifia yale mema tu waliyoyaona kwenye bajeti ya mwaka huu (2022) vitu kama kuondoa/kusitisha ada za wanafunzi wa kidato cha...
  11. JF Member

    JamiiForums Tanzania Nimepitia Bajeti ya 2022-2023 naona kuna kitu hakiko sawa

    Wana JF Naamini sote tu wazima. Kwanza nianze na bajet ya mwaka jana. Mwaka jana kulikuwa na stofahamu nyingi sana hasa baada ya bunge kuisha. Ilibidi kuongezwa kwa baadhi ya kodi ju kwa juu bila hata bunge kujua kama hiyo kodi ndio walikubariana ama la. Mfano ni Tozo za Miamala ya Simu...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni asilimia ngapi ya bajeti huwa inatekelezwa?

    Kila mwaka bajeti inaongezeka, nina wasiwasi inaongezeka namba tu lakini kwenye utekelezaji ni tuko palepale. Kwa kawaida ni kiasi gani cha bajeti hutekelezwa?
  13. I

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye Hotuba ya Bajeti za Wizara ya Fedha na Wizara ya Viwanda 2022/2023 tafadhali

    Jamani wananzengo. Naomba mwenye hizo documents namuomba ikiwezekana atuwekee hapa au anipe hata inbox nitashukuru sana.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tutumie muda wetu mwingi kuikosoa Bajeti, kushauri ili kuiboresha na siyo kuisifia kinafiki na kwa kujipendekeza

    Tayari naanza kusikia Waandishi wa Habari (hasa Watangazaji wa Redio na Runinga) wanaanza Kuipongeza huku Wakimsifia Mtu (Mteuaji) wakati Wanachokipongeza ni Direct Responsibility ya Government kwa Wananchi wake ila Kuikosoa na Kushauri ndiyo Jukumu letu Kubwa ili basi kabla ya Kupitoshwa Kwake...
  15. mjizu123

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kila Mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi

    "Kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi. Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi" "Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho...
  16. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Je, bajeti kuu ya serikali 2022/2023 inauma na kupuliza?

    Je, tutegemee kupanda kwa bei ya viberiti au mi ndio sijaelewa?🤔 Maanake safety match ndio bidhaa pekee ambayo haijapanda bei kwa miaka mingi
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure

    Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure. Wanafunzi 90000 wa kidato cha tano na wanafunzi 50000 wa kidato cha sita. Ili kupunguza adha wanazokumbana nazo ada za watu hao imefutwa. Hivyo elimu bila ada itakuwa kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Pia inaangaliwa...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mtanzania, Unategemea nini kwenye Bajeti kuu ya Serikali 22/23?

    Salaam Wakuu, Bajeti ya Serikali imepangwa kusomwa leo saa 1600 na Waziri Mwigulu, Waziri mwenye dhamana ya Fedha. Nini Matarajio yako au Unategemea nini kwenye bajeti itakayo somwa leo? 1. 2021, Serikali ilianzisha tozo kwenye uhamishaji wa fedha na tozo ya muda wa maongezi. Je Tozo...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Bajeti Kuu ya Serikali ya Tanzania 2022/2023

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, jioni bungeni. Bajeti inayopendekezwa ni Tsh. Trilioni 41.9 ikiwa ni ongezeko la 16% ukilinganisha na bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22. Kati ya matarajio ya bajeti...
  20. Congressman

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya 10M nitapata Premio au Runx nzuri?

    Habari ndugu zangu! Kijana wenu ninahitaji gari kwa kumvua mtu. Je kwa budget tajwa hapo juu ya 10M ninaweza kupata toyota Premio iliyo kwenye condition nzuri au Runx? Mwenye uzoefu msaada wa mawazo tafadhali.
Back
Top Bottom