bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kwa usawa huu bado kuna umuhimu au ulazima gani kufanya tendo la ndoa siku iliyofungwa ndoa?

    Nachojua tendo la ndoa siku ya kwanza lilikuwa na heshima zaidi endapo binti alikuwa ni bikra, ila kwa sasa hali imebadilika sana, ni mabinti wachache sana utabahatoka kuwakuta na bikra original (zipo za kutengeneza). Na hata hivyo mapenzi ya siku hizi ni shake well before use, Ebwana wee! watu...
  2. JamiiForums Tanzania Huu mwaka 2023 kuna watu bado wanamsikiliza Issa Shivji?

    Miaka zaidi ya 25 iliyopita ISSA Shivji alikuwa miongoni mwa watu waliiongoza mijadala ya kupinga ubinafsishaji uliokuwa inafanywa na serikali ya Mkapa...aliendika Makala nyingi Sana na midahalo mingi Sana alishiriki...Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu na wengine Wengi....cha ajabu kabisa juzi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wahenga hawakukosea, tamaa mbele mauti nyuma: Huyu boss wa Wagner alipewa tenda yote kulisha majeshi ya Urusi, bado hakutosheka!!

    Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ndio DP World, kwa Kelele Hizi bado utakuwa na moyo wa kuwekeza?

    DP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia. Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako. Je watapata ushirikiano? Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa saini yako kwenye mkataba wa DP World, Waziri wa Ujenzi na uchukuzi bado upo madarakani kweli?

    Najiuliza tu, ni kweli wewe waziri wa Ujenzi ulisaini ule mkataba ukiwa na akili timamu? Nini hasa ilikuwa dhamira yako? Nani alikuwa nyuma yako? Wewe na waliokuwa nyuma yako mnajisikiaje kwasasa? Je, ni Mtanzania yupi mwenye akili timamu anaweza kukuamini wewe kwasasa? Huoni aibu kwani? Na...
  6. JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Pascal Mayalla, umemsikia Prof. Shivji? Bado unatuita watanzania Wajinga?

    Pengine Prof. Tibaijuka unaona labda anazeeka haraka, Pengine Lissu unamuita Mwanaharakati, Pengine Mbowe unamuona asiye na taaluma ya Sheria na wewe tu ndio mwanasheria, pengine Akina Dr Nshala, Akina TEC na Watanzania hawa mtaani ambao sass wanaamini Nchi imeuzwa, wanahoji kwanini Mkataba...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ile peremende ya maridhiano na upatikanaji wa katiba mpya bado ipo vinywani mwa wapinzani ama imeyuyuka??

    Huyu rais Samia anapaswa kuangaliwa kwa jicho la tatu. Anajua kucheza na akili za watanzania kweli kweli. Kabla ya kumleta mwarabu alianza kwa kuwaweka sawa wabunge (kama alivyotujuza mbunge wa CDM Aida Kenan). Aliwapeleka Dubai kwa ziara ya "mafunzo". Wakala bata na kupewa cha mfukoni. Suala...
  8. R

    JamiiForums Tanzania TLS waungane na Mbowe kuitafakarisha Serikali; nchi bado ina watu wazalendo. Hongera Sungusia

    Aliposema Mbowe ilionekana upinzani; aliposema Kitima ikaonekana Udini; akasema Warioba ikaonekana uzee unasumbua; akisimama Dr. Slaa akaambiwa alihongwa; Tundu Lisu hakujibiwa kabisa kama ilivyo kwa Lipumba na wazalendo wengine. Sasa imekuja taasisi ambayo inaundwa na watu wa vyama vyote; dini...
  9. JamiiForums Tanzania Una uhakika bado hujafa?

    Kama hauyajui maisha baada ya kifo, nini kinakuaminisha kuwa wewe bado haujaaga dunia?
  10. JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

    Yanga wameweka financial statements report yao juzi kwenye mkutano wao mkuu. Ila kwa sisi wana uchumi wa brat na trap kuna sehemu haijaeleweka na tena viongozi wao wanajisifu kabisa. Ni kwamba kwa mwaka wa fedha 2022/23 wameingiza faida ya million 500. Ukiangalia kwenye mapato yao wana...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 UKIMWI Bado ni Tishio, Tukuchukue Tahadhari

