aziz

Aziz (Arabic: عزيز‎, ʿazīz, [ʕaziːz]) was originally a Northwest Semitic Phoenician-Aramaic-Hebrew-Arabic word, but is now much more commonly (but not exclusively) known as a Central Semitic Arabic male name. The feminine form of both the adjective and the given name is Aziza.
Aziz in Arabic is derived from the root ʕ-z-z with a meaning of "strong, powerful" and the adjective has acquired its meaning of "dear, darling, precious". It is a cognate of Hebrew oz עוז meaning "might, strength, power". The Semitic word refers to the "power and glory" of deities and kings. In the Latinised form "Azizus" it is attested as the name of one of the Arab Priest-Kings who ruled Emesa (the modern Homs, Syria) as clients of the Roman Empire.
In ancient Levantine mythology, Azizos or Aziz is the Palmyrene Arab god of the morning star.
The Arabian goddess Al-Uzza, also related to the planet Venus, is named from the same root ʕ-z-z.
Al-Aziz is one of the names of God in Islam. The "Al" makes the word "Aziz" proper. "Aziz" without "Al" is used as a royal title borne by the high nobles of Egypt, being a title borne by the prophet Joseph in the Quranic Surah-e-Yusuf, and also by the Biblical Potiphar, referred to in the Quran as Aziz.
It is used in existing Semitic languages such as Arabic, Assyrian Neo Aramaic, Mandic, Hebrew, and also in non-Semitic languages like Turkish, Kurdish, Armenian, Azerbaijani, Persian, Urdu, Pashtu, Dari, Kazakh, Kyrgyz, Turkmen, Uzbek, Uyghur, Balochi, Bengali, Somali, Indonesian, and Malaysian.
Aziz is a common masculine given name, especially in the Muslim world but it has also continued to be used by non-Muslim peoples in the Middle East, e.g. Assyrians, and Mandeans.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mudathir na Feitoto wametozwa tu Faini, ila kwa akina Chama na Aziz K walifungiwa Mechi 3 na Faini juu kwa Kosa la Kufanana?

    Njooni na Utetezi wote juu ya hili na hawa ila tulio karibu na Wachezaji wa Vilabu vikubwa Viwili hivi, Viongozi wao na hasa Wataalam ( Waganga Wao wa Kienyeji' ) tunajua kuwa kwa hawa Wachezaji Wawili Feisal Salum 'Feitoto' na Mudathir Yahya yuko Mmoja ambaye Nyota yake ndiyo kwa 99% inaibeba...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaomfananisha Mbahatishaji Chama na Anayejua Aziz K mna Akili sawa sawa Kweli?

    Ukiona mpaka GENTAMYCINE (mwana Simba SC tukuka na lia lia ) navutiwa Kumtizama Mfalme wa Kipaji cha Mpira kutoka nchini Burkinafaso Stephane Aziz K ( pamoja na kwamba siipendi Yanga SC ) jua ya kwamba huyo Mtu anajua hasa kwani Kiasili huwa sipendi Vibovu Vibovu. Kuanzia leo hii GENTAMYCINE...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Feisal, Chama na Aziz Ki nani zaidi?

    1. Feisal 2. Chama 3. Aziz Kii. Nani zaidi
  4. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Jaji Mkuu: Je, ni haki kwa kina Rostam Aziz kutozwa faini badala ya kifungo lakini kina Mbarikiwa kupewa kifungo badala ya faini?

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma Mheshimiwa Jaji Mkuu, Tarehe 29 Septemba 2023, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mbeya, Paul Ntumo, alimhukumu kifungo cha miaka mitatu na nusu, Mchungaji Mbarikiwa Dickson Mwakipesile (39), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuendesha huduma ya...
  5. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Picha ya Aziz K na Skudu Makudubela

    Picha ya aziz k na skudu makudubela Mpiga picha ni huyo alipiga goti kapiga picha kalii sana yaani picha imetoka fresh kama imepigwa marekani
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Identity ya Aziz K si ni Kukunja Bukta tu, sasa iweje leo Mashabiki tunaambiwa tubebe Funguo Viunoni mwetu kama Wanyasa?

    Mropokaji wetu 'Hali tena Kamwe' chonde chonde Mdogo wangu kwa hizo Fito zako ( Miguu yako myembamba kama Mifyagio ya Chelewa ) uliyonayo Usithubutu Kuvaa Bukta na Kuikunja ili utuonyeshe hizo Fito zako kwani Mashabiki wote Watakimbia Chama la Wazi' Stadium Mbagala na kuwaachieni Timu yenu...
  7. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Hivi Simba mnaona kinachoendelea Yanga? Sasa mumuogope sana Aziz Ki, zile combination zake za ASEC zipo Avic town

    Hivi Simba mnajuwa kinachoendelea Yanga? Picha inaweza kuongea zaidi, kipande cha cream ya Asec mimosa Kipo Yanga. Wanaojuwa mpira kuna kitu mtakigunduwa hapa maana halisi ya kusajili na kukurupuka. Set ya Wacongo ililipa, je set ya Asec Mimosa tutalajie nini? Tukutane kesho kwa Mkapa Lupaso...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Aziz K aliyepambwa Kapigwa Miba na kapotea, mnadhani na huyu Skudu wenu nae hatopigwa Miba hiyo hiyo?

