azam

  1. JamiiForums Tanzania Azam TV wafanyakazi Customer Care kuna tatizo kubwa

    Hawa wadada wanaopokea simu zetu kutusaidia matatizo mbalimbali ya decoder za azam kiukweli waliopo azam wanasikitisha sana. Wadada hawa wanapokea simu kama vile hawataki kuzungumza na mteja. Hawaonekani kama wana tabasamu au wanaipenda kazi yao. Unaongea na mdada anakukatisha au anamalizia...
  2. JamiiForums Tanzania Azam TV Satellite yenu Eutelsat 7A ºE haifanya kazi

    Watu wa azam tv satellite mnayotumia 7A haifanyikazi channel hazionekani, jaribuni kuangalia connection zenu, watu tumelipia halafuhatupati channel zilizofanya tulipiie Kama kuna watu wa Azam Huku, fanyaeni kazi. customer care yenu mbovu unamsubiri mhudumu dk 10
  3. JamiiForums Tanzania Azam FC haikuonyesha professionalism kwa Sure Boy

    Mpira wetu ni semi- professional, yaani bado ni vuluvulu. Kumzuia mchezaji anayetaka kuondoka hakuisaidii club wala mchezaji. Kama akicheza chini ya kiwango kwenye club yako majibu utakuwa nayo tayari hata kama sababu siyo hiyo.
  4. JamiiForums Tanzania Shikamoo Uongozi wa Azam FC na Safi sana 'Wakazieni' hivyo hivyo huku 'Mkiwamokoa' pia kwani wana 'Dharau' mno na GSM yao

    Tamko la mwisho la Azam FC kwenda kwa Yanga FC kama wanamtaka Mchezaji Wao Abubakary Salum 'Sure Boy' ni hili hapa..... " Leteni Tsh Milioni 70 Cash na mtupe Mchezaji wenu wa Kiungo tegemeo Feisal Salum Fei Toto tuwapeni Sure Boy hamtaki acheni na tusisumbuane " Kudadadeki 'Ubaya Ubayani' tu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania AZAM TV kama mlivyoonekana leo live zaidi ya saa 3 na 8 August, 2020 Lissu akija hapo tuwaone live

    Pamoja na mitambo kukata kata..bado AZAM TV mmeendelea kurusha picha zisizoonekana vizuri ili mradi lengo lenu la kumrusha Mubashara Mgombea wa CCM. Tunaomba mfanye hivi pia siku ya Jumamosi atakapokuja kuchukua fomu mgombea wa chama kikuuu cha upinzani.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Azam amfunga Singida United goal 7-0 ashika nafasi ya pili

    Azam imeishindilia goal 7 timu ya Singida United kwa nunge huku chirwa akitupia goal 4 mawili akifunga nado na 1 Ni lakujifunga.Kwa maana hiyo Azam amerudi kwenye nafasi yake ya pili na kumtoa Yanga.
  7. JamiiForums Tanzania Mwamuzi Elly Sasii afungiwa baada ya kushirikiana na Yanga kuihujumu Azam

    My Take Hii adhabu haitoshi na haimalizi tatizo la waamuzi. Adhabu sahihi ni kumpokonya leseni arudi kijijini akalime. Halafu yule mwamuzi Shomari Lawi aliyeshirikiana na Yanga kuihujumu Kagera Sugar mnasubiri nini? Huyu apelekwe Takukuru moja kwa moja na afungiwe maisha. Msipofanya hivyo...
  8. JamiiForums Tanzania INAUZWA Azam Tv decoder Tsh 75,000/=

    Ni Mpya haijawai kutumika Ina kadi yake mpya kabisa Ina wire wa kuunganisha dishi Ina dish lake. Inapatikana Mbezi Luis Wasiliana nami: 0789 830396
  9. JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Michezo Clouds FM Kipindi cha Sports Extra, Prisca Kishamba Wewe 24/7 anayekutumia Meseji Kipindini ni Mfungo Patrick wa Zimbabwe pekee?

