bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hapo ulipo Asali imekufikia au bado?

    Wakati tunashangaa wabunge kupata mshahara mkubwa. Mnabidi kujua pia mbunge anahesabika Kama diwani katika Eneo lake mfano katika municipal yake anayotokea. Hivyo Asali imeshafika kwa waheshimiwa madiwani kwahiyo Mbunge ananufaika pia na marupu rupu ya udiwani.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wizara ya TAMISEMI bado inamuhitaji Suleiman Jafo

    Salaam Aleikum, Kiukweli Tamisemi siku hizi haina utendaji kazi mzuri kama enzi za Dada Ummy na Kipindi cha Jaffo. Yaani huyu waziri wa sasa ndo alitakiwa aende mazingira alafu Jaffo aje Tamisemi. Kuna namna hii support na uvumilivu anaopewa huyu wa sasa na matokeo ya ufanyaji kazi wake hayana...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Alquds wadondosha ndege ya Israel jijini Gaza. Mapigano bado yaendelea katikati ya jimbo hilo

    Ndege isiyo na rubani au droni imedondoshwa leo kwenye jiji la Gaza ambalo jeshi la Israel lilitangaza zamani kulidhibiti eneo hilo. Habari hizo zimetolewa na msemaji ya kundi la Alquds ambalo ni tawi la kijeshi la harakati za Islamic jihad. Droni hiyo kwa mujibu wa aljazeera iliyowanakili...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Bado shule za kata hazitoshi

    At least Kwa shule za msingi tumejitahidi kidogo walahu kila kijiji kuna shule ila Kwa upande wa sekondari bado kuna changamoto kubwa naona wanafunzi wakitembea umbali mrefu kuzifuata shule ni heri serikali ikaja na mpango wa kujenga hostel Kwa shule za kata ambazo vijiji vyake viko mbali.
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ili uishi sehemu yeyote unahitaji kibali na sio kila siku unahama mikoa huku na huku na bado haufanikiwi

    Kijana na wazee, mada hii ni fikirishi ila italenga kutoa maana kuhusu Maisha. Hapa duniani haijalishi upo mjini au kijijini Ila unachohitaji ili ufanikiwe na kutoishi maisha ya kuangaika ni kibali. Zingatia huu mchakato kwanza ili upate kibali. Fanya chaguzi kwa kuitikia wito wako. Ukiitikia...
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Waliofanikiwa katika dunia hii ni wachache sana, wengi bado wanahangaika

    Maana yangu katika kufanikiwa: Kufanikiwa ni kuwa na uhuru wa kifedha, kuwa na amani moyoni, bila kuwepo na nguvu ya ziada ya ushurutishaji; uwe wa kimawazo, kiuchumi au kimazingira. Hii inatafsiri, aliyefanikiwa anaweza kujiamulia mambo yake mwenyewe bila kuwepo na ushurutishaji wa kufanya...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnaojitafuta anzisheni familia mkishajipata, mnaharibu maisha ya watu na kutengeneza single mothers wengi

    Naomba niende kwenye point kabisa. Hii ni kwa wanaume/kaka/vijana kama mimi. Najua life ni ngumu na kwa kipindi hiki mwanaume kutafuta mpaka ukajipata sio kitu cha muda mfupi inachukua muda sana. Basi hii isipelekee kuwatesa viumbe wa upande wa pili basi. Utakuta mwanaume anasema ooh. Mimi...
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliopata ubaba kabla ya ndoa, ilikuwaje, ulichukua maaamuzi gani, ndie uliemuoa?

    Nakumbuka jioni ya siku kama ya leo kuelekea weekend nilimuita aje tuspend kwangu. Mida kama hii nashangaa msosi naoukuta mezani sio kawaida yake kuniandalia akija, aliandaa juice nzito, pilau la nazi na njegere. nimemaliza kula namsifu kwa mapishi yake ajiandae nae nimle, ndio akanifungukia...
  9. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ladies, waume zenu wana-cheat sio kwa sababu yenu ila ni kwa sababu ni hurka yao ila bado pia sio asili yao.

