Mafundi wenu sijui ndio wanafanyia majaribio ya kurekebisha sauti huku. Application mara nyingi imekuwa kama second option kwenu ingali watu tunalipia!?, kwa kuwa customer desk lenu halifikiki kirahisi chukueni ujumbe wenu hapa, tunao subscribe kwenye Application yenu tutendeeni haki the...
Habari za asubuhi.
Imenishangaza sana alfajiri hii, nafika kwenye ofisi za Azam Marine hapa Zanzibar kukata tiketi eti hawana huduma za Lipa namba na kuna mlinzi ana huduma za wakala so unatakiwa utoe kwake kisha ulipie tiketi. Cha ajabu Zan Fast Fery wao Lipa namba.
Kilichoniponza ni kataka...
Wakuu habari
Nina shida moja hivi, nataka kubadilisha kifurushi cha azam 19,000 kwenda 28,000, nililipia 2 weeks iliyopita
Je nafanyaje? najua 19,000 haijaisha
Ila nataka niongezee ifike 28,000.
Napia kujua imetumika kiasi gani nafanyaje?
Timu ya Azam FC imekamilisha Michezo ya Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho kwa kufungwa Magoli 2-0 dhidi ya Wydad AC ya Morocco na hivyo kukwama kuingia Hatua ya Robo Fainali kwa kuwa imeshika nafasi ya 3 katika Kundi B.
Matokeo mengine ya Kundi hilo, Maniema Union ya DRC nayo imeingia...
Job Summary
Job Title: Compliance Officer
The Compliance Officer is responsible for ensuring that the organisation maintains full compliance with applicable standards and regulatory requirements, including data protection obligations. The role oversees the effective implementation of the...
Hadi leo hakuna michezo/mashindano hayo huku dunia ikiyajadili kila saa ,hapa ndio unaona tofauti ya azam media na makampuni mengine
Startimes ,dstv, kanal na wengine wanaonesha ila hawa jamaa wa buguruni bado sana
Wako busy na simba na Yanga kila siku na vitu muhimu wanashindwa
USSR
Si shabiki wa ligi hii ya hapa nchini ila naishi na watazamaji wa hiyo ligi.
Kila ikifika mechi za timu ndogo hakuna watangazaji ila Simba ama Yanga wakiwepo hapo wapo sasa kuna maana ipi ya kurusha hizo mechi kama hamuwezi kuweka watangazaji.
Au ndio soka letu kivyetu vyetu maana hata...
25 January 2026
Nairobi, Kenya
Nairobi United 1 - 2 AZAM FC , Chiefs yapata ushindi Ndola
https://m.youtube.com/watch?v=eXeSXYEB-7s
Mechi za Kombe la Shirikisho la TotalEnergies CAF ziliendelea tena Jumapili alasiri 25 January 2026 huku mbio za kuelekea robo fainali zikiendelea kote barani...
Fainali ya Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026, kupigwa katika Uwanja Mpya wa Gombani Kisiwani Pemba, Mechi kali kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC
Kikosi kazi dhidi ya Azam FC #MapinduziCup2026Final
Mpira umeanza
Dakika ya 10
Yanga SC wanafanya mashambulizi
Dakika ya 15
Dube anakosa nafasi...
Mfano sasa ivi kwenye tamthlia/filamu mmeziondoa au kushindwa kuzibakisha chaneli za muvi za Kinaijeria za AMC chanel na AMC series, Wakati wenzenu DStv wanazo mpaka chanel za tamthlia/muvi za Wasauzi,Ghana na Kenya na za Lugha zao za makabila...
Hivyo kwenye muvi machaguo ni machache, mteja...
Azam Sports Wamefuata Picha za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu.
Mara ya kwanza walipost hii, kabla ya kufuta picha zote zinazomuonesha Tundu Lissu
Katika Mchezo wa ngumi uliokiwa Ukirushwa Azam TV, Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo, alivaa t-shirt yenye picha ya Mwenyekiti...
Tupo hapa kusema ukweli na kukemea kila aina ya upendeleo,ubinafsi na ukiritimba kwenye nchi hii na kama kuna mambo yanaenda ndivyo sivyo lazima yasemwe kuliko kuyakalia kimya kwa hili la king'amuzi tv kujaza channel nyingi za dini upande mmoja linanikera Azam tv mmejaza channel nyingi sana za...
Kutaja wachambuzi list hapa tz niwengi sana yani unaona kabisa uchambuzi wao ubalance yani kuonesha hisia zao zipo wapi kwenye saisa,mlengo gani,kuwa upande gani.
Katika siku ambayo nilimuona huyu mchambuzi ni shabiki wa waarabu fatilia uchambuzi wa sudani kule kwa bashiri RSF.Fatilia uchambuzi...
azamtvtz mnachotufanyia wateja wenu sio sawa, mumepandisha gharama za vifurushi mara dufu ila ubora wa picha ni ovyo kabisa sio HD kabisa , ukiangalia mpira ovyo kabisa hakuna ubora kabisa ni janja njaja. Pia kwenye mpira kuna tatizo la kamera zenu hazionyeshi matukio kila kona hasa offside...
Tangu tarehe 29 Oktoba mwaka huu, Tanzania imekuwa ikipitia siku za majonzi na simanzi kubwa. Wimbi la vifo vya raia, mikononi mwa vyombo vya dola, limeitikisa nchi na kuacha majeraha yasiyopona mioyoni mwa Watanzania wengi.
Wengine wamepoteza ndugu, marafiki, na wapendwa wao katika mazingira...
Azam TV na TBC wanatumika kuhalalisha uchafuzi wa jana tulioukataa Wananchi.
Wanajifanya kutangaza matokeo ya Uchaguzi eti walioshinda uchaguzi. Wanatumiwa na Mafisadi na Wauaji kuhalalisha upuuzi wao.
Wananchi twendeni tukavichome hivi vituo muda huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.