    Yaani sasa mpaka Wasikilizaji wako huwa tunabeti kwamba ni lazima tu ukiwa katika Zamu ya Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM basi mwishoni ukiwa unasoma Meseji za Wasikilizaji wako ni lazima tu utamsoma Mfungo Patrick kutoka Harare Zimbabwe. Ina maana huyu Mfungo Patrick ndiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Simba itajuta kuifahamu Yanga, itajuta kuifunga Azam leo

    Sasa ni rasmi Simba itakumbana na Yanga katika nusu fainali ya Azam Cup. Ni baada ya Simba kuishinda Azam mabao 2-0 hivi punde. Nawatahadharisha watani zetu wa Simba, mtajuta kuifahamu Yanga na kushinda leo. Tutawatandika tena bila huruma. Mtafute sare! Kila mara huwa nawaambia watani zangu...
  11. JamiiForums Tanzania ASFC: Simba yaisambaratisha Azam 2-0, sasa kukutana na Yanga katika Nusu Fainali

    Leo Ni Leo Waweza Kusema Hivyo! Pale Mida Ya 1;00 Usiku Katika Uwanja Wa Taifa, Timu Mbili Zenye Ushindani Mkubwa Zaidi Bongo Mnyama/ Wekundu Wa Msimbaz/ Wanalunyas/ Taifa Kubwa Timu Ambayo Inasakata Kabumbu Lakiwango Kilichothibitisha Na Shirikisho La Mpira Wa Miguu Africa Caf Dhidi Ya Azam...
  12. JamiiForums Tanzania Azam anashinda game mapema tu, kila la kheri

    Yah poleni mlioumia jana ndio hivyo maisha yanaendelea Nawatakia heri Azam FC kwenye ushindi wao wa leo Simba wataingiza baadhi ya wachezaji wa benchi na wale wasiocheza Wale ndugu zangu mnaobet muwe makini msijekosa mboga za wenenu
  13. JamiiForums Tanzania Azam Fc yamshtaki "refa wa Yanga" kwa Bodi ya Ligi

    Kocha aliyeepusha kipigo cha Deportivo La Utopolo ameshitakiwa kwa bodi ya ligi. Bodi itende haki
  14. R

    JamiiForums Tanzania Pamoja na vyombo vya habari kutoripoti Yanga kubebwa, Azam waiandikia barua bodi ya ligi

    Katika msimu ambao Simba wameandwamwa na vyombo vya habari kuwa wanabebwa na waamuzi ni msimu huu.Waandishi bila kujadili maadili yao ya kazi waliweka ushabiki mbele kuwa Simba inashindwa kwa kubebwa bila kuangalia upande wa pili ambao mechi zao nyingi zimekuwa na maamuzi yenye utata. Ilifikia...
  15. JamiiForums Tanzania Matokeo tunayo Yanga 2 Azam 0. Toka jana Mzee katuonesha na Coach amekubali tufuate Masharti

    Wanayanga msiwe na mashaka Hatimaye kocha mzungu kakubali tuendelee na mila zetu. Matokeo tunayo Yanga 2 Azam 0. Hii itatuweka nafasi nzuri katika kuusakama Ubingwa. Simba wanaenda Poteza Mechi 5 nasi mkakati wetu ni kushinda mechi zote. Tumerudi kushirikiana na KAMATI YA WAZEE.
  16. JamiiForums Tanzania King'amuzi cha Azam kinanisumbua

    Habari zenu jamani,nina king'amuzi cha Azam,Upande wa picha kuna muda inaonyesha na kuna muda picha inakata,na picha picha inapokata kuonyesha inaleta maneno haya,Smartcard is not Correctly,je nifanyaje kuliondoa hilo tatizo
  17. JamiiForums Tanzania Hivi hawa Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo?

    Yoyote anayefahamu Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo anifahamishe..
  18. JamiiForums Tanzania Azam TV na Chanel ten wanaonyesha bunge hotuba ya wizara ya kilimo huku TBC wakionyesha vikatuni vya aeiou

    Wakati tukijua kilimo ni UTI wa mgongo wa uchumi wa taifa letu, leo muda huu waziri wa kilimo anawasilisha hotuba ya wizara hiyo. Televisheni za Azam TV na Chanel Ten zinaonyesha live hotuba hiyo muhimu. Cha ajabu, Televisheni ya taifa TBC muda huu inaonyesha vikatuni vya alfabeti vya a. e. i...
  19. JamiiForums Tanzania Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

    Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu. Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam...
  20. JamiiForums Tanzania Wazazi tuliogharamika kununua king'amuzi cha Azam tujuane hapa!

    Hii shana nimeshindwa kuielewa, Wizara inaanzisha utaratibu wa tuition kwa watoto kupitia runinga halafu badala ya huduma hiyo itolewe na Television ya Taifa wanaenda kugawa vipindi kwa Azam maanake nini? Au mimi sielewi jamani? Nilitegemea kipindi hiki cha hili janga Television ya Taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…