azam

  1. T

    JamiiForums Tanzania AZAM MEDIA hakikisheni watangazaji wenu (Baraka mpenja,Patrick Nyembera n.k) wanapata elimu ya msingi kuhusiana na michezo wanayoitangaza mubashara

    Amani iwe nanyi. Nikiwa kama mdau wa michezo, napenda kuishauri kampuni ya habari ya AZAM kuhakikisha kuwa uwekezaji wao wanaoufanya katika tasnia ya michezo unaendana sambamba na kuwapa elimu ya msingi (basic education) watangazaji na wachambuzi wao. Niipongeze kampuni ya Azam Media katika...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Azam TV vipi huko, hii App mpya ya Yanga SC haijaathiri mkataba wenu?

    App ilikuwepo miaka 4 naona imefufuliwa , vipi huko wajameni haijaathiri mkataba wenu wazee wa azam tv? si mlipewa exclusive kurusha mambo yao au inakuwaje? Poleni sana ni suala la muda hata you tube account yao wataifanya active tena, palepale mliposhindwana na simba jamaa wakajifanya wapole...
  3. JamiiForums Tanzania Azam mnaenda kuharibu Mchezo wa Ngumi. Watu wakishaona haya maigizo mara mbili tatu wanaachana na Huu Upuuzi

    Sisi wapenzi halisi wa ngumi tunachukizwa na Upuuzi na dharau ambazo wanazifanya Azam katika mchezo wa Ngumi. Huu si mchezo wa Maigizo. Mtakuja sababisha mtu adhurike au afe ulingoni. Lakini pia hiyo tabia kuna watu wataacha kabisa kufuatilia mchezo wa ngumi. Sababu inaonekana kabisa...
  4. JamiiForums Tanzania Azam nini shida mmeshindwa biashara au tatizo nini?

    Leo nimezunguka kutafuta kisimbuzi cha dishi cha kampuni ya Azam media kila sehemu hakuna nimeanza kupita kwa mawakala kadhaa wote hawana nikaona niende moja kwa moja mpaka makao makuu pale Tazara pia nikaambiwa hakuna dishi. Nimeshangaa nakujiliuliza nini kinatokea kampuni kubwa kama Azam...
  5. JamiiForums Tanzania Azam TV Kipindi Maalum Cha Malkia Elizabeth (1926 - 2022) Jaffar Mponda na Mohamed Said Leo Usiku Saa Tatu

    ZUMARI TV AZAM: KIPINDI MAALUM CHA MALKIA ELIZABETH (1926 - 2022) JAFFAR MPONDA NA MOHAMED SAID LEO USIKU SAA TATU Picha ya kwanza Malkia Elizabeth 1953. Picha ya Pili barua ya viongozi wa TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth wakimpongeza kwa kuwatawazwa kuwa malkia 1953. Mwandishi kulia akiwa nje...
  6. JamiiForums Tanzania Decoder ya Azam ni moja ya Decoder za ovyo/cheap quality ambazo nimepata zitumia

    Nimeshabadilisha remote mara 3. Remote bado mpya unabonyeza Menu yenyewe ina change program. Unaongeza sauti sometimes ina change channel. Unarudi Back inakupeleka kwenye menu. Unaweza bonyeza button hata mara tatu isi respond na hapo umeielekeza kabisa karibu na decoder siyo kwamba ipo mbali...
  7. JamiiForums Tanzania UEFA tunaangalia channel gani kwenye Azam TV

    Kwa Sisi Wadau na Wenye Visimbuzi vya Azam TV.....UEFA Tunacheki Chaneli Gani
  8. JamiiForums Tanzania Anaefanya kazi Azam tv sehemu ya ku-reply ajithathimini.

    Aisee Hutu jamaa sidhani Kama anajua kazi yake,sehemu nyingi zenye utata harudii/hazirudii inaweza chukua hata dakika 5 akarudia kidogo tu, Tunaomba ajirekebishe na awe sharp kwenye matukio kufanya reply..
  9. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

    Majira ya saa 1:00 usiku, mabingwa watetezi wa taji, Yanga SC watashuka dimbani kumenyana na Azam Fc katika muendelezo wa ligi kuu ya NBC. Yanga itashuka dimbani kutafuta alama 3 huku Azam Fc nayo ikijaribu kutafuta alama 3 huku ikiwa haina kocha mkuu. Mechi inategemewa kuwa ngumu na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Siioni Azam FC iliyo Imara kuifunga Yanga SC iliyokamilika hata kama Tuisila Kisinda hatocheza

    Kuna muda naongea Kiutani ila hapa nimevaa Uhalisia wangu wa Kiuchambuzi na Kimchezo. Ushindi wa Azam FC leo ni Sare ila Kufungwa na Yanga SC ni lazima kama Israeli anavyoihitaji Roho ya Binadamu. Imeisha hiyo.
  11. JamiiForums Tanzania Azam TV, mnawadanganya watoto kuwa First day of the week ni Sunday Seriously?

