Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.
Halima na wenzake wasipoteze muda kutaka kwenda Mahakamani,kwani wanatuhumiwa kughushi sahihi za Viongozi wa chadema
Hata kama hawakughushi wao,aliewasaidia kughushi yupo.
Kwa hiyo kama wakitaka kwenda Mahakamani Mimi Sina wasiwasi kabisa. Nina Imani na kikosi Cha Askari maaalum kabisa cha...
Kusema ukweli hili ni jipya sana kwangu kuona Rais anacheza sinema na raia wa nchi nyingine.
Nilitarajia kuona sinema imechezwa na Watanzania tu, na kuongozwa na Watanzania, na si vinginevyo. Hivi shida ni nini hasa, kama shida sio mimi?
Vijana someni msisikilize propaganda bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana.
Just imagine nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+
Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake.
Ni hayo tu wasomi bado tupo wachache so hoja za kuwaponda...
Yaani hawa wazee hadi leo hii bado wana mambo yale ya
1. Kuchaguliana wachumba
2. Mpaka leo hii bado zile itikadi za vyama vingi wanaona vitaleta vita
3. Wagumu kubadilika kulingana na nyakati mpaka leo hii bado wanafata sera za Nyerere
4. Mtoto kama amemsomesha amekosa kazi wanaona ni...
To be honest Watz 90% Bado tunaishi Maisha ya kuunga unga
Hiyo 10% ndo kidogo wanaishi Maisha Mazuri yenye Nafuu .
Mafuta yamepanda kidogo lakin watu wameamua kupaki Magari ndani huku wengine wakiomba msaada was kuchangiwa Mafuta .
Yaani nashangaa watu wanawatukana jobless lakin still na. Wao...
Kikubwa tutafuteni tu Hela za Kutunza Familia zetu ila Kuwashadadia akina Sabaya na Makonda kuwa Wafungwe Maisha au ikiwezekana Wanyongwe ili mfurahi na mridhike ni Kupoteza muda Wenu kwani hawa Watu 'System' iliwatumia huko nyuma na huenda hata Kuachiwa kwa huyu Sabaya Kuna 'Operation'...
Nliwahi waambia watu flani Nape wala Makamba hawajawahi kuwa smart. Ila waliokuwa wanadhani hao watu ni smart wao ndo hawakuwa smart.
Ilishangaza sana kuna watu kabisa wakaanza na kumpigia debe Makamba kuwa Rais....nikaona hii nchi mnadhani sisi sote ni MAZUZU so mnataka tuishi kwa akili zenu...
The Great Kanumba kama alivyopenda kujiita alikuwa ndio star mkubwa Bongo hii na nje ya mipaka yake. Akishirikiana kwa ukaribu na waghana na wanaijeria katika kuhakikisha tasnia ya Bongo movie inapaa kileleni.
Wakati huo enzi za steps entertainment wakiwa kama wasambazaji wakubwa takwimu...
Hakika wiki iliyopita tulishuhudia mechi nzuri na yenye mvuto miamba hiyo na mechi iliisha 4:3 sasa leo kwa mara nyingine ni marudiano huko dimba la santiago bernabeu , huenda mechi itakuwa ya kasi na ushindani ila atakayecheza kimbinu zaidi ndie atakaeshinda...
Tukiwa bado tunalamikia ziara ya mama ya week mbili abroad. Ziara ambayo haijawahi fanywa na mkuu yoyote wa nchi kusini mwa Africa toka tupate uhuru, tunapigwa kitu kizito sana kichwani. Tunaambiwa alikuwa busy anatanua akasahau watu wake katika siku muhimu sana inayoaamua mengi kisiasa...
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MADINI ACT WAZALENDO
NDG. EDGAR MKOSAMALI KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023
Utangulizi
Ndugu Waandishi wa Habari, kama mnavyofahamu kwamba hivi sasa tupo katika Bunge la Bajeti, macho ya watanzania yanaangaza kwa kiasi gani...
Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea...
Ripoti mpya ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) ya mwaka 2021 kuhusu Haki za Binadamu inaonesha kuwa bado ni mwiba
Kwani licha ya kuwapo kwa unafuu wa matukio ya ukatili ikilinganishwa na miaka ya nyuma lakini bado juhudi zaidi zinahitajika katika kukomesha hali hiyo nchini.
Kwa...
Katika moja ya Interview ya Haji Manara wakati akiwa ni msemaji wa Simba, alishawahi kusema "Mimi sitadumu Simba milele ipo siku nitaondoka na atakuja mtu mwingine. Haji amefanya mengi sana na sidhani kama itakua fair kumjudge msemaji ajae kwa kumfananisha na Haji viatu vyangu ni vikubwa ila...
Leo nimekaa nimetafakari sana jambo na kuona bado tunaweza kurudisha tabia njema, ukarimu na ustaarabu ambao ndio ilikuwa sifa kubwa ya sisi watanzania ikitutofautisha na watu wa nchi nyingine
Kila uchwao changamoto ya ajali za barabarani imekuwa kubwa sana kila leo tunapoteza ndugu, jamaa na...
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na kifua cha kuvumilia kukosoa na kukosolewa.
Aidha Ndg Shaka Hamdu Shaka amempongeza zaidi Rais pamoja na Waziri aliyemteua Mhe Nape Moses Nauye...
Vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto Mkoani Arusha bado vipo juu, hivyo elimu zaidi inatakiwa kutolewa kuhakikisha jamii inaepukana na vitendo hivyo.
Aidha, takwimu za mwaka 2021 zinaonyesha kuwa kwa Mkoa wa Arusha jumla ya wanawake 4,510 walifanyiwa ukatili wa kijinsia, huku...
Kwa kuangalia sasa hakuna ajira labda kijana asome Sana GPA ije imbebe wakati ushindani Ni mkubwa wakati wa ajira.
Matokeo yake wenye GPA kubwa wakirudi mtaan hana focus tena na wenye GpA 2.0-3.2 ndio wenye makampuni.
Je, bado Kuna haja ya kusoma kea ajili ya GPA Kali 4.5 - 5.0.
Nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.