azam

  1. JamiiForums Tanzania Asante sana Azam tv

    Pongezi nyingi sana kwenu kwa kuonesha mechi zote 104 za kombe la dunia,wapo waliokejeli kuwa hamna huo uwezo,leo mmewazina midomo.
  2. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI WANGU KUHUSU MCHEZAJI MPYA WA AZAM STANIC HENRI

    1. Kacheza mechi 16 ligi ya betway.akiwa mchezaji wa Stellenbosch ya afrika kusini, ni mzaliwa wa ubelgiji.ana miaka 23 tu. 2. kaanza kikosi cha kwanza mechi 14. 3.kacheza dakika 1230. 4.hajafunga bao Wala kutoa pasi ya bao katika ligi msimu ulioisha. Endelea kuwa NAMI mchambuzi wa maswala...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga, Azam, Singida Black Stars na Fountain Gate Academy kuhamia ligi ya Zanzibar Muda wowote kuanzia sasa

    Wataitisha press ya pamoja, baada ya hapo Azam Media limited italalamika na kusitisha matangazo ya ligi kuu Tanzania bara kwa kigezo cha kuhofia hasara baada ya baadhi ya timukujitoa. Samia anaharibu nchi, kaharibu na mpira.
  4. JamiiForums Tanzania Golikipa wa Azam FC, Foba afungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Tsh. Milioni 2

    Kamati ya Mashindano ya TFF imeitoza Azam FC faini ya shilingi milioni 50 kwa kukataa kushiriki kwenye sherehe za kukabidhiwa tuzo na zawadi baada ya fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) iliyochezwa Julai 4, 2026 katika Uwanja wa Gombani, Pemba. Katika maamuzi hayo, kocha wa makipa wa Azam FC...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa unaangalia Azam, TBC, Star Tv and the like ukawa CLASS CONSCIOUS

    Ndilo tatizo la watanzania and in particular Watanganyika. Ni mazwazwa kwa sababu hakuna anayeangalia Tv stations za nje kama Al Jazeera, CNN, BBC, Kenyan TVs. Ukishaangalia Azam, TBC, basi umekwiaha. And watawala are taking advantage of this. Ukishashindwa kuwa class conscious, basi unaingia...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya Azam yalianza pale walipoona mwamuzi wao amebadilishwa

    Inasikitisha sana lakini ukweli mchungu katika soka letu ni kwamba kuna michezo michafu inachezwa na kusimamiwa na timu moja inayojinasibu kuwa bora kwa miaka mitano mfululizo. Hawa watu ndio walitekeleza jukumu la kuhakikisha anapangwa mwamuzi ambaye angeathiri saikolojia ya wachezaji wa Simba...
  7. JamiiForums Tanzania Azam FC wamewaiga CHADEMA

    Kitendo cha Azam FC kusema kuna upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika hivyo wanaona ni bora kuhamisha timu yao na kuipeleka Zanzibar ama kwingineko, ni kama kuitikia wito wa CHADEMA kuhusu haki kwenye changuzi za Tanzania. Sababu zilizotolewa na Azam FC kuhusu upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika...
  8. JamiiForums Tanzania Uongozi: Klabu ya Azam kwetu ni hasara sana. Haina faida yoyote ndo maana ni bora tujitoe tu

    "Pesa nyingi tunawekeza Azam. Nyingi sana lakini hamna la maana. Mashabiki wa Azam ni mashabiki wa Simba na Yanga. Huwa wanakuja kwetu kwa Mkopo na pia wanajua wanalipwa hawana moyo wa upendo kwa Azam. Kiukweli hakuna faida kwa hii team. Tumefanya uwekezaji mkubwa sana kwa team lakini ndo...
  9. JamiiForums Tanzania Simba haiwezi chukua Ubingwa kwa Azam Zanzibar

    Nilisema na nasema tena. Simba haimfungi Azam Zanzibar. Kupeleka kule ni mkakati Maalum Azam kwao ni Zanzibar kama hamjui. Nimekaa hapa
  10. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Azam Energy hawaoneshi kiwango cha caffeine kilichopo kwenye vinywaji hivyo?

