Kama Aziz K aliyepambwa Kapigwa Miba na kapotea, mnadhani na huyu Skudu wenu nae hatopigwa Miba hiyo hiyo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,596
108,967
Kudadadeki na Wapiga Miba Wakuu ( Warogaji ) Wawili ( GENTAMYCINE nawahifadhi ) bado mnao hapo hapo na huyu Skudu wenu mtamkataa Wenyewe.

Na Bingwa wao ( anayewapeleka kwa Mganga wake Hatari ) ambaye pia ni Kaka yake yuko Pre Season Uturuki na nina uhakika akirejea tu nchini kama kawaida watamfuata na Skudu ataenda Kushughulikiwa Kimkakati Mikoa mitatu ya Tanga, Morogoro na Kigoma kama alivyoshughulikiwa Mchezaji Stephane Aziz K ambaye kila mara alikuwa akilalamika Kuumwa na Goti lake kila akivaa Jezi ya Yanga SC ila akivaa tu Nguo zake za Nyumbani Goti halimuumi kabisa.

Ninamuonea mno tu Huruma Skudu.
 
Kazi ipo mwaka huu.... Ngoja tusubirie
Namuonea sana Huruma kwani wale wale Waliouzima Umaarufu wa Kusajiliwa kwa Mbwembwe Aziz K bado wako ( Klabu haijawatema ) hivyo najua watafanya hivyo hivyo tena na Kwake Yeye Skudu hadi atajuta kuja Tanzania.
 
Kudadadeki na Wapiga Miba Wakuu ( Warogaji ) Wawili ( GENTAMYCINE nawahifadhi ) bado mnao hapo hapo na huyu Skudu wenu mtamkataa Wenyewe.

Na Bingwa wao ( anayewapeleka kwa Mganga wake Hatari ) ambaye pia ni Kaka yake yuko Pre Season Uturuki na nina uhakika akirejea tu nchini kama kawaida watamfuata na Skudu ataenda Kushughulikiwa Kimkakati Mikoa mitatu ya Tanga, Morogoro na Kigoma kama alivyoshughulikiwa Mchezaji Stephane Aziz K ambaye kila mara alikuwa akilalamika Kuumwa na Goti lake kila akivaa Jezi ya Yanga SC ila akivaa tu Nguo zake za Nyumbani Goti halimuumi kabisa.

Ninamuonea mno tu Huruma Skudu.
Afande Genta Rama
1689752109641.png
 
Back
Top Bottom