baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja

    Baada ya miaka 30 pamoja, na watoto 3, Pep Guardiola na Cristina Serra wanaonekana kutengana. ๐Ÿ’” == Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30. Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manchester City...
  2. Netanyahu asusia kwenda kwenye uapisho wa Trump baada ya Trump ku share post inayomkosoa. Kuna usalama kweli?

    Wakuu, Kumbe mambo yanafutuka huko Marekani kati ya Donald Trump na Netanyahau na wala hamsemi? Imeripotiwa hivi karibuni kuwa Netanyahu amesitisha safari yake kwenda Washington kwa ajili ya kuhudhuria uapisho wa Donald Trump. Imetajwa kuwa sababu ya uamuzi ni kutokana na retweet ya...
  3. C

    MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

    ninayoandika hapa simsingizii mtu bali natoa habari zangu kwenye vyanzo vya uhakika. sasa hivi mc pilipili ana trend baada ya kutangaza kuachana na mwanamke wake na kwenda mbali zaidi kusema ana tamaa huyo mwanamke. kwa wasiomjua mc pilipili hakukurupuka hadi kufikia hatua ya kuwa msanii...
  4. S

    Kikundi cha rsf kuongea na waandishi wa habari jijini Nairobi- kenya ikiwa ni baada ya kupoteza udhibiti wa mji wa wad madani

    Kulingana na The Eastleigh Voice, kikundi cha RSF cha nchini Sudan kitaongea na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya mnamo Jumatatu ya tarehe 13 Januari 2025. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu RSF wapoteze udhibiti wa mji muhimu wa Wad Madani. Kuipoteza Wad Madani ni pigo kubwa...
  5. Kwahiyo Kocha Mnafiki Ibenge baada ya jana kufika Bei na kuwaachia 'Calculator FC' ndiyo kaamua Kuidhalilisha hivi Simba SC?

    Katika Mtandao wa Sokavibe6 ameonekana Kocha Ibenge akiwa na Ali Kamwe na Privaldinho kutoka Yanga SC akisema kuwa Simba SC huwa wanaweka Dawa Vyumbani kwa Mkapa ili kuzifunga Timu za Kigeni na kwamba Yanga SC huwa hawana huo Utaratibu. Huu ni Udhalilishaji mkubwa na kutaka tu kuichafua Klabu...
  6. Jinsi Ambavyo Ningefanya Baada ya Kuishika Milioni 100 za haraka

    Kuna wakati mtu unapata pesa za haraka alafu unashindwa kuwaza ufanye nini kwa haraka ili pesa yako isiishe bila kufanya cha maana. Wengine wanapata kutoka kwenye kiinua mgongo, mafao fulani, wengine mkopo, wengine ni mgao fulani, wengine wanagawiwa kama zawadi n.k Kama mimi ningebahatika...
  7. K

    Wananchi wa Kijiji cha Nyangunge hawana maji baada ya vituo vya kuchotea kufungwa

    Nimeona Habari hii ITV, nikasema ngoja nishare na wanajukwaa. Inatoka uko Kijiji cha Nyangunge kilichopo katika Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wananchi wa Kijiji hicho wanasema wamekosa huduma ya maji safi na salama kutokana na vituo vya kuchotea maji kufungwa zaidi ya miezi miwili Sasa...
  8. Baada ya Syria ya Assad Je, sasa ni zamu ya Egypt ya Sisi ? Movement ya kumtoa madarakani yahofiwa kuanza

    Baada ya utawala wa Assad kuangushwa Syria, yahofiwa movement inayofuata ni ya kuondosha utawala wa Misri wa Sisi. Movement hiyo ni January 25 Revolutionaries Movement. Je, hawa wapiganaji watafanikiwa ? https://x.com/BroderickM_/status/1878204005450690640?t=mV3t7TJCfbPpIy2Ta18SXw&s=19...
  9. M

    Baada ya picha ya Mbowe na Lissu : Maria aandika hivi

    Wapendwa ushauri huu ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ โ€œSiasa usiweke kwa moyo. Weka kwa lungsโ€ ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Haya msinitafute baadaye na ma presha huko! Siasa za nchi zetu hizi unaweza chizika bure kumbe! Haya muwe na usiku mwema ๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ ............ User mwengine akajibu hivi; Siasa za Africa ๐ŸŒ ndivyo zilivyo Wanasiasa wanatofautiana...
  10. Baada ya kutumia P-2 hawezi kushika ujauzito , je afanye nini ili akae sawa

