bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, kwa kilichotokea Ziwani bado tumebaki wale wale 61,741,120 au tumeshapungua?

    Watani zangu sijui mmelikosea nini hilo Ziwa hakyanani. Mwaka 1996 mmekwazana nalo kwa Meli, leo tena kwa Bun'go na inaonyesha huko Mbeleni hata Mkoa wenu wote nao utazama mazima tu humo Majini.
  2. JamiiForums Tanzania Hivi mpaka sasa bado unanga'ng'ania Dar es Salaam wewe loser my friend..

    Niko fiti kamili gado, sijui wewe? Hoja yangu ya msingi inakwenda kwa nyie wakazi wa bongo land a.k.a jiji la chura wanaonesanesa kwenye vumbi, vijana wala chips mlenda mlenda a.k.a mabwabwa, ila sio wote wapo hivyo ni baadhi yao, msinielewe vibaya. Laana iliyopo dar ni zaidi ya sodoma na...
  3. JamiiForums Tanzania NABI bado yupo sana. Ajabu wanaotaka Nabi aachwe Yanga ni Wanasimba kuliko Idadi Kubwa ya Wanayanga

    Simba wanamchukia sana Nabi. Wanamchukia mpaka unawaona usoni kabisa ukitaja jina la Nabi, Ukitana jina la Mayele, Ukitaja jina la Aziz na Ukitaja jina la Feisal. Wanaacha kula, wanaacha kunya wanaondoka hivyo hivyo. Nabi hawezi fukuzwa. Malengo ya team kwa asilimia 99 ametimiza. Asifupoteze...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili za kwamba wewe bado ni maskini/fukara na unatakiwa ukaze zaidi

    Tukiachana na labda kushindwa kugharamia mambo yale ya lazima ili uweze kuishi, au kutokuwa na nyumba wala usafiri, basi hizi hapa dalili zingine ambazo hazitajwi sana ila zinamtafsiri kuwa huyu mtu ni maskini na anapaswa apambane sana. 1. Kuweza kuhesabu hela zako zote kwa mkono bila msaada wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa vile bado tupo hai basi tujifunze haya

    Katika maisha ya mwanadamu kuna mambo mengi lakini mawili ni muhimu zaidi. 1. Kujielewa yeye ni nani na anahitaji nini. 2. Kujithamini kabla ya kuthaminiwa. Ukishafahamu hayo kila kitu utakiweka panapostahiki. Kuna watu wa kila aina ndani ya jamii zetu. • Kuna waungwana • kuna watwana...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru bado maji shida. Huku ni kukosa maono

    Najua serikali yetu imefanya mengi sana ,Pia nimshukuru Mungu kuwa na viongozi ambao toka uhuru wamelinda amani ya nchi yetu na kutetea umoja na mshikamano wetu. Kiukweli, zipo nyanja tumepiga hatua kwakiasi na zipo nyanja ambazo bado sana. Swala la maji:Hasa kwa mkoa au jiji linalochangia...
  7. JamiiForums Tanzania Tupende tusipende, bado Tanzania inahitaji viongozi wenye nusu ya hulka ya Hayati Magufuli

    Habari wana JF, natumaini wote baadhi yenu ni wazima wa afya, na wale wasiyokuwa wazima afya, nawaombea mtakuwa wazima afya pia. Kabla sijasema sana napenda kuweka wazi kuwa mimi siyo mnazi wa Chama chochote cha siasa ila ni kijana tu niliyefanikiwa kuwepo na kutambua mambo kwa uhalisia wake...
  8. JamiiForums Tanzania Pamoja na kumtenga Dunia bado inamuhitaji Russia

    US nuclear industry has a Russia problem New state-funded atomic energy reactors need the type of fuel only Moscow can provide US nuclear industry has a Russia problem. US companies may fail to launch next generation nuclear power plants with new Small Modular Reactors (SMR) without supplies...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini kampuni za mwasiliano ya simu kutuma ujumbe wa kifurushi kwisha wakati bado

    Salamu jf na mara baada salamu ni vizuri tuwaeleze hawa ndugu tusipuuzie hivi vitu ingawa vinaonekana vidogo. Watueleze tatizo ni nini kama program zao hazimatch tuombe hata kina max waende wakawasaidie kuset hizo program zao. Mb 100 zinasoma unaniambia kifurushi chako kimeisha halafu wewe...
  10. JamiiForums Tanzania Prof. Mukandala: Matokeo ya Rais yahojiwe Mahakamani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Oktoba, 2022 Mapendekezo 18 ya Ripoti yanasomwa na Prof. Rwekaza Mukandala Kikosi kazi...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mkopo awamu ya pili tayari au bado

