baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    GE2025 Baba Levo: Zitto ni gangue kwenye mitandao lakini huku mwepesi sana kama biskuti

    Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM, Baba Levo ametamba kuwa atashinda mapema sana saa tano asubuhi kwani mpinzani wake ni dhaifu kama biskuti
  2. W

    GE2025 Baba Levo: Nawashangaa wanaomshabikia Polepole

  3. The Father of All

    GE2025 Kama Jessica Magufuli anakubalika hivi, kwanini hakugombea jimbo na kuachana na ubunge wa viti maalum?

    Nimesoma kichwa cha habari kwenye gazeti la Mwananchi japo linamilkiwa na wageni kiasi cha kukosa maana yake kuwa Jesca Magufuli alivyogeuka turufu kwa CCM Kanda ya Ziwa. Kama siyo uchawa na kutaka kuuhadaa umma, kama anakubalika kiasi. hiki, kwanini ameishia kwenye ubunge maalumu wakati ana...
  4. ELI COHEN

    TAZAMA JINSI BABA WA SHEIKH NJUKI AKIONGELEA KWA UCHUNGU KUHUSU KIFO CHA MWANAE NA KUHUSU ALBADIR ALIOSOMEWA

    https://youtu.be/_lshKiauQnI?si=oS7IUQmHxyEmnl5u hamis77 Echolima1 Marco Seth Tazameni mazito ya hawa wenzetu
  5. R

    Watoto wa captain John Komba na nyimbo za baba Yao za kuudhihaki upinzani!! Kweli hakuna aijuae kesho yake!!

    Kweli tusiichezee Dunia!? John Komba wakati anaimba nyimbo za kuwatukana na kuwazodoa wapinzani hakikua nn kitaikuta familia yake,akidhani hiyo ndio Dunia atakayoishi yeye na familia yake!!! !! Naomba hili liwe fundisho!! Wewe ua Teka lakin Saa yaja!! " Nawavimbe wapasuke,waacheni waandamane...
  6. Mr Why

    Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee

    Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee vilivyojichokea Binadamu wote kuanzia wa kwanza mbele za Shetani ni sawa na kuku au mende na ana uwezo wa kufanya lolote na hatuna chakufanya Kwanza kabisa kabla ya kumzungumzia Shetani tizama Umri...
  7. Sales man

    Huyu Dada anayejiita Aminata aliyesema Baba yake ni kinana , hakutumia Akili amejiharibia sehemu kubwa sana ya Maisha yake.

    Huyu , Aminata nilimwambia njia aliyoitumia kumbagaza Mzee Kinana haikuwa sahihi. Hata angekuwa baba yake kweli lazima angejitafakari Sana kabla ya kufanya maamuzi hayo. Pole Sana Aminata Elimu yako haijakukomboa .
  8. Nehemia Kilave

    Nadhani Baba levo ni njia tu ya Zitto Kabwe kuingia bungeni , Safari ya Ukombozi bado ni ndefu sana .

    CCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo . Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba safari bado ni ngumu sana . Tuendelee kuomba Mungu aingilie kati . #free TL
  9. Mama Ametufikia

    Wanawake wana kitu inaitwa (Emotional Bonding) ,hii hasa ndo sababu ni ngumu single mothers kuacha kuwasiliana na Baba mtoto wake au X wake.

    Leo nimeamua kuwasaidia na maarifa nawapa bure . Kwanini single mothers hata umpe mahitaji yote ya muhimu , she will keep in touch with her EX or single dad . issue kubwa ni Emotional bonding,. Nadhani wanaume watakuwa mashahidi, pale akihitaji kuruka na X baby Mama wake huwa ni rahisi Sana .
  10. A

    Ukistaafu, staafu By Baba Askofu

    Kuna Askofu ame shauri kwamba Kiongozi akistaafu, basi astaafu kikweli kweli, sio mguu moja Ndani , mwingine nje, Kwani huko ninkulitakia Taifa shida au migogoro.
  11. Teslarati