    Huwa nafuatilia sana kipindi chenu cha watoto shanghai. Leo asubuhi nikamsikia host wa Kipindi akiwaamanisha watoto kuwa Saturday is the last day of the week and Sunday is the first day of the week and Monday being the second. That's cheating and not teaching.Waombeni radhi watoto wetu.
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya ving'amuzi vya Azam

    Wakuu, natumaini mko poa kabisa! Naomba kujua bei za ving'amuzi vya Azam kwa sasa, vya antena na dish. Naomba pia kujua kama vitapanda bei hivi karibuni?! Ahsanteni.
  13. JamiiForums Tanzania Azam Max2 haina tofauti na Azam Energy

    Nimekijaribu hiki kinywaji na kugundua hakina tofauti sana na azam energy. Ni copy and paste. Hakuna jipya.
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Azam Tv ni Funzo tosha kwa Wajasiliamali na Wafanyabiashara wanaotaka kuanzisha biashara

    Na Malle Hanzi _______ Mwanzoni mwa miaka ya kuanzia 2010 kuja 2020, Tanzania ilibadili mfumo wa urushaji wa matangazo ya vituo vya Luninga kutoka Analojia kwenda Dijitali. Sababu kuu ya kuhama kutoka Analojia na kwenda mfumo wa Dijitali ni upungufu wa masafa (frequency) uliotokea kuanzia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa Kwa timu kama Simba na yanga kukosa kumiliki uwanja..Kwa Nini Azam Wameweza

    Ni ajabu sana timu zinazoongoza kuwa na mashabiki kila upande wa nchi..kukosa viwanja vyao...kila mechi Kwa mkapa..Kwenu hapo??..Jengeni viwanja vyenu bana..Azam wapo mbali sana nchi hii
  16. JamiiForums Tanzania CONFIRMED: Mechi ya Singida Big Stars vs Zanaco FC itarushwa LIVE kupitia Azam TV

    Watu wa Soka, Sisi ni wasikivu. Tumeamua tukio la BIG DAY lirushwe LIVE kupitia @azamtvtz ili wadau wote na mashabiki wetu watakaoshindwa kufika uwanjani, waweze kushuhudia burudani zote popote walipo! Hivyo, matukio yote ya BIG DAY ikiwemo mechi yetu ya kirafiki dhidi ya Zanaco FC itarushwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ahsante sana Azam!

    Kuhusu Historia iliyowahi kutokea hapo zamani iitwayo Ottoman empire/Osman, nilikuja na ombi la kuongezewa muda sisi kama wadau na wafuatiliaji wa tamthilia hii inayopendwa, inayosisimua na kufuatiliwa na watu wengi. Sina budi kuwashukuru Azam tv, kwa kulifanyia kazi ombi langu, si mimi tu...
  18. JamiiForums Tanzania MO acha kujifanya mjuaji. Kisasi kwa ujuaji wako kinaiimarisha Yanga, Azam kakukomoa kwa kuwapa Yanga bilioni 41, SportPesa kamwaga 12

    Yote haya tunayoyaona ni kisasi tu, hapa bongo ukijifanya mjuaji kwenye hizi club za kariakoo basi wanamnenepesha mtani mwenzio ili akuchape gepu. Mo nahisi ana tamaa sana ya kutaka malipo ya juu sana na pale anapokataliwa huwa anawafungia vioo hao aliowakatalia akidhani kwamba ataitwa wakae...
  19. JamiiForums Tanzania TFF yamfungulia mashitaka Kocha Azam FC kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi

    Sekretarieti ya Shirikisho la Soka Tanzania imemfunguli mashitaka Kocha wa Azam FC U-17, Mohamed Badru mbele ya Kamati ya Maadili kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi. Tarehe ya kusikilizwa kwa shauri hilo itapangwa na Kamati ya Maadili ambayo tayari imeshapokea malalamiko hayo.
  20. JamiiForums Tanzania Tunaomba kipindi cha Sports AM cha Azam Tv kianze saa 4:00 asubuhi

    Hiki ni kipindi kizuri sana, tatizo kubwa ni muda wa kuanza kipindi ambapo wengine bado huwa tupo ibadani maana huwa wanaanza saa mbili kamili asubuhi. Kwasisi watu wa zamani, kipindi hiki huwa na Ma-legend wa soka wa zamani huojiwa mubashara studioni na mtaalam Bin Zubery. Tunaomba suala la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…