bachelor

A bachelor is a man who is not and has never been married.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania NIMECHAGULIWA IAE bachelor of education in adult education and community development nipeni abc za hi kozi

    Ndugu zangu ninaomba abc toka kwenu juu ya hiyo kozi, nimechaguliwa IAE dsm Nb mm ni mwl tayari,kwa yoyote mwenye kuifahamu hiyo kozi,pia fulsa ktk implementation kazini🤗
  2. A

    JamiiForums Tanzania kozi kati ya bachelor of sciencie in civil engineerng UDSm au bachelor of science in elecronic and telecom DIT

    Habari wakuu, Naomba msaada wa mawazo au ushauri katika kuchagua kati ya hizo kozi mbili nilizo zitaja hapo juu Kijana wetu amepata bahati ya kupata nafasi katika hizo kozi mbili hapo juu lakini nimeshindwa kumshauri achague ipi kwa vile sina uelewa mzuri wa hizo kozi ,
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wapinzani tafuteni watu wasomi wenye Bachelor, Masters na PhD kwa ajili ya kuchukua nchi 2025

    Wapinzani tafuteni watu wasomi wenye bachelor, masters na PhD kwaajili ya kuchukua nchi 2025. Tafuteni wachumi, wanasheria, wanasayansi, mainjinia, wahasibu, watu wasiasa, wanahistoria wenye bachelor, masters, PhD, waandikisheni, jazeni kwenye chama. Fanyeni hivyo, nendeni vyuoni andikisheni...
  4. yongpal

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa kozi ya Bachelor of science in Biology

    Habarini za mchana, Naomba msaada wa mawazo juu ya hii kozi hapo juu nimechaguliwa UDOM, nikisoma hii kozi kuna uwezekano wa kuwa mwalimu wa Biology au inahusika na nini hasa nje na ualimu.
  5. sudan iii

    JamiiForums Tanzania Achague kozi ipi kati ya Bachelor of Medical lab na Architecture

    Habari zenu ndugu yangu amechaguliwa kusom bachelor of Medical Lab Muhimbil na Bachelor of Architecture UDSM kwa upeo wenu ni wapi dogo aende kwa mstakabal mzuri wa maisha yake ya mbelen
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa multiple selection Bachelor of Medical Laboratory na Pharmacy niende chuo kipi?

    Habari, Selection zimetoka ambapo nimechaguliwa kusomea Medical Laboratory General Muhas na Bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University je nikasome course ipi kati ya hizo?
  7. dennoo_appliances

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanafunzi aliyesoma bachelor in computer science or information technology, awe anakaa Dar es Salaam

    Kama kichwa Cha habari kinavyosema ambaye Yuko dar anicheki, kama amemaliza chuo mwaka huu ndo itakuwa vizuri.
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science

    Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science. Na ina utofauti gani na BAF
  9. L

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mwenye kuifahamu vyema Bachelor of Metrology and Standardization?

    Habari zenu wakuu, Nilikuwa naomba msaada kwa anayeelewa Degree ya Metrology and Standardization sehemu atazoweza kufany kazi pamoja na basic salary yake.
  10. mcrounmj

    JamiiForums Tanzania Bachelor mimi nimedakwa na mke wa mtu

    Wakuu za majukumu. Awali ya yote niseme tu kuwa nilishaapa kutotongoza mke wa mtu cozi najua mke wa mtu sumu. Basi ni kama mwezi umepita, kuna siku mwanamke mmoja ameolewa, nimemzoea kama shemeji. Nilikutana nae meneo ya baa, alikuwa amejibust kidogo, aliponiona alinifuata na kunikumbatia huku...
Back
Top Bottom