    Kudadadeki na Wapiga Miba Wakuu ( Warogaji ) Wawili ( GENTAMYCINE nawahifadhi ) bado mnao hapo hapo na huyu Skudu wenu mtamkataa Wenyewe. Na Bingwa wao ( anayewapeleka kwa Mganga wake Hatari ) ambaye pia ni Kaka yake yuko Pre Season Uturuki na nina uhakika akirejea tu nchini kama kawaida...
  9. The Boss

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Aziz Ki umeleta hasara kuliko faida?

    Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi pengine Feisal asingeondoka Yanga na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi. Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Familia ya Aziz Abood inavyoishi kwa amani, waswahili tusingeweza tungeuana mchana kweupe

    Aziz Abood mbunge ni mtoto wa nje wa familia ya mzee Abood marehemu. Watoto halali wa ndoa ni kina Fawz Majid na Tarek. Hata hivyo Abood mbunge ndio anajulikana kama mwenye mali lakini uhalisia yeye wala hausiki kivile na ingekuwa mswahili angeipatapata. Waswahili jifunzeni kuishi kwa upendo...
  11. Unasemeje

    JamiiForums Tanzania Fiston Mayele, Aziz Ki, Clatous Chama: Samahani Yanga Chukueni Makombe Yote

    Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥 Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na anasema atakata tamaa soon, imefika wakati wa kujitafakari.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ameiweka serikali ya Tanzania mfukoni? Kwanini hakemewi kwa kuleta nadharia ya chuki na kudharau hadharani mhimili muhimu wa nchi?

    Kwa nafasi yake katika jamii kama kiongozi mwandamizi mstaafu wa CCM na pia mfanyabiashara mkubwa mwenye ushawishi bila shaka Rostam Aziz anatakiwa awe makini sana na kauli zake kwenye public kwa sababu tulio wengi tunayapa uzito unaostahili maneno yoyote atakayosema. Kwenye mkutano wa kujadili...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz alifanya makubaliano haya tuache uzushi!

    Tycoon Rostam Azizi, just two weeks after trending on social media after becoming the new owner of Tigo and Zantel, has again surfaced across social media after being spotted in President Samia’s delegation to the United States of America. Many people online seemed unclear about Rostam’s...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nini kauli ya Mahakama kama Muhimili kwa kauli ya Rostam Aziz kuidhalilisha mahakama ya Kisutu?

    Rostom Aziz amesema hakuna mwekezaji atawekeza kwenye nchi ambayo kesi ikipelekwa hapo Kisutu kiongozi yoyote anaweza kupiga simu akaielekeza mahakama nini cha kufanya. Na kwamba mahakama zetu hazina uwezo wa kusikiliza kesi za kimataifa hivyo lazima tuzipeleke huko nje. Je, kauli hizi...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

    Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) Jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika Ukanda wa Afrika Mashariki nilianza kuogopa. Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Historia ya Dkt. Slaa haimpi uhalali wa kujifanya anajali maslahi ya Mtanzania. Kampuni zangu hazihusiki na uwekezaji wa DP World

    Mfanyabiashara mkubwa nchini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo mkubwa. --- Juzi katika mdahalo pale hoteli ya Serena nilisema kuwa sihusiki na hili jambo (mkataba...
  17. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania USM Alger 2-1 YANGA; Morrison alitakiwa aingie mapema baada ya Aziz Ki kushindwa mchezo

    MORRISON ALITAKIWA KUINGIA MAPEMA BAADA YA AZIZ KI KUSHINDWA MCHEZO. Leo Jioni 18:30hrs 28/05/2023 Mzee wa kuzama katikati ya msitu wa mabeki,Mzee wa kugima kwenye utelezi,akianguka anainuka hadi aone mpira upo kambani,katoa pasi nzuri iliyomkuta Mudathir aliyemtengea Mayele aliyeweka...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki Kashinda Tuzo Mchezaji Bora wa Mwezi April

    Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga ya Dares Salaam, Stephane Aziz Ki amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu ya NBC huku Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Abdallah Mohammed, akichaguliwa Kocha Bora wa mwezi huo. Kikao cha Kamati ya Tuzo za TFF kilichokutana Dares Salaam...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Takwimu Aziz Ki Vs Chama kuelekea mwisho wa ligi

    Statistics Stephen Aziz Ki Mechi 21 Dakika 1342 Magoli 9 Pasi za goli 4 CLatous Chama Mechi 23 Dakika 1836 Magoli 3 Pasi za Magori 14 Clatous Chama Yupi Yupo kwenye kiwango kwa sasa? CHAMBUA
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Sina uhusiano wowote, na sipendi kuhusishwa na mtu anayejiita Kigogo

    Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi TAARIFA KWA UMMA MWENYEKITI Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi anapenda kuuhakikishia umma kwamba hana uhusiano wowote na asingependa kuhusishwa kwa namna yoyote na mtu anayejiita Kigogo katika mitandao ya kijamii...
Back
Top Bottom