bachelor

A bachelor is a man who is not and has never been married.

View More On Wikipedia.org
  1. zigi 01

    JamiiForums Tanzania Bachelor of computer science Jordan university college

    Habari, naomba kuelezwa kuhusu ubora wa chuo cha Jordan kwenye kozi ya computer science. Je wapo vizuri kwenye practical na theory? Wana maxingira mazuri ya kujifunzia yaani Lab za computer za kisasa zitakazomfanya mwanafunzi kujifunza vizuri? Napenda nijiunge hapo ila nijiridhishe kwanza na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu masomo ya Kiswahili na Literature

    Natafuta kazi ya kufundisha Secondary Kiswahili na Literature. Nimesoma, bachelor of education in adult education and community development
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ukishaingia kwenye situation kama hii, Bachelor, Masters, CPA au PHD haviwezi kukusaidia tena weka pembeni

    Ukishaingia kwenye situation kama hii Porini Bachelor, Masters, CPA au PHD haviwezi kukutoa hapa. Inabidi uweke vyeti pembeni kwanza. Ili uweze kutoka hapa utahitaji elimu ndogo sana, zaidi utahitaji skills flani za VETA na Uzoefu wa kuingia uvunguni kufunga mnyororo bila kujali kuchafuka...
  4. BENEDICT ISEME

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Bachelor Pharmacist

    Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy Location: Dar es Salaam NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY SALARY : NJOO NA DAU LAKO Mawasiliano: 0767810030
  5. BENEDICT ISEME

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Bachelor Pharmacist

    Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy Location: Dar es Salaam NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY SALARY : NJOO NA DAU LAKO Mawasiliano: 0767810030
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nimeamua rasmi kufunga mwaka na kuachana na maamuzi mabaya niliyofanya ya kusoma bachelor of science in chemistry sasa nimeamua nisome bpharm

    Baada ya kipindi kirefu Cha kuwa njia panda nimeamua nifunge mwaka na kubadili kozi.
  7. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Muuguzi mwenye Bachelor ni course gani za masters nzuri kusoma

    Wajuvi wa mambo twendeni kazi, Muuguzi mwenye Bachelor Ni course gani za masters nzuri kusoma
  8. P

    JamiiForums Tanzania Institute of accountancy Arusha (IAA) Complaint Regarding Delay in Issuance of Bachelor of Computer Science Certificate

    am writing to formally express my complaint regarding the delay in receiving my Bachelor of Computer Science certificate, which I completed in 2023 at your institution. It has now been over one year and four months since I graduated, yet I have not been able to obtain my certificate. This delay...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi

    Habari: Mimi ni mhitimu wa degree ya ualimu wa civil engineering,, Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi, kwa mawasiliano 0747541717.
  10. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kwa walimu tu; Bachelor of education in special needs vs Bachelor of education in policy planning and management ipi inamfaa mdogo wangu?

    I salute you kinsmen. Mdogo wangu kutoka kijijini alichaguliwa chuo huku mjini na ndio vile alipata ualimu kama mnavyojua maskini yeye ni ualimu ndiyo unamfaa ameona. Alichaguliwa hiyo Bachelor of education in policy planning and management lakini aliomba Bachelor of education in special...
  11. zigi 01

    JamiiForums Tanzania Bachelor of science in information system

    Habari wana JF, Naomba kufahamishwa vizuri kuhusu hii kozi ya Bachelor of science in information system inayotolewa UDOM pale CIVE Ina deal na vitu gani hasa? Na je koding ipo sana kwenye hii kozi? Fursa zake kwa sasa mtaani baada ya kuhitimu!!
  12. zigi 01

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Information System

    Habari wana JF, Naomba kufahamishwa vizuri kuhusu hii kozi ya Bachelor of science in information system inayotolewa UDOM pale CIVE Ina deal na vitu gani hasa? Na je koding ipo sana kwenye hii kozi? Fursa zake kwa sasa mtaani baada ya kuhitimu!!
  13. hk20

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/intern, Bachelor of Engineering in Electronics and Telecommunications Engineering

    Mimi (Me)- fresh graduate, course husika hapo juu, Kwasasa nafanya kama kibarua kwenye kampuni Fulani ya telecom ambayo nimekuwa Kwa muda wa miezi 6. Expertise zangu Kwa standards za Huawei ( ISDP, WebICT) Naomba mtu mwenye uwezo wa kunisaidia kupata internship/kazi ya uhakika hata...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu. Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Electrical Engineering na Bachelor of Science in Digital Content and Broadcasting Engineering nichaguwe kipi?

    Naomba msaada nimechaguliwa udom kusoma broadcasting engineering na electrical saut je niende wapi kwa better future
  16. K

    JamiiForums Tanzania Chuo gani bora cha kusoma Bachelor of Law kati ya hivi?

    Jamani, kama title inavyosema, mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa 1. RUAHA university-Iringa 2. Iringa university-Iringa 3. Tumaini Makumila university-Arusha 4. Mzumbe...
  17. RingaRinga

    JamiiForums Tanzania Kujiunga Bachelor ya Uhasibu TIA

    Nili confirm kujiunga TIA siku moja kabla ya muda kuisha na mfumo ulinikubalia vizuri tu, na pia ilikuwa baada ya TIA kutoa orodha ya first round kabla dirisha kufungwa, nisingekuwamo sababu niliyoeleza, sasa sijajua kama mimi ni mwanachuo rasmi wa TIA au watatoa orodha nyingine ili niwe na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wadau ninasoma bachelor of science in chemistry sion future katika hii kozi naomb ushauri

    Wadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ninasoma BSc in Chemistry ila hii course inanikatisha tamaa kuhusu ajira kwani zipo chache sana

    Mimi ni mwanachuo ninasoma bachelor of science in chemistry mwaka wa pili ila sioni future katika hii kozi kutokana na ugumu wa ajira kwa hii kozi naomba ushauri wenu
Back
Top Bottom