azam media

Mohammad Babar Azam (Urdu: محمد بابر اعظم‎; born 15 October 1994) is a Pakistani international cricketer who captains Pakistan in all formats. A right-handed top-order batsman, Azam is widely regarded as one of the best contemporary batsmen in the world. He plays for Karachi Kings in Pakistan Super League and captains Central Punjab in domestic cricket. In April 2021, he achieved the number one spot in the ICC rankings for ODI batsmen.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Azam Company na Azam Media yaani Yanga SC kupitia Ali Kamwe wanaichafua 'Brand' yenu nyie mmenyamaza tu

    Ukiwa na Akili timamu na umemsikiliza vyema kabisa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utakubaliana nami kuwa kwa 100% anaichafua Brand ya Azam Company na Azam Media (hasa Tv yao) ila cha Kushangaza Watu wa Azam wala hawalioni na wanaona sawa tu. Hivi Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kusema kuwa Azam Tv...
  2. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waandishi wa Habari Azam wanataabika Mikoani, wanahitaji msaada kulipwa stahiki zao

    Kuna hii ishu inayowahusu ripota wa Azam TV mikoani, wapo walioanza na kampuni wapo waliojiunga na Azam baadaye. Kwa mujibu wa mikataba yao ambayo ni renewable Kila baada ya Mwaka Mmoja au miaka miwili inatagemeana na maamuzi ya Viongozi, hawa watu ndiyo injini ya habari ya Azam News na baadhi...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Azam Media aibu tupu. Watangazaji wake lugha ya Kiingereza ni sifuri, wanatia aibu Taifa la Tanzania

    Azam Media mnatia aibu sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza? Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media. Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
  4. Pendragon24

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Yanga yatuma barua Azam Media

    Nimeona taarifa inayosema klabu ya Yanga imetuma barua Azam Media ili kuomba kubadilishwa kwa mtangazaji aliyetumika kumuhoji Gamondi siku ya mechi ya tarehe 29.09.2024 dhidi ya KMC pale Azam complex. Je taarifa hii ina ukweli wowote..!?
  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Wasafi TV ichangamkie fursa ya kuonesha Boxing

    Azam media imesitisha rasmi kutoonesha mapambano ya boxing tena kwa kesi inayowakabili ya kuiba Idea ya neno "Vitasa". Sasa Wasafi media iangalie namna ya kuwahi hiyo fursa ya kuonesha mapambano ya boxing kwa kuja na slogan na mbinu mpya za kukuza huo mchezo. Watanzania kwa kiasi kikubwa...
  6. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Azam TV, kwamba Robert F. Kennedy ni mtoto wa John F Kenedy?

    Asilimia 99.8 ya Watangazaji wa hizi media za sasa ni weupe sana vichwani, wao mada wanazo zijua ni za kusifia na kuabudu na pia Mada za Yanga na Simba. Nje ya Mada za Yanga na Simba na Mada za kusifia hawa watangazaji ni weupe sana vichwani na sijui wanapatikana vipi. Media zimejaa vipindi vya...
  7. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Azam Media yatakiwa kulipa Million 100 Kwa Chief Fred Uisso

    Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu, imeiamuru kampuni ya Azam Media Group Ltd kumlipa kiasi cha shilingi milioni 100 mpishi maarufu nchini Master Chef Fred Uisso maarufu kama ‘Mzee wa Maspatasapta’ baada ya kushinda kesi dhidi yake na wenzake watatu baada ya kampuni hiyo kumtangaza mpishi huyo...
  8. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Waziri mpya wa Mawasiliano, anza kazi na Azam Media. Wamepanga kutupiga kwenye vifurushi vipya

    Ndugu Mteja, kuanzia 1/8/24 kutakuwa na mabadiliko ya bei. Kifurushi cha 25000 kuwa 28000; 17000 kuwa 19000; 10000 kuwa 12000; 6000 kuwa 7000 na 3000 kuwa 4000. Azam decoder hawana Ubora kuzidi Dstv, Wanatumia kigezo cha kutuonyesha mipira Ili kuchaji gharama zaidi, ongezeko hilo ni kama...
  9. Zambotti

    JamiiForums Tanzania Azam kuja na bei mpya ya vifurushi?

    Hii tambulisha yao ya vifaa vipya siku Jumanne, Julai 16, 2024 huenda ikaja na jambo. Je, kidonda cha bajeti kwa watanzania Azam watakitia chumvi?
  10. J C

    JamiiForums Tanzania Tunaomba sehemu ya USB kwa visimbuzi vya Azam isiwe ya kulipia

    Mimi ni mteja wa king'amuzi chenu kabla ya kukinunua niliona kina USB port na kufuatilia nikakuta unaweza weka flash uka play movie au audio. Kwa Mimi mwenye tv ya kizamani isiyoweza play flash HD nikaona king'amuzi chenu kitanifaa kumbe flash unafanya kazi ukilipia kifurushi kikiisha flash...
  11. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Azam Media mkanyeni mtangazaji Ngoda kuchanganya mpira na vyama vya siasa

