Najutia usaliti wangu kwa upinzani.Nimeamua kukabidhi maisha yangu kwa Mungu huenda mama akanikumbuka tena.
Natamani kurudi CHADEMA lakini hawatanielewa.
Nawasihi wasaliti wezangu akina Bashiru,Kitila, Dk.Slaa na wengine watubu kwa Mungu kama mimi kwa usaliti wa hali ya juu waliowafanyia...