    Ndugu zangu salaam sana.. Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito. Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2 Baada...
  11. Baada ya kutumia P-2 sasa anashindwa kubeba ujauzito, je afanye nini aweze kukaa sawa

    Ndugu zangu salaam sana.. Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito. Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2...
  12. TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

    Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10. Timu hiyo ya DR Congo kwa sasa ina alama 2 baada ya mechi 5, na haina nafasi yoyote ya kusonga mbele hata...
  13. Jana nilibahatika kusindikizwa na police mpaka nyumbani baada ya kuzidiwa na kilevi.

    Jana bana baada ya kazi kumbe nilipita bar flani kusuuza koo.nikapiga konyagi kubwa ile nikazima,sasa muda umeenda wahudumu wakaniamsha kuwa wanataka kufunga niondoke,me kwa utani nikawaambia niitieni police wanisindikize nyumbani,bahati nzuri kuna gari la doria la police likapita...
  14. Makosa ya kuepuka baada ya mahusiano kuvunjika

    Mahusiano yanapovunjika huwa kuna mabadiliko ambayo hujitokeza ndani ya mwili, Watu wengi hawajui kueleza maumivu hayo husema tu "mapenzi yanauma sana" lakini ukihoji yanauma vipi na sehemu gani wengi hawajui wala hawawezi kueleza.Hivyo basi badala ya kuishi huku unasikia stori za mapenzi...
  15. Kununua Pikipiki 3M, kumpa Boda kwa mkataba, Baada ya Mwaka inakua yake, wewe umeingiza lak 6, ni Wehu.

    Yaaani Unatoa 3M, Unaletewa 10k ร— 365 = 3,650,000 Faida kwa mwaka = 650,000 Faida kwa mwezi = 54,000. Faida kwa siku = 1,800, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Wagonjwa wa akili ni wengi.. Issue sio aina ya biashara tuu, japo bado ni ya kufikiria mara mbili, Maana inamaanisha Piga Ua, faida ya Mmiliki wa boda boda(1,800)...
  16. Nigeria: Aliyemtukana Mungu ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani

    Mwanaume asiyeamini kuwa Mungu yupo kutoka nchini Nigeria, Mubarak Bala (40) ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani kwa tuhuma za kumtukana Mungu kupitia Facebook mwaka 2020. Mubarak alikamatwa Aprili 28, 2020, kwa tuhuma za kukufuru dini na uchochezi kutokana na...
  17. K

    PreGE2025 Uchaguzi Chadema: Mbowe anasema wapigaji kura watahojiwa mmoja baada ya Mwingine

    Akihojiwa na Kikeke nimemsikia Mbowe akisisitiza kwamba wapiga kura wataitwa mmoja mmoja na kuhojiwa hadharani (live) katika Kumchagua Mwenyekiti Mpya. Binafsi nadhan hiyo sio sawa, wangepiga kura za Siri na baada ya hapo ndio kura zihesabiwe live, hili kuepuka intimidation kwa wapiga kura...
  18. Kuna walioanza mwaka 2025 kwa kupata magonjwa baada ya kufanya mapenzi kizembe

    Poleni sana, ni muhimu kujifunza kujali afya kwanza kabala ya starehe. Tazama sasa maumivu unayopitia, gharama na muda unaotumia kujitibu kwasababu tu ya starehe ya muda mfupi. Jifunze kutumia kinga na kuepuka kufanya ngono zembe kiholela. Baki njia kuu. Kunywa pombe kupita kiasi ni hatatari...
  19. Jamii ya wahadzabe ilindwe, baada ya miaka 8 hawatokuwepo tena

    Ndani ya hii miaka miwili Kuna muingiliano mkubwa sana wa jamii wa watu wa hadza na watu wa ulimwengu wa kwanza kitu ambacho binafsi naona kama kitachangia sana kuharibu mfumo wa mzuri wa kiasili waliouzoea kuishi na kuondoa kabisa ule utambulishi wao kama wahadzabe Wageni wengi wanaokuja...
  20. Baada ya Lissu, Mbowe, Wenje na Heche sasa ni zamu ya John Mnyika kuunguruma

    Katibu mkuu wa CHADEMA anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kesho 07/01/2025 saa tano asubuhi katika makao makuu ya chama hicho.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