bachelor

A bachelor is a man who is not and has never been married.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Nutrition and Catering with Education ya Sokoine inahusu nini?

    Habari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini?
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kitatoa lini fedha za ‘refund’ tumesubiri tangu Mwaka 2024

    Ninayo heshima kuwasilisha kero yangu kuhusiana na ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za ada nilizolipa kabla ya kupata mkopo wa elimu ya juu. Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) wa Mwaka 2024. Kutokana na kuchelewa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Shahada ya Uhandi kutoka MUST kutotambulika katika soko la ajira na kujuajiri

    Nimesoma katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) na nilihitimu miaka mitatu iliyopita katika programu ya Bachelor of Technical Education in Civil Engineering. Mwanzoni tulielezwa kuwa programu hiyo ingekuwa na faida mbili; mhitimu angeweza kuwa na sifa za uhandisi (Engineer)...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wizara ya Elimu, ingilieni kati kuhusu Utendaji wa NACTVET

    Kumekuwa na changamoto katika usimamizi na uchakataji wa taarifa za wanafunzi, kuanzia hatua ya usajili hadi utoaji wa namba za AVN. Ucheleweshaji huu umekuwa ukivunja matumaini ya wanafunzi wanaohitaji kuendelea na masomo ya elimu ya juu. Hadi sasa, vyuo mbalimbali, ikiwemo DIT, Tengeru, IAA...
  5. BumbleBeeBot

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu Bachelor of Arts in diplomatic and defence studies

    Kuna mdogo wangu amechaguliwa kwa programme ya Arts in diplomatic and defence studies, ameona aende hiyo (kwakuwa kapata UDSM), kozi zoote alizoomba Ud kapata hiyo tuu na ye humwambii kitu kuhusu UDSM. Kaacha sehemu nyingine alizopata procurement and logistics, BBA, insurance and risk...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii Bachelor in Tourism Management ya SUA ikoje?

    Wakuu hii kozi ikoje huko SUA? Inatoa watu competent? Au ni bora mtoto akaenda kusoma tour guide kwenye vyuo vilivyo chini ya VETA? Bachelor in Tourism Management ina soko kwenye ajira? Je inaweza msaidia mtu akajiajiri?
  7. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Miaka 26 sina nachomiliki zaidi Bachelor Degree valid traveling passport, Driving License class D. NATOKAJE

    Suruali mbili shati mbili boxer 3 vest 2 begi moja na smartphone Nahisi kupoteza Dira Wakuuu natokaje?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Bachelor in Business and Project management TIPM VS Project planning and Management IRDP

    Hey Guys, naomba ushauri kwa mwenye experience anaejuwa kuhusu kati ya hizi kozi mbili which one is much better to study? Job availability NGOs, private sectors and Government.
  9. Awakener The Lone Wolf

    JamiiForums Tanzania Bachelor of data science and AI vs bachelor of geoinformatics

    Wadau wa elimu naombeni msaada kati ya kozi hizo mbili ipi ni nzuri kwa miaka hii na ina future nzuri kwa miaka ijayo
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto Somo la Pharmacognosy KIUT Dar, Mwalimu Atajwa...!

    Kutoka Chuo cha KIUT Dar es Salaam, wanafunzi wa corse ya Bachelor of Pharmacy mwaka wa 4 na 3 tunakumbana na changamoto ya mwalimu mmoja ambae somo lake (pharmacognosy)mpaka uzunguke mbuyu ndio ufaulu hata mitihani yake sio standard kabisa.
  11. Panctuality

    JamiiForums Tanzania Nianze na CPA au bachelor degree?

    Habarini wakuu. Naomba kusaidiwa kimawazo, Mimi ni muhitimu wa Diploma in Accounting and Finance mwaka 2014 na tangu 2016 mpaka sasa ni muajiriwa as an accountant katika taasisi (private), Nafikiria kujiendeleza kielimu katika tasnia hii hii ya accountancy na katika kufuatilia hapa na pale...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waliosoma BACHELOR OF SCIENCE IN INDUSTRIAL ENGINEERING MANAGEMENT – Mzumbe hakuna ajira zao zinazotangazwa

    Mamlaka iliyoanzisha Kozi hii ya BACHELOR OF SCIENCE IN INDUSTRIAL ENGINEERING MANAGEMENT katika Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro. Sioni nafasi zikitangazwa kutoka Serikalini ingali kila mwaka wanachuo wanazidi kuhitimu na kurundikana mtaani pila kujua hatima yao wapi watatumia elimu yao waliyoipata...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Mipango Dodoma: Refund za wanafunzi waliomaliza Bachelor Degree mwaka 2025

    Wanafunzi tuliomaliza Chuo cha Mipango Dodoma mwaka jana (2025) mpaka leo hatujalipwa refunds zetu kwa waliozidisha ada na taratibu zote za kuhakiki account na majina tayari tangu tarehe 9 Januari 2026 lakini cha ajabu mpaka leo hakuna malipo. Tukiuliza kuhusu hizo refunds, hatupewi taarifa ya...
  14. dogman360

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu watu wa diploma wanaoenda Bachelor hamna mkopo

    Kila mtu wa diploma ninayr mfahamu hamna aliyepata hata aliye weka cheti cha kifo . Ni kazi kweli kweli kama mikopo ni ya form six tu waseme
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza ni kozi zipi kwa bachelor anazoweza kusomea mtu aliemaliza diploma ya pharmacy na hana grade D ya physics na mathematics kidato cha nne

    Naomba kuuliza ni kozi zipi kwa bachelor anazoweza kusomea mtu aliemaliza diploma ya pharmacy na hana grade D ya physics na mathematics kidato cha nne
  16. dogman360

    JamiiForums Tanzania Bachelor of science in human nutriton (SUA),Bachelor of Science in Clinical Nutrition and Dietetic(UDOM),Bachelor of Science in Food, Nutrition(OUT)

    Wakuu naomba tofauti kati ya hizo kozi na pia je hali yake ya ajira ipoje kwa sasa
  17. E

    JamiiForums Tanzania Tofauti gani kati bachelor of computer science na bachelor of science in computer science in software softwere engineering?

    Mimi nimwajiriwa Nina stashahada ya Ualimu (physics & mathematics) nataka kwenda kusoma mwaka huu course ya TEHAMA, Wakuu naomba kujua utofauti wa course ya bachelor in computer science Na Bachelor of science in computer science in software engineering
  18. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Anayejua kwa undani bachelor of plumbing and services engineering

    Habari wana jf nimeona kozi mpya chuo cha maji pale ubungo. Wameanza kutoa bachelor in plumbing and service engineer naombeni msaada kwa anayeijua vizuri fursa zake au changamoto zake
  19. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hivi Yesu aliwezaje kuishi bachelor kwa miaka 40?

    Hivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote hiyo? Ilhali hata mimi kuishi wiki tu siwezi hisia zake alizitolea wapi?
  20. P

    JamiiForums Tanzania Msaada physical adress NaPA kwaajili ya kuomba mkopo bachelor

    Jamani naomba msaada kwa anaye elewa, napataje reference numba ya physical adress kwaajili ya kujaza olams heslb
Back
Top Bottom