baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu,

    Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu, maadili mema na nia ya kujenga uhusiano wa kweli unaoweza kuishia kwenye ndoa. Umri ninaopendelea ni miaka 20 hadi 32. Ninaamini uhusiano mzuri huanza...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Taharuki Mpimbwe: Katibu wa Hospitali Asimamishwa Baada ya Kuibua Maswali ya upigaji wa Fedha

    Katibu wa Hospitali ya Wilaya ya Mpimbwe amesimamishwa kazi na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe baada ya kuhoji masuala yanayohusu malipo ya fedha za kujikimu kwa waajiriwa wapya pamoja na matumizi ya fedha za ujenzi wa njia za watembea kwa miguu (walkway) katika hospitali ya wilaya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mawakili 40 waungana kumtetea Besigye baada ya Martha Karua kuzuiliwa kuingia Uganda

    Mawakili 40 kutoka Taasisi 12 za uwakili nchini Uganda wameungana kumtetea kiongozi wa upinzani, Dkt. Kizza Besigye na Hajj Obeid Lutale ambao wamewekwa kizuizini kwa muda sasa. Wamewasilisha maombi mapya Mahakama Kuu kupinga hatua za serikali wanazodai kuwa zinakiuka haki ya kikatiba ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu mkubwa wa kusomea Fani yoyote baada ya kumaliza shahada yako.

    1.Truck driving. 2. Heavy Duty machine operator 3.Tafsiri na mkalimani(Chinese) 4.Ufundi Bomba Kijana muhitimu wa elimu ya juu tumia miaka miwili baada ya kuhitimu kutafuta Fani ambazo zitakufanya uishi vizuri huku ukisubiri kazi ya Taaluma yako(academic qualifications) Ahsante
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya maisha kunichapa haswa mkoani, sasa nakuja Dar es Salaam kuanza from zero. Nipe neno lolote

    Maisha ya mkoani shikamooo Hakuna connection Hakuna dili za kutosha Kazi ngumu malipo hafifu Sasa nakuja Dar es salaam kutafuta Nipe connection ushauri nk Karibu
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Ufugaji kuku kunishinda Nataka nigeukie Sungura

    Wakuu, Kufuga kuku kuna changamoto nyingi na gharama kubwa ! Hapa nimekumbuka hivi viumbe Sungura nilivifuga sekondari vinazaliana haraka na vina nyama tamu san!! Nataka nifuge hivi sasa! Kwa ajili ya chakula tu kwangu
  7. L

    JamiiForums Tanzania Profesa Musa Assad: Mshahara Wangu Ulikuwa Million 7 Na baada ya Makato Ulibakia Million 5 , Gari Zuri V8 na Marupurupu Mazuri.

    Ndugu zangu Watanzania, Aliyekuwa CAG wakati wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Profesa Mussa Assad Amesema ya kuwa Mshahara wake kabla ya Makato ulikuwa ni Milioni 7 . Ambapo Baada ya Makato alibakiwa na Million 5. Amesifia Nafasi hiyo kwa kusema ni nafasi yenye marupurupu manono,Gari...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna Mwanaume Katoka Leo kuendelea na Mikutano ya kisiasa? Baada la Katazo la Waziri wa Mambo ya Ndani?

    Vyanzo vyangu vya Taarifa vimejihakikishia hakuna Kunguni yoyote aliyetoka leo baada ya Katazo la Waziri wa Mambo ya Ndani Mheshimiwa sana Patrobas Katambi. Mikutano ya Chuki, Matusi, Uzandiki na Uchochezi hatimaye imekwisha kabisa. Kama ulikua hujui hiyo ndiyo Serikali.
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya kupotea miaka kadhaa sasa nimerudi, nilikua kwa kina smigo 😂😂,Nina madini mengi kutoka huko, huku Duniani Kuna mpya gani tuanze nalo

    Baada ya kupotea miaka kadhaa sasa nimelud, nilikua kwa kina smigo 😂😂,Nina madini mengi kutoka huko, huku Duniani Kuna mpya gani tuanze nalo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Madai ya Sheikh Mwaipopo Kunusurika Utekaji: Tishio Halisi au Kiki za Kusafisha Bonge la 'Backfire' la Kauli ya Kutahiri Watu?

