baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufungiwa Jamii Forums, ni wazi msimu huu wa ligi unaenda kupooza

    Huu msimu wa mpira unaenda kupooza kama uji wa mgonjwa. Yanga walishalijua hili ndiyo maana mambo mengi wanafanya ya hovyo bila kujali, kuanzia usajili usio na tija, jezi na hata ile milioni 100. Unaweza kudhani naongea kishabiki ila nina maana yangu kuitaja Yanga katika hili. Ni wazi Simba...
  2. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

    Habarini jamani!!!! Mwendo ni ule ule Oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaaa baada ya mauza uza apo mwezi kati😃 Jana nilileta uzi kumhusu shemeji yangu mwenye dalili za kishoga ambazo amekuwa akizionesha mitandaoni hasa Tiktok yy amekuwa akisingizia ni mbinu za kuongeza followers lkn ikanitia...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nmekuwa na huu URAIBU kwa Miaka zaidi ya 30 sasa naelekea kuacha baada ya kukutanishwa na Wataalam

    Wajameni.... Mimi nlikuwa nahonga. Nlikuwa nahonga mpaka nahonga. Miaka zaidi ya 30 mimi nikitaka demu sina maneno mengi, sina mistari ni kuhonga tu. Unajua sisi wengine ambao sio hendisamu na pia hatuna sana mvuto na hatupendi kujieleza tunaona shida sana kukimbizia mbunye. Ni mwendo wa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu,

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu, haya yakijiri baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia dola bilioni 46.5 kufikia mwishoni mwa mwezi Juni, wakati pia ripoti ya hivi punde ya benki ya Tanzania...
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Nimepona tena baada ya kuweka mkono na kukemea ugonjwa!

    Kama kawa, nimekuwa nikiwaletea habari za kweli kabisa, bila kuchanganya hata tone la uongo. Leo tena napenda kuwahabarisha kuwa jana, ghafla tu, nilipata maumivu makali sana katika sikio langu la kushoto. Ni maumivu makali yaliyoenea mpaka upande wa juu wa kichwa changu. Kama hiyo haitoshi...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Honda wamezindua 6th Gen Honda Prelude: Hii Coupé imerudi baada ya Civic na Accord coupés kusitishwa!

    Honda Prelude ni sport car iliyotengenezwa kutokea 1978 na kusitishwa mwaka 2001, na sasa inarudi officially. Inakuja na 2.0 L engine, ikiwa imeunganishwa na dual-motor hybrid system, ambavyo kwa pamoja vitakupa 200 hp na efficiency ya 20 km/L average. Wanatumia CVT transmission ikiwa na...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Vyama vinavyojinadi kuleta mabadiliko ya Katiba baada ya uchaguzi kupitia Ilani

    Madai ya kuwa na katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano yamekuwa ya muda mrefu, tangu wakati wa kurejesha mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, ambapo Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipendekeza suala hilo ili katika iliyokuwepo iendane na mfumo huo. Hata hivyo, mabadiliko ya Katiba hayakufanyika wakati...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya Majeshi ya Israel kuanza kupiga Jaramba kwenye viunga vya Gaza Magaidi wa Hamas wapata kiwewe!!!

    Hamas imesisitiza utayari wake wa kuingia katika makubaliano ya kina ya kuwaachilia mateka wote wa Israel walioko kizuizini. Kwa upande wake, kundi hilo la kigaidi linadai kusitishwa kwa vita huko Gaza, kuondolewa kikamilifu kwa majeshi ya Israel, kufunguliwa kwa vivuko vya mpaka kwa ajili ya...
  9. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Baada ya kelele nyingi, Yanga yaamua kutoa jezi mpya

    Yamesikika maneno mengi na kejeli nyingi. Mara, ukisikia dunia tambala bovu, ndiyo hili. Wengine wanasema jezi zinauzwa kwa kilo. Wengine wanasema jezi zinavaliwa na wajumbe wa kutiki oktoba. Wengine wanasema ukiscan jezi inakupeleka Mkuranga. Wengine wanasema moto umewekwa kuunguza mapafu kama...
  10. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Code: Kabla ya siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi kuna mibuyu mikubwa miwili itaanguka.