    Najua kuna watu watabisha sana ila mwanaume hata kama mwanamke wake ageuze mahaba na yawe kama ya wacheza pornograph lazima tu mwanaume atafata tu hurka yake ya kucheat. Hata kama bado aoe wake 10, bado tu atatafuta sexual pleasure kutoka nje. Mwanaume ana cheat ili apate comfort tofauti na...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania Kwa somo hili wanasiasa wote Tanzania bado ni kizazi cha wapigania uhuru-uhuru wa bendera

    https://www.youtube.com/watch?v=pCEYJFpwydw
  11. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Tanzania inakuzwa na watu wa nje, viwango vya wachezaji wetu (timu ya Taifa na vilabu) bado

    ....
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wenu hapa wakuu. Kuna mdada nmemtongoza kanambia anamchumba leo mwaka umepita, bado anaendelea kusogea karibu yangu

    Nikimwita gheto anakuja, akiniomba msaada nampa. Nampenda sana huwa nikimwuliza anasema "nakupenda lakini shida ni yule mtu nilienae". Nifanyeje ili nmpate wakuu?
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba bado anaendelea kuchukuliwa poa kwenye jamii

    "Formula yangu ni ile ile mwaka wa 7 sasa. Nikimtumia baba pesa X mama 2X" - Idriss Sultan Vijana kama hawa wakizeeka ndio wanaongoza kutoa lawama kwa watoto wao wa kiume kuwa wanaegemea sana kwa mama wakati utaratibu waliuanza wenyewe.
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

    Mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City umemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Anfield, matokeo ambayo yanaipa faifa Arsenal kubaki kileleni katika Premier League kwa faida ya magoli mengi ya kufunga Magoli yaliyoamua mechi ya leo Machi 10, 2024 yamefungwa na John Stones kwa...
  15. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Facebook bado ni mtandao muhimu sana duniani

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya watanzania wengi kuukataa na kuudharau mtandao huu wangine wamefikia hata kutaka kufuta account zao huko facebook Hali ambayo nimeona ni tofauti sana huko duniani kwa mabara ya ulaya na Asia wengi wameendelea kuutumia kwa manufaa makubwa Kuna kitu...
  16. Objective football

    JamiiForums Tanzania Kwa vigezo hivi bado sitotoboa UN agencies?

    Wakuu nina Bachelor ya agribusiness saizi nipo namalizia masters ya project management skills &packages nilizonazo • advanced excel,spss,word,power point •Valid driving licence .Report writing skills •business plan •Passport •Research proposal •communication skills niongeze wapi niweze...
  17. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni kipi ambacho hajakamilisha, kwanini bado Mwenyekiti?

    Ni kitu gani ambacho bado Mbowe hajakamilisha kinacho muweka kwenye kiti cha uenyekiti hadi sasa? Naomba nitajiwe. Upi mbadala wa Mbowe katika kiti cha uenyekiti wa chama? Uenyekiti wa Mbowe wa kipindi kirefu una faidi zipi na hasara zipi katika demokrasia na ukuaji wake?
  18. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya Wanawake wilaya ya Mbogwe za tarehe 7/3/2024 bado takwimu za unyanyasaji wa kijinsia zipo juu

    Wilaya ya Mbogwe Leo inaadhimisha siku ya Wanawake Duniani chini ya kaulimbiu " WEKEZA KWA WANAWAKE KUHARAKISHA MAENDELEO YA TAIFA NA USTAWI WA JAMII" huku takwimu za unyanyasaji zikionesha wanawake waliofanyiwa unyanyasaji na kutoa taarifa zikiwa 1309 na wasichana zikiwa 50. Taarifa...
  19. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Hii CCM inayofanya maongezi na balozi wa marekani bado ni Chama cha Mapinduzi?

    Kwa kawaida mabalozi hawaingilii mambo ya ndani ya nchi wanapowakilisha. Bila shaka ndio taratibu. Mambo ya vyama vya siasa ni mambo ya ndani ya nchi husika. Lakinini utasikia balozi wa marekani kukutana na kiongozi wa upinzani kwenye nchi anawakilisha hasa hizi za kiafrika zenye msimamo wa...
  20. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi yazionya Hospitali Binafsi kutokupokea Wagonjwa Wa dharura na Kuwa Discharge Wagonjwa mahtuti

    Serikali bado inaendelea na Sakata hili la BIMA baada ya waziri Kuongea na Huku Hospitali Zikizidi kukaza Shingo na kukataa Kukubali ombi la waziri na serkali.. Sasa msajili Wa Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi aja na Taarifa ya kuwaonya.
Back
Top Bottom