The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.
Rais wa Marekani awaambia Israel ‘kuacha mara moja kurusha mabomu Gaza’, asema Hamas iko tayari kwa ‘amani ya kudumu’.
Hamas imesema inakubali sehemu kadhaa za mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kusitisha vita vya karibu miaka miwili vya mauaji ya halaiki ya Israel dhidi ya Gaza, lakini...
Wadau mi ni mtu mzima wa miaka 29,
Kuna binti nilikuwa na mahusiano nae mpaka tukaanza kuishi pamoja.
Kabla ya kuishi pamoja nilimpa ujauzito kwao wakaja kujua, binti alifokewa na kwao walimkataa asiende baada ya kumaliza chuo, Nilimhudumia ujauzito Lakini Mungu akasaidia kwao wakarudisha moyo...
Takribani watu 30 wamepoteza maisha na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya skafoldi kuporomoka katika Kanisa la Menjar Shenkora Arerti Mariam, jimbo la Amhara kaskazini mwa Ethiopia. Tukio hilo lilitokea asubuhi wakati waumini walipokusanyika kusherehekea sikukuu ya kila mwaka ya Bikira Maria...
Back to the topic, ile kauli ya usishindane na ulikotoka yamenikuta wakuu.
Jana niliingia lodge na single mother mmoja. Huyu huwa nishawahi mlaga kama mara mbili hivi huko nyuma, najua huwa anashoo ya kibabe. Sasa jana ilizidi wakuu.
Yaani huyu demu ni wale wanawake wembamba ambao huwa...
Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amezuiliwa chini ya 'Sheria ya Ugaidi' leo, kwa klipu aliyoirusha hewani saa chache kabla kwenye chaneli yake ya YouTube ambapo alisema:
"Israeli itafutwa kabla ya Palestina kuwa, na kama unavyojua, ni matakwa yangu na matumaini yangu."wachochezi...
Sio upande wa rasilimali tu hata tukianza kuzungumzia KODI zetu ambazo zimeongezwa kula siku na kila mahali, pesa iko ya kutosha sana.
Usikubali thamani yako iwe ni kitenge, tisheti, baiskeli na elfu kum
Another "UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA"
Kinachoenda kutokea ni kama tumejifungia chumba kimoja na chui halafu tunatumia vibaya risasi zinaelekea kuisha halafu chui bado hajafa, last bullet
Yani kuanzia hapo mwezi wa11 katikat mambo yatakua magumu sana kama tutashindwa kummaliza maana chui aliejeruhiwa nae atataka kuwakomesha...
Kimbunga kikubwa Ragasa kimeingia nchini China na kusababisha taharuki kubwa, huku watu wapatao milioni mbili wakilazimika kuhamishwa.
Huko Taiwan, takriban watu 17 wamefariki dunia baada ya bwawa la maji kuvunja kingo zake na kusababisha mafuriko makubwa mashariki mwa kisiwa hicho. Wataalamu...
Abiria wanaotumia usafiri wa Mwendokasi wameshuka kupitia madirishani katika Kituo cha Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kusimamishwa na polisi kwa madai ya kuzidisha abiria kupita kiasi.
Tukio hilo lilitokea leo asubuhi, majira ya 08:25, ambapo...
Baraza Kuu la Usalama la Kitaifa la Iran siku ya Jumamosi lilisema kuwa litasitisha ushirikiano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura ya kupinga kuondolewa kabisa vikwazo dhidi ya Tehran.
Katika taarifa iliyochapishwa na...
Hizi karibuni nililalama kwamba TCRA ambao wametakiwa kupokea maombi ya ajira za PAPU hawajaweka details. Soma Hizi nafasi za kazi za PAPU zinazopitia TCRA hazina infomation za kutosha rekebisheni
Nadhani Uzi wangu waliusoma na kuweka taarifa za nafasi hizo, sasa angalia mishahara ilivyo...
1. Atawatumia wachezaji waliopo bila shida. Kama alimtumia chasambi na balua hawa atawapeleka
2. Takwimu zinambeba kuwa na matokeo makubwa mno kila akiachiwa timu kuliko kocha yeyote wa nje.
3. Anaijua vizuri Simba kwa sasa.
4. Try Again hayupo. Ambaye kila Ajira ni dili kwake simba.
Naomba...
Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha.
Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani...
Natamani yafuatayo
Mohamed Nchegerwa aka mkwe awe waziri mkuu,
Ridhiwan Kikwete awe naibu waziri mkuu
Wanu Hafidh awe waziri wa mambo ya nchi za nje
Salma Kikwete awe waziri wa ulinzi
Kunje ngombale-mwilu awe waziri wa kilimo
Ongeza wako.
Nafikiri kimya kimya na kichokonozi japo mazwazwa...
Wataalam wa kuendesha pikipiki hebu nisaidieni hapa.. Huwa naendesha gear namba 3 na sio speed kubwa kulingana na jiogrofia ya maeneo ninayoishi.
Ila Shida inakuja nikitaka kusima hata kidogo pikipiki huwa inajizima na kunitaka hadi niiwashe tena.. hivi ninafeli wapi hapa wajuzi wangu..?
Na...
Mahakama Kuu ya Kenya imeamuru kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayetuhumiwa kumuua Agnes Wanjiru karibu na kambi ya mafunzo ya jeshi la Uingereza huko Nanyuki miaka 13 iliyopita. Mwili wa Agnes Wanjiru, mwenye umri wa miaka 21, ulikutwa ndani ya shimo la choo mnamo Aprili 2012, wiki chache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.