    Copy Code; Save the code.
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania Sudan watu zaidi ya 1,000 wafariki dunia kwenye maporomoko ya ardhi. Kijiji chote kilifunikwa

    Wakuu, Maporomoko mabaya ya ardhi katika eneo la Darfur nchini Sudan yamefuta kijiji kizima, yakiua zaidi ya watu 1,000 na kumuacha mtu mmoja pekee hai, kwa mujibu wa Harakati ya Ukombozi wa Sudan/Jeshi (SLM/A). Tukio hilo lilitokea tarehe 31 Agosti baada ya mvua kubwa kunyesha kwa siku kadhaa...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Yani Mtu akazaliwa akaitwa Yeshua mwana wa yosef aliezaliwa na miriam, nyie baada ya karne kazaa mkasema aitwe issa, 😂😂

    Mi nafikiri kama alivyosema solomoni kila kitu chini ya anga ni ubatili alikuwa sahihi.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kuuawa baada ya kwenda kupora ardhi ya maskini huko Katavi

    Nimeangalia document zangu hapa nilizofoji majina ya watu ili nimililoshwe ardhi ikanikumbusha hii kitu. Tukio hili ni la kweli na lilinitokea mwenyewe miaka ya 2006. Nikiwa kijana mdogo na Nikiwa nimemaliza chuo kikuu mwaka 2006, nikaajiliwa serikalini nikiwa zonal ya ofisi yetu pale Mbeya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Polepole ndilo tumaini lililobaki la kupaza sauti baada ya Lisu kuwekwa gerezani

    Wenye mapenzi mema na Tanganyika tumuunge mkono kwa kumpa moyo na kumwombea.
  15. 100 others

    JamiiForums Tanzania Baada Ya Muda Kupita Nimeelewa Mo Alikuwa Anatoa Ujumbe Upi Na Kwa Nani , Na Alimaanisha nini...

    Kuna clip Mo alikuwa anahojiwa akasema alishanunua Bugatti Chiron halafu akauza pasipo kuliendesha wala hata hakuliwasha hilo gari. Mo anasema aliona hawezi ku afford gari linauzwa bei mbaya kiasi kile 4.5 Million Euros nadhani tax excluded.. Pesa aliyouza faida yake akanunua mashine za...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wahouth wateka nyara wafanyakazi 11 wa UN baada ya shambulio la Israel huko Sana’a

    Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa wafanyakazi wake 11 nchini Yemen wametekwa nyara na Wahouthi. Waasi wa Houthi walivamia ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Sanaa kufuatia mashambulizi ya anga ya Israel ya wiki iliyopita ambayo yaliangamiza karibu serikali nzima ya Houthi. Utawala wa kigaidi...
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kubadirisha oil kwenye Bugatti Chiron ni approximately Tsh Mil 50, kila baada ya 5,000 hadi 8,000 km!

    Kwa wale wamiliki wa hii babyworker tunakumbushana tu, kila baada ya km 5,000 hadi 8,000 njoo tukuwekee lita 8 za oil na oil filter mpya. Gharama ni vifaa pamoja na ufundi, ni kazi ya masaa 27 tu. Ukiwa na roho nyepesi usikae gereji. Gari inafunguliwa yoote kama kwenye picha juu. Na brake pads...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa kurushiana Risasi utahitaji Bullet Proof vest au kujificha huku unashambulia; Kwako Tundu Lisu baada ya kutoka usifanye kama Kina Mdude Chad

    Hamjambo Wote! Mwezi septemba unaoanza kesho utakuwa na hekaheka nyingi sana. Mambo mengi makubwa yanatarajiwa kutokea. Ni mwezi ambao Wagombea na mahasimu wao wanatakiwa kujihami zaidi na kujilinda huku wakifanya mashambulizi ya kushtukiza ya kimkakati. Wagombea Wapya katika nafasi mpya kama...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mwamba Osama Bin Laden kwa sasa atakuwa anaishi wapi? Baada ya Marekani kutudanganya

    Marekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi? Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

    Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa. Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na...
Back
Top Bottom