    VVU ni nini? Hiki ni kifupisho cha neno Virusi vya Ukimwi, na Ukimwi ni kifupisho cha Upungufu wa Kinga Mwilini. Ugonjwa wa VVU/UKIMWI (Virusi vya Ukimwi/ Upungufu wa Kinga Mwilini) umeingia Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1980, ambapo watu waliupa majina mbalimbali, yakiwemo “Juliana”, “Slim”...
  12. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima asema ahadi yake kwa wakazi wa Kawe kuwapeleka Birmingham (Uingereza) bado ipo

    Baada ya kuwepo kwa maneno mengi ya utani na mengine ‘serious’ kuhusu ahadi aliyoitoa kwa kwa baadhi ya wanakazi wa Kawe (Dar es Salaam) kuwa atawapeleka Jijini Birmingham Nchini England, hatimaye akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima...
  13. JamiiForums Tanzania Je, inawezekanaje watu milioni 60 kuwalillia kwa machozi ya damu watu wasiozidi 20 na bado wakaleta dharau?

    Hivi hii mifumo ya kiutawala hapa duniani na nchini kwetu huwa ina siri gani ndani yake? Mfano kwa hapa Tanganyika, watu milioni 60 wanalia na kusaga meno, tena huku wakiwapigia magoti Watu wasiozidi 20, kuwaomba wasiingize nchi utumwani kwa kugawa bure rasilimali za taifa, lakini kwa dharau na...
  14. JamiiForums Tanzania Ajira mpya wapata mishahala wengine bado

    Ni Jambo la kufurahisha, tayari baadhi ya watumishi serikalini,ajira mpya 2023 wamepata mishahara yao ndani ya mwezi wa sita baada ya kuripoti kwa wakati, japo wapo watumishi wengine wengi nao mchakato unaendelea. Kongole kwa serikali kwa kujua mazingira magumu ya watumishi wapya na kuwawaishia...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam na Pwani joto bado kali hakuna kipupwe tofauti na mikoa mingine. Shida ni nini?

    Hii mikoa laana zimezidi za watu au shida ni nini? Ilipaswa kuwa baridi mwezi huu lakini joto kama lote tofauti na mikoa mingine. Hatujui lini winter(kipupwe) kitaanza 🤦🏾 Ina maana majira yamebadilika huku tu, mbona mikoa mingine sasa hivi kuna baridi?
  16. JamiiForums Tanzania Simba SC bado mnaendelea na 'Upuuz'i wenu ule ule. Sandaland na Vunja Bei ni wana Yanga SC tupu

    Sisi Watu wa Mpira na Watu wa kuyajua mengi ya ndani na yaliyojificha tunajua kuwa Mdhamini wa Jezi Vunja Bei hakuwa mwana Simba SC na hata huyu Mdhamini mpya wa Jezi Sandaland nas pia siyo mwana Simba SC (japo analazimisha aaminike hivyo) ila nae ni mwana Yanga SC mzuri tu. Kuna Mambo ya ndani...
  17. JamiiForums Tanzania Kombe la kwanza kuja hapa kwetu Tanzania ni CAF Shirikisho, CAF Mabingwa bado hatuwezi, Yanga na Simba wajiengue mapema kwenye mabingwa

    Nelly alishawai kuimba Nini kinahitajika kuwa namba moja Wa pili sio mshindi Wa tatu hakuna anaemkumbuka Ukiwa namba moja Watakaa na kuiandika hata wakichukia Basi ndivyo ilivyo na kwenye haya mashindano ya caf interclubs (mabingwa na shirikisho). Kwa level ya timu zetu hizi ni ndoto kuja...
  18. JamiiForums Tanzania IPP Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana, bado mpo kizee sana

    Ipp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu zimekaa kizee ndio maana vijana wamewakimbia na kwenda Wasafi Media ninyi mmeabaki na wazee na vijana...
  19. JamiiForums Tanzania Alikiba sio wa kufa kimziki leo, bado sana

    Wakuu, Alikiba huyu ni mkongwe kama tujuavyo. Kadri muda ulivyosogea watu walitabiri kifo chake cha kimziki, ingawaje wale alioanza nao kuimba wengi wamepotea. Nimesikiliza hizi nyimbo mbili latest; Mahaba na On fire, niseme tu huyu mtu bado sana kupotea, sio leo wala kesho, hii on fire...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Deni la Taifa limeongezeka hadi Tsh. Trilioni 79.19, bado ni himilivu

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dododma amewasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi wa Kitaifa kwa Mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema ni kwamba hadi kufikia mwezi Aprili 2023, deni la Serikali lilikuwa shilingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…