    PICHA: Watoto wa Arnold Wamelelewa tofauti, mmoja kalelewa na baba yake mwingine na mama yake. Ona tofauti hapa

    Uzi tayari. Hitimisho: Single maza ndio chanzo cha kupoteza masculinity ya watoto wa kiume.
  12. The Zanzibar Echo

    Uteuzi wa kushangaza CCM, Ummy Mwalimu akitoswa, Baba Levo aula

    Chama tawala nchini Tanzania, CCM, kimehitimisha mchakato wa uteuzi wa wagombea wake wa ubunge kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ambapo matokeo yake yameibua mshangao baada ya baadhi ya majina makubwa kuachwa nje na sura mpya kuteuliwa. Katika mabadiliko hayo, aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa...
  13. P

    GE2025 Baba Levo VS Zitto Kabwe naomba qualification/CV zao

    Naomba qualification/CV zao. Bila Shaka kwenye Elimu na Uzoefu wa siasa, ZITTO atakuwa anamzidi Baba LEVO. Sifa zingine: Baba LEVO ni CHAWA ZITTO ni mnafiki na opportunist.
  14. Rorscharch

    Mungu Mmoja Katika Vipengele Vitatu: Baba, Mwana, na Roho

    Mjumbe Wa Nafsi Za Watu Kwanza, tuanze na jambo la msingi. Watu husema “Mungu ni mmoja,” lakini maandiko ya Kikristo yanasema Yupo katika sura tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Hii siyo hesabu ya kawaida. Si rahisi kama kusema moja + moja + moja = tatu. Bali ni fumbo la maisha lenye maana...
  15. Adverse Effect

    Je, unafahamu maisha ya watoto wa familia ya Benito Mussolini baada ya kifo cha baba yao 1945?

    Unafahamu kilichowapata watoto wa Benito Mussolini baada ya kifo chake? Je, walibeba mzigo wa makosa yake? Baada ya kuuawa kwake mwaka 1945, watoto wa Benito Mussolini waliishi maisha yenye mashaka na huzuni tele. Ingawa wao wenyewe hawakuwa wahalifu kama baba yao, walijikuta wakibeba mzigo...
  16. wakunyonya

    Nigeria, Ripoti: Mtoto mmoja kati ya watoto wanne siyo wa baba anayedhaniwa

    !!Wanaume kuna ujumbe wenu hapa... Ripoti mpya ya Taasisi ya Vinasaba ya Smart DNA iliyo na makao yake nchini Nigeria imefichua kuwa kati ya watoto wanne, mmoja anakuwa sio mtoto halali wa baba anayedhaniwa na hivyo kuchochea kile ambacho wengi sasa wanakielezea kama mgogoro wa uzazi. Ripoti...
  17. Beira Boy

    Watanzania tunaomba kujua ni wapi alipo baba yetu mkuu wa usalama wa taifa seleman mombo DIGS

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana Mkuu wa usalama wa taifa siyo mali ya kikundi flan cha watu bali ni mali ya watanzania wote Kwa kuwa ni mali ya watanzania wote bas tunaomba kujua ni wapi alipo huyu baba yetu kipenz mzee seleman mombo Asanten sana LONDON BOY
  18. Expensive life

    Video: Nyumbani baba, kazini kichaaa

  19. N

    Wakuu humu Jf kwa jinsi watu walivyo nafikiri unaweza kubishana na baba yako na usijue

    Wakuu humu Jf kwa jinsi watu walivyo nafikiri unaweza kubishana na baba yako na usijue au mnasemaje wakuu ?
  20. DR HAYA LAND

    Urithi sio Majumba na pesa pekee ila hata ukipita sehemu kila mtu anasema Baba yako alikuwa mtu mzuri na mtu huo pia ni urithi.

    Urithi sio majumba na pesa pekee Ila hata ukiwa unapita pita sehemu kadhaa watu wanakuambia baba yako alikuwa MTU bora na mwema huo pia ni urithi. Maana unajisikiaje Baba yako anakufa watu wanashangilia na kusema alikuwa MTU Mbaya Sana kuwahi kutokea duniani.
Back
Top Bottom