Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam.

Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili moja rangi inakuwa inaenda kwenye weusi nyingine ina mng'ao but pia si pure maembe.

Msikilizeni zaidi jamaa akielezea upande wa Juice za Embe. Mimi kwa sasa natumia Juice ya Ukwaju angalau najua hii hawezi chakachua sana.

Tuambiane tu ukweli... Tusioneane haya kwa misingi ya huyu ni mwenzetu. Products nyingi za Azam ni very poor. Hata hizi Energy drinks za Azam na Mo si za viwango. Zinaharibu sana vijana kwa nguvu za kiume. Hasa boda boda.

Screenshot_2023-02-04-19-49-30-850_com.android.chrome~2.jpg

Soma pia > Majibu ya Dkt. William baada ya Azam kukanusha juisi zao za Azam Embe hazina sumu
 
Cause ya cancer ni unknown zingine ni assumptions tu. Leta equation apa tuthibitishe cancer inatokeaje.

Lakini vitamin c ambayo ni ascorbic acid na benzene vinatengeneza cancer endapo kinywaji kutakua exposed kwenye uv light Kwa muda mrefu. Vipi kama hujaweka juani?

Pia Asante Kwa kutufumbua macho💪💪💪
 
Mkuu Azam ungeachana naye maana hutaeleweka... halafu hunA utakachopata. Mtu ana utAjiri wa trillions huko wakati wewe hata milioni mbili cash huna... Unakuja kuleta porojo.....kumhusu.. umekula lakini..
 
Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam.

Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili moja rangi inakuwa inaenda kwenye weusi nyingine ina mng'ao but pia si pure maembe.

Msikilizeni zaidi jamaa akielezea upande wa Juice za Embe. Mimi kwa sasa natumia Juice ya Ukwaju angalau najua hii hawezi chakachua sana.

Tuambiane tu ukweli... Tusioneane haya kwa misingi ya huyu ni mwenzetu. Products nyingi za Azam ni very poor. Hata hizi Energy drinks za Azam na Mo si za viwango. Zinaharibu sana vijana kwa nguvu za kiume. Hasa boda boda.

View attachment 2505658
Huwa mimi sinywi hizi takataka za huyu bwana, wala hata za viwanda vya soda na bia. Mimi huywa zaidi juice niliyotengeneza mwenyewe kwa maembe, ndizi, tikiti maji, nanasi, fenesi, parachichi, passion fruits, etc. Mnaoona kunywa juice za viwandani ni ujanja, basi endeleeni na ujanja wenu.
 
Mie Ni Kama wewe. Nikikaa na mtu ananiambia soda nikicheki Kama Kuna matunda naagiza otherwise maji ama supu ya ulimi ,mkia, kuku,samaki,maziwa fresh ,green tea na limao nakunywa kavu ama Kama hizo juisi za asilia ulivyosema.hata Kama kunywa Azam Ni kwa nadra mno tokea kiwanda kimefunguliwa labda hazidi Mara tano.

Yaani Hawa wahindi na waarabu watatumaliza afya zetu jamani na watalaamu wetu walivyo na njaa Kama viongozi wetu tu. Akipigwa fungu ama bahasha Nene ananyamaza kimya na kubakia kusifia Ni sawa Hawa wapinzani wamelambishwa asali kazi kutukana marehemu.

Cheki biashara za juisi Kama Prof Muhongo alivyodai kuwa ndio uwezo wa watanzania huku Kuna sayona,Mara Jambo,Mara Azam Mara Kuna Mo na zingine nyingi na Hawa wote Ni waarabu na wahindi na wanajulikana Tabia zao wanavyotufanyiaga hata wakiwa wametuajiri.
Afya Ni jukumu lako mwenyewe subiria eti serikali.

Yaani huwa naumia kumuona mama anampatia mwananye juisi eti Jambo mengo yaani natamani nimzabe kibao.

Haya Mambo wife nishamwambia kitambo naweza nikampatia talaka.
Ukwaju upo sokoni jamani na ubuyu mie nakuwa ndani.
 
TBs wameandika na kusema ni kweli hiyo kemikali ikitumika vibaya ina matatizo. Sasa kwa wingi gani inahitajika bado hatujui Azam anaitumia kwa kiasi gani
Tangia baresa ajiunge na genge la waharifu kina rostam na gsm basi nikajua tu wazanzibar wametupania kutumaliza wabara
 
Back
Top Bottom