Bado imekuwa changamoto hasa kwa watumiaji wa vyombo vya moto.
Aidha ni kama Jeshi la Polisi halijajiandaa ama basi limekaa kisiasa zaidi.
Unafanya Aplication kwenye mfumo, Unalipia, unaweka appointment date ukifika unaelekezwa kwenda WILAYA nyingine kwaajili ya ukaguzi. Tatizo ni Eti Katika...