    Hii mechi kati ya Simba na KMC leo imetangazwa na Ramadhan Ngoda muda mwingi katumia kuitaja CCM kila mara ajue kabisa anaharibu kuchanganya mpira na shetani CCM. AKOME
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Azam media haina sifa ya kuidhamini ligi ya Tanzania

    Azam media imeshinda tender ya kuidhamini ligi kuu kwenye matangazo, ingawa hatujui ilishindanishwa na kampuni zipi za habari. Azam groups wanamiliki timu ya mpira inayoshiriki ligi kuu pia lakini Ina watangazaji, waandishi na watendaji ambao wanashindwa kutenganisha kati ya kazi ya kuidhamini...
  13. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Azam Media waomba Radhi kwa wadau wa mpira kwa kurusha interview ya Mahojiano na aliyekua mchezaji wa Yanga Sc Fiston kalala Mayele

    Azam media wameomba Radhi mashabiki, uongozi wa Yanga Sc na wadau kwa ujumla. --- Azam Media Limited imepokea mrejesho kuhusu mahojiano yetu na Fiston Mayele, aliyewahi kuwa mchezaji wa Young Africans Sports Club. Tumejiridhisha kuwa Young Africans Sports Club haikupewa nafasi ya kujibu hoja...
  14. vnn

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa kati ya Àzam Media na TFF

    Licha ya Ligi ta azam confederation cup kupata mdhamini mpya CRBD Bank na ligi kitambulika rasmi kama CRDB bank Federation Cup, Azam wamegoma kuitambua benk ya CRDB katika ligi hiyo! TFF ligi wanaitambua kama CRDB bank Federation cup,. Azam ligi wanaitambua kama Azam federation cup! je ni i...
  15. X men

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 Smartcard ya decoder ya Azam ilisumbua nikawaomba msaada, Wamenijibu 2024

    Moja ya matatizo makubwa ya hizi taasisi kubwa nchini ni kuwa wazito kwenye kujibu na kutatua changamoto za watu/wateja wao kupitia mitandao ya kijamii. Wengi huwa wanapost kitu kwenye social media page zao lakini hawa reply chochote kutokana na comments za followers, sio huko tu hata ukienda...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Boss Mkuu wa Azam Media Company Mwamba / Mngwena Tido Dustan Mhando atangaza Kustaafu rasmi

    Huna baya Tido Dustan Mhando wala Deni kama Mdau Tukuka na Mwandamizi wa Tasnia muhimu katika Ubongo wa Mwanadamu yoyote yule ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ( GENTAMYCINE nikiwa ni Mdau ) Haya tuliobakia hapo sasa tuhakikishe tu tunapoenda Kuroga ili hiyo nafasi tuteuliwe Sisi turoge kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania AZAM MEDIA tafuteni njia nzuri za kurecord mechi katika uwanja wa UHURU, angle mnazo-record ni za ovyo

    Mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia matangazo yenu mubashara kutoka uwanja wa UHURU na kuangalia angles mnazorikodi mechi kwa camera zenu na kugundua kuwa hazimpi mtazamaji wa matangazo yenu ya mpira katika uwanja wa uhuru uwezo wa kuona mechi vizuri. Wito wangu kwa kampuni ya AZAM MEDIA ni kuwa...
  18. mangiTz

    JamiiForums Tanzania Azam Media wakataa shutuma dhidi ya rushwa ya kurusha vipindi vya tamthilia kutoka kwa wazalishaji binafsi

    Habari wana jamvi, kumekuwa na taarifa za chini kwa chini baada ya kuibuka sakata la wasimamizi wa televisheni kule Dstv sasa imehamia Azam nao wamejibu mapigo. Note; ukimshtumu mtu au kampuni hakikisha hiyo kesi una ushahidi nayo la sivyo inakugeukia, kesi kama hizi ikikugeukia utalipwa faini...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Hall of Fame Boxing yaishtaki Azam Media, yataka ilipwe Tsh. Bilioni 2 kwa kurusha maudhui kinyume na mkataba

    Kampuni ya Azam Media inashtakiwa Mahamani na Kampuni ya 'Hall of Fame Boxing and Promotion' ambayo inajihusisha na uandaaji wa mapambano ya ngumi za kulipwa wakiitaka iwalipe kiasi cha pesa Tsh. Bilioni 2 kwa kurusha hewani maudhui yao kwenye kipindi kinyume na makubaliano. Katika kesi hiyo ya...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Azam Media kama hamuwezi Kuvumilia habari za DW Acheni Kurusha..

    Leo nilikuwa sijapanga kuandika chochote hapa JF. ila hawa Azam media wamekuwa wadwanzi sana hasa upande wa radio UFM. Nimekuwa nikifuatlia trend yao ya urushaji matangazo ya DW siku nyingi mwanzo nilihisi ni bahati mbaya. Lakini nimejirizisha pasina shaka.kwamba wanafanya makusuidi huku...
Back
Top Bottom