bachelor

A bachelor is a man who is not and has never been married.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ninasoma BSc in Chemistry ila hii course inanikatisha tamaa kuhusu ajira kwani zipo chache sana

    Mimi ni mwanachuo ninasoma bachelor of science in chemistry mwaka wa pili ila sioni future katika hii kozi kutokana na ugumu wa ajira kwa hii kozi naomba ushauri wenu
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kati ya Bachelor of Arts in Economics na Bachelor of Economics and Finance

    Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu. Nimepata: 1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university 2: Bachelor of Economics and finance I F M. Naomba ushauri wenu wakubwa zangu nichukue ipi itakuwa bora zaidi. Nahitaji ku confirm chuo kwa Sasa hivyo muongozo wenu...
  3. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi bachelor degree?

    Habari wana JF, Mimi ni mwanachuo wa diploma mwaka wa pili nilikuwa naulizia kwa wazoefu kuwa naweza kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi kusomea bachelor degree na kama ni ndio, vigezo vyake na sites za ku'apply ni zipi?
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Bachelor ukirudi ghetto ni nini kinakupa Company?

    Ambao hamjaooa huwa mnafanya nini kuondoa upweke uwapo ghetto? Tiririka tupate maujuzi nasisi.... Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
  5. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote nina bachelor of science in chemistry (Mkemia)

    Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu kwa mwenye connection naomb msaada🙏. Update:
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za aliyesoma Bachelor of Science in Chemistry zinapatikanaje?

    Naomba kujua kuhusu bachelor of science in chemistry hapa kwetu Tanzania na ajira zake.
  7. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya kufundisha Physics nina Bachelor of science in physics

    Habari wanajukwaa? Nina Bachelor of science in physics (Sio ualimu). Kutokana na ugumu wa ajira na ugumu wa maisha kiujumla, nimekuja mbele zenu kutafuta kazi. Ninauzoefu wa kufundisha kwa miaka miwili sasa( Theory na practicle) kwa O level na A level. Nipo tayari hata kwa Interview, sambamba...
  8. Ngufumu

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa Kozi zaidi ya 40 zinazoweza kusomwa na Muuguzi mwenye Diploma

    Zijue Kozi 40+ za degree ambazo Muuguzi/Nurse wa Diploma anaweza kuzisoma Tanzania kwa mujibu wa Guidebook ya TCU 2024/2025 If your a Nurse Midwifery with an ordinary Diploma save this👇🏾 1. Bachelor of Science in Nursing - MUHAS, UDOM, St. John, Kcmc, KiU, Kairuki, Agakhan, ZU, miaka 2.5 - 4...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa kusoma Bachelor of science in Account and Finance ukiwa na Diploma ya HRM?

    Naomba kufahamu hivi ukiwa na diploma ya human resource management kuna uwezekano wa kuapply bachelor of science in accounting and finance
  10. solow swan

    JamiiForums Tanzania Benki kuu Tanzania (BoT) yatangaza nafasi za ufadhiri wa masomo elimu ya juu

    Benki kuu ya Tanzania(B.O.T) imetangaza scholarship katika mwaka wa masomo 2024/25
  11. ChampN199

    JamiiForums Tanzania Ni chuo kipi hapa Tanzania kinatoa Bachelor ya Electronics & Radar Engineering?

    Wadau na wana familia wa JF , naombeni msaada kwenye hili. Naomba kujua chuo gani hapa tanzania kinatoa kozi ya radar engineering ngazi ya degree.
  12. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Bachelor yeyote jitahidi uwe na vitu vifuatavyo

    Kitanda Fridge Gas cooker/ jiko la mkaa/ stove Subwoofer TV pana kiasi Leseni ya kuendesha gari Kabati la nguo na viatu Feni Sofa Mchongo wowote wa kukupa kipato halali Then baada ya hayo unaweza kuongezea; Biashara Kiwanja Nyumba Usafiri Mtoto Ukishafanikiwa kuwa na hayo yote si lazima uoe 😅
  13. mrPhysics

    JamiiForums Tanzania Je ni mashirika gani Tanzania yanatoa scholarship for continuing students wa bachelor degree?

    Habari Nipo na interest ya kufanya scholarship application zilizopo hapa hapa Tanzania, Je ni mashirika yani ukiachana MO foundation and Samia scholarship , yanatoa scholarship kwa continuing students if you first year GPA is more than 4.0 and you are a science student Thanks in advance, any...
  14. feyzal

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utofauti wa Bachelor of Medicine na Bachelor of Surgery vs Doctor of Medicine

    Habari wa kuu. Nikiwa naperuzi kuangalia kozi mbalimbali kwenye guide book ya TCU kwa mwaka 2024/2025 nilipofika chuo cha kampla nikakuta hiyo kozi. Naomba kufahamisha utofauti wake kimajukumu katika kozi hizo mbili.
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma mchepuo wa HGL anaweza kusoma Bachelor of Commerce in Human Resource Management UDSM?

    Wakuu, Najua kuna watu wamewahi kusoma Bachelor of Commerce in Human Resource Management UDSM. Hivi mtu aliyesoma mchepuo wa HGL anaweza kusoma hiyo kozi UDSM.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa physics & chemistry (bachelor) natafuta kazi ya kufundisha

    Habari wanajamvi, shule zinaenda kufunguliwa kesho hivyo kwa mwenye connection ya kazi ya kufundisha anisaidie, chuo nmehitimu UDSM
  17. Don Philipson

    JamiiForums Tanzania Ukisoma PGM unaweza kusoma cozi ya Bachelor of Science in Metallurgy and Mineral Processing Engineering UDSM?

    Habari wakuu Kuna dogo kamaliza form six mwaka huu alikuwa anasoma PGM Anatamani kusoma Hiyo coz pale UDSM inawezakana?
  18. kipanga85

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya mabachelor

    Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
  19. Dystopian Man

    JamiiForums Tanzania Bachelor of science in Interior Design

    Nilitamani kupata mawazo ya watu kuhusiana na kozi ya Interior design katika soko la ajira na hata kujiajiri, Yeyote mwenye top ideas kuhusiana na hii kozi
  20. Enosh Ibrahim

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Agricultural Economics and Agribusiness

    Hii kozi ya Bachelor of Science in Agricultural Economics and Agribusiness ina husiana na nini pia soko lake likoje,pia nahitaji kufahamu kama ni rahisi kujiajiri na kuajiriwa
Back
Top Bottom