Unaweza ukashindana na watu wa Kanda ya Ziwa kwa mambo fulani fulani, lakini usithubutu kwenye uendeshaji wa baiskeli kama wewe si mmoja wao. Utaumbuka! Nazungumzia baiskeli za kawaida au za kazi, siyo zile za "starehe".
Sina uthibitisho wa kitakwimu, lakini kwa makisio yangu, Kanda ya Ziwa...