    Wakuu salama, Kama mnavyofahamu, nchi yetu hivi karibuni imekuwa kwenye taharuki kubwa ya matukio ya watu kutekwa na kupotea. Lakini katika hali ya kushangaza na inayoacha maswali mengi, Sheikh Said Mwaipopo naye amejitokeza na kudai kuwa kuna watu walifika ofisini/nyumbani kwake wakiwa na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Single maza bwana, yaani baada ya kukurudisha kwenye chati ndo umeamua kumrudia baba watoto wako

    Nilikukuta umechoka mbwa wewe unalala sebuleni kwa rafiki yako eti umetoka huko ulikotoka kuja kutafuta kazi baada ya kuzalishwa watoto wawili uliowaacha kwa mama yako. Nikakupenda kutokana na ucheshi na heshima ulikuwa ukinionesha kwenye nyumba tuliopanga mimi na rafiki yako. Bwana...
  12. JamiiForums Tanzania Alipouawa Mchina, wauaji walikamatwa haraka sana, wapopigwa WATANZANIA na Wachina, je kuna Mchina amekamatwa?

    Waliopigwa na Mchina, wamelazwa hosptalini, ili aliyewazuru akamatwe, imewabidi majeruhi kujirekodi huku wakiwa wanalia ndo mpigaji wa kichina alipokamatwa na polisi Hii imekaaje? Mbona yule mchina ALIYEUaWA, tuliwakamata wale Masai feki haraka?
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutopewa Matokeo ya Chuo kwa muda stahiki hata baada ya kufanya ufuatiliaji wa muda mrefu

    Habari, najua hii ni personal lakini nimemaliza chuo cha CBE Dar es salaam tangu mwaka 2021, nimekuwa nafuatilia matokeo yangu mpaka leo sijapata. Nashindwa ku apply masters na ni vigumu kupanda cheo au mshahara sababu ya kukosa hayo matokeo ya bachelor. Huwa nawaza kama hawa viongozi au...
  14. JamiiForums Tanzania Checkmate ya Siasa: Pale Mfumo Unapolazimika Kujilinda Dhidi ya Shinikizo baada ya kufanya blunders

    Anaandika Robert Heriel Mtibeli Post zilizopita nilisema serikali au mtu hutawaliwa na kwa kutumia mambo matatu. Yaani ili serikali yeyote dunia iongoze hutumia. Mambo haya matatu; a) Hofu Kile watu wanachokiogopa. Serikali nyingi za kimabavu hutumia njia hii. Hata hivyo hasara ya njia hii ni...
  15. JamiiForums Tanzania Pastor anusulika kufa maji baada ya kutaka kuigawanya bahari kama alivyofanya Nabii Musa

    Ndugu zangu katika imani kama hauna upako na kibali cha Mungu husithubutu utakufa maji.
  16. JamiiForums Tanzania Mtwara: Mwanafunzi afariki dunia baada ya kunyongwa na watu wasiojulikana

    Mwanafunzi wa darasa la tatu mwenye umri wa kati ya miaka nane hadi kumi, mkazi wa Mtaa wa Lilungu katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, amefariki dunia baada ya kunyongwa na watu wasiojulikana. Tukio hilo limetokea jioni ya Juni 21, 2026, ambapo kwa mujibu wa mashuhuda, mtoto huyo...
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya raia wa Zimbambwe baada ya kurudi akitokea Afrika Kusin tangu 2009

    Kumekuwepo Picha inayosambazwa kwenye mitandao ya Facebook, Instagram na X (zamani Twitter) kumuonesha mwanaume wa Zimbabwe aliyekwenda Afrika Kusini mwaka 2009 na kurejea nyumbani baada ya miaka 16 kufuatia mashambulizi dhidi ya wahamiaji (xenophobic attacks), ambapo amekuta nyumba ya familia...
  18. JamiiForums Tanzania Kenya Vs Tanzania: Wenzetu Kenya baada ya kuzidiwa na madeni hii ndio njia mpya walioichagua kujenga uchumi wao.

    SASA KENYA INAJIELEKEZA KWENYE SEKTA BINAFSI ZAIDI KATIKA UJENZI WA TAIFA LAO, Mfano, Katika bajeti ya Kenya ya mwaka wa fedha 2026/27, serikali imeweka mkazo mkubwa wa kimkakati kwenye Ushirikiano wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPP). Hali hii inatokana na kubana kwa nafasi ya kifedha kutokana na...
  19. JamiiForums Tanzania Wadau hivi deni LA taifa lina effects kweny uchumi WA mtu binafsi kama huyu mdau alivyoeleza Facebook kwenye hiyo comment yake baada ya Prof Tibaijuka

  20. JamiiForums Tanzania Taifa la Tanganyika litarudi likiwa imara zaidi baada ya kupitishwa kwenye tanuru la moto.

    Taifa la Tanganyika limejifunza mengi baada ya kifo cha Hayati Rais John Magufuli na kupelekwa utumwani, yaliyotokea oktoba 29 yamerudisha kumbukumbu za Watanganyika.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…