    Ningependa kuibua hoja kuhusu vinywaji vya Azam Energy Drink, ambavyo havionyeshi wazi kiwango cha caffeine kilichomo katika kila chupa. Ninaomba mamlaka husika pamoja na wazalishaji wa bidhaa hii kushughulikia suala hili kwa kuweka taarifa sahihi na wazi kwenye vifungashio. Watumiaji wana haki...
  11. JamiiForums Tanzania Azam wasiponyakua Kombe la CRDB basi ni Wafu

    Kati ya Timu nne zitakazoiwakilisha Tanzania kwenye mechi za CAF ni Azamu tu ndiyo hadi sasa hivi haina tuzo yoyote. Angalia (1) YANGA: Community Shield, Mapinduzi, na NBC Premier (2) SIMBA: Muungano (3) AZAM: ................. (4) SINGIDA BS: CECAFA Itapendeza sana iwapo Azam nayo angalau...
  12. JamiiForums Tanzania CRDB FED. Fainali ikipelekwa Zanzibar Simba hatoboi. Nawaambia kabisa hili Muelewe. Simba hamfungi Azam Zanzibar

    Mpango wetu ulienda kama ambavyo tulipanga. Scratch my back and i will scratch yours. Azam atufunge Shirikisho apite akapambane na Simba akachukue kombe akashiriki Kimataifa. Maana amewekeza sana kwenye usajili. Ni aibu akikosa shiriki CAF. Na ushindi wake kwetu usingemsaidia kitu kwenye ligi...
  13. JamiiForums Tanzania Link gani nje ya fawa news naweza kuzipata chanel za azam sport ?free website ama app

    Naomba kwa mwenye kujua free website nazoweza kupata chanel za azam sport ama app
  14. JamiiForums Tanzania Mdau; amehoji kwanini? Azam tv hawaonyeshi channels za mpira kifurushi cha 7,000 cha wiki

    Honla Kwanza ameanza kulalia kwake kuwa hali ni mbaya ya kiuchumi pili kawapongeza azam tv kwa utashi na muono wao wa uongozi mzuri wa vipindi vyao” nyama nyama Akahoji kuwa elf 7 mara 4= 28 yaani ukiwa unanunua kifurushi cha elf 7 kila wiki cha elf mara nne yaani mwezi mzima inakuja elf 28...
  15. JamiiForums Tanzania Huu mwaka nilipigika hasa. Mpaka nikaanza kuwa natumia Decoder ya Azam

    Acheni kabisa nlishindwa kuwa nalipia DSTV Explorer. Nikajikuta nami naanza kuangalia king'amuzi cha Azam. Jambo hilo nlisema halitatokea tena. Nikapata kazi nikaanzisha na biashara. Mwaka huu natumia DSTV EXPLORER sitaki tena Uswahili swahili. Ile decoder nliiipasua pasua since then na dish...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi lukuki kombe la dunia Azam: Sura nyingi hazitii moyo na hazifahamiki!

    Sura nyingi za wachambuzi wa kombe la dunia kupitia Azam TV mwaka huu hazitii moyo wala hazifahamiki. Tutegemee kuwa "bored" au? Tuwachambue hapa! Dr Leakey sawa, Kumwembe sawa, Meena sawa lakini Sura nyingi hazivutii kiuchambuzi
  17. JamiiForums Tanzania Azam TV inawameza wengine

    Huku Mwanza DSTV NA STARTIMES wamefunga ofisi wamebakisha mawakala tu. Wamemezwa na Azam.
  18. JamiiForums Tanzania Azam media wapo biased sana kwenye matangazo yao, kila siku ni marudio ya Highlights za Feisal tu

    Hii media ni unprofessional sana ndiyo maana bado nina mashaka kama kweli wataonyesha World cup 2026, maana washawahi kutudanganya Mwaka 2022 kule Qatar.
  19. JamiiForums Tanzania Je, mgeni wa Azam anayetangazwa ni nani?

    Ni nani huyu mgeni ambae atapokelewa kesho? Je ni Ayoub Rioba?
  20. JamiiForums Tanzania Azam vs Pamba dakika ya 90, 0-0 nyongeza dk 7. Lakini baada tu ya Azam kufunga goli zikapunguzwa mpaka dak 3

    Nani mwingine aliona hio kitu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…