baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. VIDEO: Tarehe 08 Desemba 2020 Hayati Rais Magufuli akitoa amri kwa CDF kuwaajiri vijana wa JKT wanaojenga Ikulu ya Chamwino

    Inaonekana CDF Mabeyo ama mkuu wa JKT ndiyo wenye tatizo ama mmoja wao au wote juu ya hili jambo la vijana 850 waliotimuliwa baada ya kusaga ardhi vilivyo huko Msata kwa kosa la kuandamana. Asikwambie mtu, hadi mtumishi wa ndani ya jeshi amefikia kuandamana ujue yamemfika shingoni kweli kweli...
  2. Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu TPA, Deusdedit Kakoko aachiwa kwa dhamana baada ya TAKUKURU kukamilisha Uchunguzi dhidi yake kwa 98%

    Hii ndio taarifa ya TAKUKURU iliyotolewa kwa vyombo vya habari , na kwamba hizo 2% zilizobaki zitakamilishwa na ofisi ya CAG Hakuna Taarifa kama atafikishwa Mahakamani au la . Tuendelee kufuatilia . ==== Takukuru yamwachia ‘bosi’ bandari, “waulizwe CAG” MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
  3. J

    CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

    CAG mstaafu mh Uttoh amesema hakuna shirika la ndege lolote duniani lililowahi kupata faida katika miaka ya mwanzo ya operations zake. Kuhusu gawio mh Uttoh amesema dividend hutolewa baada ya biashara kupata faida na huamuliwa na bodi kiasi gani cha faida kigawiwe kama dividends. Uttoh amesema...
  4. Baada ya kudhulumiwa hela zake, Sven Vandbroek (Kishingo) aishitaki Timu ya Simba FIFA

    Hii ndio Taarifa ya sasa ambayo inasambaa mitandaoni, kwamba kumbe Kuku kishingo anaidai Simba US DOLAR 44,000 ambayo ni zaidi ya hela za madafu mil 100. Ngoja tuone ukweli ni upi.
  5. Mtangazaji wa NTV ya Kenya, Amina Abdi afiwa na bibi yake baada ya kupewa chanjo ya COVID-19

    - Mengi yanaendelea kuhusu chanjo ya covid ambayo ilitolewa ndan ya miezi michache tu na tukalazimishwa kuchanjwa wote bila kuuliza maswali, sasa taarifa nnayotoka kuskiliza apa ni kwamba achana na wale wa blood clotting, sasa hivi imepiga hatua zaidi izi taarifa zimfikie mbowe
  6. U

    Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

    Happy Nyasumo (18) mkazi wa Wilaya ya Serengeti amemuua mumewe, Bebe Mbogo (26) kwa madai kuwa hampendi na hakuwa chaguo lake zikiwa zimepita siku 14 tangu walipofunga ndoa. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi Aprili 14, 2021 mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu amesema tukio...
  7. Somalia yakosoa vitisho vya nje baada ya Rais kuongezewa miaka miwili madarakani

    Nchi hiyo inawatuhumu baadhi ya washirika wake kwa nje kwa wake kudhoofisha Uhuru wake baada ya Serikali kutishiwa na vikwazo kufuatia uamuzi wa kuongeza mamlaka ya Rais kwa miaka miwili. Washirika muhimu wa kigeni wamekemea uamuzi huo wakisema kumuongezea muda Rais Mohamed Abdullahi unatishia...
  8. Songwe: Mtu 1 afariki baada ya Baruti zinazotumika katika ulipuaji wa miamba kwenye Migodi kulipuka na pia kuharibu vibaya nyumba sita

    Happymark Msuwila amepoteza maisha huku Jinasa Mayunga (54) akijeruhiwa baada ya Baruti zinazotumika katika ulipuaji wa miamba kwenye Migodi kulipuka na pia kuharibu vibaya nyumba sita za karibu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, George Kyando, amesema mlipuko huo ulitokea Jumatatu usiku katika...
  9. Askofu Niwemugizi ashuhudia jinsi baadhi ya maaskofu 'walivyoomba poo' baada ya kitisho kutoka kwa mamlaka

    Siku chache zilizopita, nilisema jinsi ambavyo Maaskofu tulivyoandamwa na mamlaka kwa vitisho hadi baadhi ya Maaskofu wakaamua 'kuomba poo' lakini wengine tusonga mbele! Sasa soma ushuhuda wa Mhashamu Baba Askofu Severine Niwemugizi wa Kanisa [Roman Katoliki] Jimbo la Rulenge - Ngara...
  10. Jerry Silaa usijisahau Kuna maisha baada ya 2025

    Mbunge wa Jimbo la ukonga Jerry silaa kumbuka ahadi zako ulizozitoa wakati wa kampeni,kumbuka jinsi ulivyopigana na kupiganiwa ili kupata ubunge wa ukonga. Kumbuka wananchi wa ukonga wanakutazama na wanasubiria utekelezaji wa ahadi zako. Tangia uapishwe kuwa mbunge hujawahi kuitisha mkutano...
  11. J

    Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

    Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses. Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia...
  12. J

    Alichohoji Profesa Muhongo ni kama bei ya umeme itakuwa nafuu kuanzia siku ya kwanza au baada ya kurudisha gharama za uwekezaji?

    Leo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder. Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na...
  13. Hivi wanawake huwa mnasamehe kweli baada ya muda gani?

    Habari za wikiendi wakuu, bila kupoteza wakati niende moja kwa moja kwa linalonitatiza. Kama mnavyojua kuwa kukosea ni sehemu ya maisha na mda mwingine ni njia moja wapo ya kujifunza(sihalalishi kukosea kuwa ni sahihi). Baada ya kutambua kosa ni kuomba samahani na hapa kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…