    Wakuu kwema Aise naandika huku naogopa. Nina wadogo watatu wanaanza first year mwaka huu na walishaaply mkopo cha kishangaza awamu ya kwanza hola hakuna hata mmoja aliepata na waliandikiwa kwenye akaunti zao wasubiri mpaka leo tarehe 21 ila naona siku inaisha hakuna mabadiliko yoyote na hawa...
  12. JamiiForums Tanzania Mistari katikati ya barabara inatumikaje kisheria?

    Tuanze na hii picha namba moja. Mstari mmoja mweupe solid katikati ya barabara maana yake hauruhusiwi ku-overtake. Si ndio hivo wakuu ama? Je, mistari ikiwa double. Kama picha namba mbili hapa chini? Tofauti na namba moja iko vipi? Tuendelee... Kuna sehemu mstari mmoja solid, mwingine...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi Mungu na Shetani bado wanawasiliana?

    Ukisoma kitabu cha Ayubu 1: 6 - 9 Ayubu 1: 7-9 [7]BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi wewe? Ndipo Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Natoka katika kuzunguka-zunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo. [8]Kisha BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu...
  14. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally bado ana Utoto, Usemaji wa Kipuuzi ambao si Level ya Simba

    Binafsi naona msemaji aliyekuwa smart alikuwa Ezekiel Kamwaga. Huyu alikuwa professional hasa. Anajielewa na anaelewa Taaluma yake na hadhi ya Club aliyokuwa anaisemea.. Ahmed Ally nlitegemea angekuwa na cha kujifunza katika hilo. Kuwa msemaji wa kisasa mwenye weledi. Ameeenda kuangukia kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Wananchi wa kata ya Loya, Uyui waishukuru Serikali kwa Fedha za vyumba tisa vya madarasa

    Mchakato wa kujenga vyumba tisa vya madarasa BADO unaendelea !Hii ni BAADA ya vile sita kukamilika na kufikisha vyumba 15 vya madarasa, lakini shule hiyo BADO haina vyumba viwili vya maabara vya kemia na biolojia, pia haina jengo la ofisi la utawala, ukumbi wa mikutano na mabweni ya kutosha...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kasi ya wachezaji wa Yanga uwanjani bado ni kitendawili?

    Amani iwe nanyi Sitoi pole kwa Yanga kwa kufungwa na Al hilal licha ya kumiliki sana mpira!! Natoa pole kwa wachezaji wa ligi nzima ya bongo kwa kushindwa kuwa na kasi kiwanjani pindi wanapokuwa na mpira ama wasipokuwa na mpira. Nitaendelea sana kuongelea kasi/pace/speed ya wachezaji wetu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Hivi na umri ulionao bado unaendeshwa na mapenzi?

    Tunajua mapenzi yanaendesha Dunia. Tumesikia na kujionea mapenzi yalivyo na nguvu, lakini sina uhakika kama yanaweza kuhamisha milima kama wasemavyo. Umri uliyonao na mambo uliyokwisha pitia, hivi bado wewe ni wakuendeshwa na mapenzi kweli au umerogwa? Ndugu yangu kubali kukua na ujifunze...
  18. JamiiForums Tanzania Berkane kapindua meza leo, bado Yanga

    Unajua Berknane ni nani? Leo kapindua meza, alikiwa aende. Bado Yanga!
  19. JamiiForums Tanzania Land cruiser inauzwa bei ya kutupa bado ipo clean kama mpya

    Toyota landcruiser 2003 Ni Manual inatumia diesel Mileage 169,000 Bei ni Milioni 28 (fixed) Ipo mikocheni dar es salaam Haihitaji dalali Mawasiliano 0782780980
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kwa ulimwengu huu wa sasa Fani ya Procurement bado inafundishwa vyuoni kwa sababu gani?

    Baadhi ya vyuo Duniani vimekuwa vikifanya mabadiliko ya mitaala na kufuta ama kuachana na fani ambazo haziendani na wakati. Bado najiuliza, kwa Dunia ya sasa fani ya Procurement inafundishwa vyuoni kwa sababu gani? Ni fani ambayo haina umuhimu wowote kwa karne hii ya 21. Mtoto akisoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…