Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,965
Kimbunga kikubwa Ragasa kimeingia nchini China na kusababisha taharuki kubwa, huku watu wapatao milioni mbili wakilazimika kuhamishwa.
Huko Taiwan, takriban watu 17 wamefariki dunia baada ya bwawa la maji kuvunja kingo zake na kusababisha mafuriko makubwa mashariki mwa kisiwa hicho. Wataalamu wa jiolojia wamefafanua tukio hilo kama “tsunami kutoka milimani”.
Katika mji wa Zhuhai, mamlaka zimeonya kuwa mvua inayotarajiwa Septemba 24, 2025 ni sawa na kiwango cha mvua cha mwezi mzima, huku wakazi wakijifungia majumbani.
Ingawa kimbunga hicho kimepungua nguvu kutoka super typhoon hadi severe typhoon, bado ni hatari sana ikiwa na upepo unaovuma kwa kasi ya hadi kilomita 241 kwa saa. Ni kimbunga kikali zaidi duniani mwaka 2025, kikiwa kimepiga mawimbi makali katika Bahari ya Kusini ya China kwa siku kadhaa.
Hong Kong haikupigwa moja kwa moja na Ragasa, lakini upepo mkali na mvua kubwa vilisababisha majeruhi 90 baada ya kimbunga hicho kupita karibu na pwani ya jiji hilo.
Typhoon Ragasa makes landfall in China after 17 killed in Taiwan
Typhoon Ragasa has made landfall in China, where around two million people have been evacuated
At least 17 people have died in Taiwan after a lake burst, causing severe flooding in the east - geologists are describing it as a "tsunami from the mountains"
A month's worth of rain is expected today in Zhuhai city as it hunkers down for the "King of Storms", our correspondent Laura Bicker reports
Ragasa has weakened from super to severe typhoon status but remains highly destructive with top winds of 241km/h (150mph)
Equivalent of a Category Five hurricane, Ragasa is the world's strongest storm this year and has been roaring over the South China Sea for days
The typhoon did not make landfall in Hong Kong, but left 90 people injured after it skirted the coastline, unleashing powerful winds and heavy rain.
SOURCE: BBC

=============For English Audience=============