Baada ya CEO Senzo kumaliza Biashara Kesho Rivers United FC anafungwa ama 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na Wanunuaji FC

Mightier

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
5,754
2,000
Mnaobeti Kazi ni Kwenu tu kwani Senzo Mbatha Mazingisa kwa Maagizo ya Wadhamini Wakuu wa Klabu MSG wameshamalizana Kimjini Mjini na Rivers United FC na Kesho wanafungwa ama 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na hatimaye Wanunuaji FC kutoka Jangwani na Twiga wanasonga mbele.

Shilingi Bilioni 2 za Tanzania zimemaliza Kazi na Kesho Wanunuaji FC wanapindua Meza Kiulaini na tutawakoma.
 
Prince Kesh Jr

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
474
1,000

Wewe ni takataka
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,433
2,000
Tena takataka zenye harufu, anatufanya sisi kama watoto wadogo
Huyu kachukua habari juu kwenye gazeti la champion bila kusoma content ya ndani halafu analeta ramli zake ,heading ya gazeti imesema "matajiri wa Yanga waweka billion 1.5 Nigeria" lakini kwenye content ni gharama zote za safari kuanzia hoteli ,malazi na kukokodi ndege.
 
kyata

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,781
2,000
Mnaobeti Kazi ni Kwenu tu kwani Senzo Mbatha Mazingisa kwa Maagizo ya Wadhamini Wakuu wa Klabu MSG wameshamalizana Kimjini Mjini na Rivers United FC na Kesho wanafungwa ama 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na hatimaye Wanunuaji FC kutoka Jangwani na Twiga wanasonga mbele.

Shilingi Bilioni 2 za Tanzania zimemaliza Kazi na Kesho Wanunuaji FC wanapindua Meza Kiulaini na tutawakoma.
We interahamwe tu fitina na choyo vinakusumbua
 
DEAL88

JF-Expert Member
Apr 9, 2016
844
1,000
Mnaobeti Kazi ni Kwenu tu kwani Senzo Mbatha Mazingisa kwa Maagizo ya Wadhamini Wakuu wa Klabu MSG wameshamalizana Kimjini Mjini na Rivers United FC na Kesho wanafungwa ama 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na hatimaye Wanunuaji FC kutoka Jangwani na Twiga wanasonga mbele.

Shilingi Bilioni 2 za Tanzania zimemaliza Kazi na Kesho Wanunuaji FC wanapindua Meza Kiulaini na tutawakoma.
Kumbe kaenda kufanya biashara hahaha
 
Mtanzanias

Senior Member
Jul 30, 2021
145
250
Mnaobeti Kazi ni Kwenu tu kwani Senzo Mbatha Mazingisa kwa Maagizo ya Wadhamini Wakuu wa Klabu MSG wameshamalizana Kimjini Mjini na Rivers United FC na Kesho wanafungwa ama 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na hatimaye Wanunuaji FC kutoka Jangwani na Twiga wanasonga mbele.

Shilingi Bilioni 2 za Tanzania zimemaliza Kazi na Kesho Wanunuaji FC wanapindua Meza Kiulaini na tutawakoma.
Duuh wewe ungekuwa mwanamke ungezalishwa na kila mtu na kutelekezwa maana hauna msimamo kabisa, unaongea hiki leo kesho yake unakanusha kile kile ulichoongea ata familia yako inayo kazi ya ziada
 
92brow

Senior Member
May 15, 2016
124
250
Mnaobeti Kazi ni Kwenu tu kwani Senzo Mbatha Mazingisa kwa Maagizo ya Wadhamini Wakuu wa Klabu MSG wameshamalizana Kimjini Mjini na Rivers United FC na Kesho wanafungwa ama 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na hatimaye Wanunuaji FC kutoka Jangwani na Twiga wanasonga mbele.

Shilingi Bilioni 2 za Tanzania zimemaliza Kazi na Kesho Wanunuaji FC wanapindua Meza Kiulaini na tutawakoma.
Inabamba kidogo simulizi yako mkuu! Sikujua kumbe we ni mtunzi mzuri haaa!
 
Mpangumbe

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
401
1,000
Genta ,genta ,genta nimekuita mara tatu endapo rivers ikishinda jipige ban. sisi mashabiki SIMBA tunamimamo imara na huwa tunaziamini timu zetu za mkopo sisi huwa hatuandai visingio ambavyo ambavyo havina mana kama hivi. LEO FT. RIVERS UTD 3 VS DAH YANGA YAFIRIKA 0.
 
zanzibakwetu

JF-Expert Member
Nov 6, 2014
460
500

Ujiandae kisaikolojia usiwe mbishi wa hovyo vinginevyo utakuwa mshirikina wewe.Meza inapinduliwa kibabe
 
zanzibakwetu

JF-Expert Member
Nov 6, 2014
460
500
Hizo Bil 2 amepewa mpimaji wa Covid au Refa?.

Kama amepewa Refa sawa ni kawaida yao, maana kwenye ligi tuliona wanafungwa goli kisha Refa anasema hiyo ni Kona.

Ila naona kama wanachezea fedha tu, Timu yao ina uwezo wa kucheza Dk 45 tu.
Msema kweli wa yote kwenye mechi ya Ngao ya jamii Tarehe 25/9/2021 kwa Mkapa.Mbwembwe,makelele na Majivuno yote ndiyo mwisho wake.Siku si nyingi ukweli utajidhihirisha tutajua mbivu na mbichi.
 
Eng peter pan

JF-Expert Member
Sep 15, 2021
973
1,000
Mnaobeti Kazi ni Kwenu tu kwani Senzo Mbatha Mazingisa kwa Maagizo ya Wadhamini Wakuu wa Klabu MSG wameshamalizana Kimjini Mjini na Rivers United FC na Kesho wanafungwa ama 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na hatimaye Wanunuaji FC kutoka Jangwani na Twiga wanasonga mbele.

Shilingi Bilioni 2 za Tanzania zimemaliza Kazi na Kesho Wanunuaji FC wanapindua Meza Kiulaini na tutawakoma.
Wew in utopolo tu,avatar yako inasadifu uliyasema kipigo kipo pale pale uto
 
Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
6,486
2,000
Babra kazi unayo.Roho inakuhuma sana kuhusu Yanga, jiandae kisaikolojia utapata tabu sana kuanzia msimu huu sasahivi ukweli wa Yanga ilivyo mnaujua mnachokifanya ni kujitutumua tu.Msimu huu na kuendelea mashabiki wa Simba SC mjiandae kisaikolojia acheni mbwembwe na Majivuno ,Yanga amejipanga kwelikweli.Muda utasema na kwa wale wenye kuweka kumbukumbu wekeni maneno yangu haya Kama hadidu za rejea.
Kwa hiyo tumuite Kapumbu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom