NMB badilikeni

Mark issa

Member
Mar 9, 2015
58
31
Imekuwa kawaida watu kukaa kwenye foleni pasipo sababu za msingi, katika hili mnatukwaza wateja wenu.
Bank ina madirisha yakutolea huduma hata 4 lakini unakuta hakuna dirisha hata moja linalofanya kazi na wakijitahidi sana ni dirisha moja ndio utakuta linafanya kazi.
Badilikeni katika hili, hii ni dharau kubwa kwa wateja wenu
Unakwenda bank unakaa masaa kadhaa dakika kadhaa 😏😏😏😏kweli huu ni upuuzi!!!😒😒😒😒
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom