awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hassan Abass na Gerson Msigwa wameshindwa kufafanua maamuzi ya Serikali kuhusu tozo. Je, Serikali iendelee kuwaamini?

    Ilitarajiwa Wizara ya habari kupitia taasisi zake na wasemaji wake wahakikishe ujumbe wa serikali unafika na unaeleweka kwa Watanzania. Mtihani mkubwa kwa wizara hii ni kuelezea bajeti ya nchi kwa lugha rahisi ieleweke, sio bajeti tu, bali maamuzi mbalimbali ya serikali. Lakini kitu nilichoona...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa awamu ya 5&6 wamekosa hadhi kabisa. Hivi ni jicho langu tu ama wote mnaona hivi?

    Mawaziri enzi za hayati Mkapa, enzi za Kikwete walikuwa wakiongea wanasikilizwa na kuheshimiwa. Walikuwa na kishindo cha kimamlaka. Lakini alipoingia mtawala wa awamu ya tano Mawaziri wakapoteza hadhi na heshima zao Ikawa ni kawa ni kawaida kusikia waziri katukanwa "pumbavu" hadharani. Ikawa...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Awamu ya TANO na ya SITA

    AWAMU YA TANO Rais John Magufuli: Hakuna Mikutano ya Siasa ya Hadhara! Uchumi wetu umekua sana! Sisi ni matajiri! Tanzania imeingia Uchumi wa Kati! Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni wa Kifisadi! Ni kichaa tu anayeweza kuukubali! Kuna watu wanatumwa na mabeberu! Spika Ndugai na Wabunge: Atake...
  4. JamiiForums Tanzania Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

    Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi kinondoni , DC hadi RC wakipiga danadana huku kila mmoja akijitoa asionekane kuruhusu jambo hilo ...
  5. JamiiForums Tanzania John Munisi Katibu wa Chadema wa Jimbo la Hai, aliyepewa kesi ya ubakaji Hai afanya Misa ya Shukrani

    John Munisi ni miongoni mwa Wahanga wa kwanza kabisa wa utawala wa Marehemu John Magufuli kufanya misa ya shukrani kwa lengo la kumtukuza Mungu kwa ajili ya Matendo Makuu aliyomtendea. John Munisi ni Katibu wa Chadema wa Jimbo la Hai ambaye alitengenezewa kesi ya Ubakaji ya kumjaza mimba...
  6. JamiiForums Tanzania Nasubiri nini kuamini Rais Samia alitaka(ga) kujiuzulu Awamu ya 5?

    Kipindi fulani enzi za awamu ya 5 tuliwahi kusikia tetesi kwamba Mama alitaka kujiuzulu. Tetesi zikasema resign hiyo ilizimwa baada ya wazee kuingilia kati kwamba italeta picha mbaya kwa wananchi na kimataifa. Sasa kwa mabadiliko yanayoendelea sasa ni dhahiri kuna ukweli mama alitaka kuachia...
  7. JamiiForums Tanzania Je, awamu ya sita ipo kwaajili tu ya kurekebisha makosa ya Awamu ya Tano?

    Uelekeo wa awamu ya sita unaonesha upo Kwa ajili ya kurekebisha yaliyofanyika awamu ya tano. Inavyoonekana kulikuwa na "makosa" mengi sana yaliyokwisha fanyika awamu ya tano ambapo jukumu la kwanza kwa awamu ya sita ni kurekebisha makosa ya awamu iliyopita. Ukitazama safu ya uongozi katika...
  8. JamiiForums Tanzania Kwakuwa alituvusha salama kutoka Awamu ya Tano, nashauri daraja la Tanzanite liitwe Samia

    Ni shauri wangu Kwanza linavuka bahari, ni ishara ya kuvuka awamu moja kwenda nyingine, pili in ishara ya upatanisho kati ya upande mmoja na mwingine, kisiasa, kiuchumi, kijamii, anapatanisha nchi, anaunganisha kama daraja linavyounga pande mbili. Tanzanite ina asili ya huko ilikotoka, iwepo...
  9. JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri likibadilishwa Kalemani aondolewe kwa hoja ya Tanesco kutokaguliwa, Mwanasheria Mkuu kusimamia awamu ya 5 kuvunja sheria

    Nasikia tetesi za mabadiliko ya Baraza la mawaziri. Namshauri mama asimuache Kalemani, kwa muda wote ameacha Tanesco bila kukaguliwa hesabu wakati anajua Tanesco inameza zaidi ya trilioni ishirini za nchi kwenye mradi wa bwawa la Stiegler's, mabilioni mengine pia. Kuna uwezekano huko kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Awamu ya pili ya Operesheni Haki kutikisa tena, itaanzia Kanda ya Pwani

    Ile kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi iliyotikisa Nchini Tanzania ya OPERESHENI HAKI , itaendelea tena baada ya kusimama kwa muda kwenye Kanda ya Pwani na baadaye Zanzibar na Pemba , Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika...
  11. JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri teuzi za Awamu ya Sita ni za wa Social Media

    Kila zama na wakati wake. Tukianza awamu ya Nne teuzi zake zilitegemea sana watu walio ndani ya chama na watu walio kuwa nje ya nchi (Wenye exposure zao). Awamu ya Tano: Watu wenye PhD zao na Profs walilamba Teuzi. Awamu ya Sita tunaona watu wanaoteuliwa ni watu wa social media. Mdau mmoja...
  12. JamiiForums Tanzania Tuache kuwalaumu wateule wa awamu iliyopita, hali ilikuwa ngumu sana

    Namnukuu mwanajamvi mwenzetu white wizard: "Huo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo, lakini ki ukweli hawakuwa na namna ya kuyazuia, kwani mwendazake ndio alikuwa nyuma yake, labda njia...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaosema Rais Samia mpaka 2030 wanajua maana ya demokrasia? Je, somo la Awamu ya Tano halikueleweka?

    Wakuu wameanza tena, Wanasema mama mpaka 2030 na atakayempinga atakiona. Najaribu kuwaza hawa watu tunaposema "Kila amtegemeae mwanadamu amelaaniwa" hawaelewi? Awamu ya Tano walianza hivihivi, wakamtia kibri JPM wakakufuru na mwisho laana ikawa juu yao. Ameanza Kigwangala, jana tukamsikia tena...
  14. JamiiForums Tanzania Mafanikio Makubwa ya Kitabibu Yafanyika. Hongera Serikali Awamu ya 6

    Jamiiforums naona kuna baadhi ya threads mnazi delete bila sababu ya msingi. Tupeane Mwongozo Zinatakiwa threads za namna gani pekee? Tunashukuru pia kijiografia nchi kama Usa, Ugiriki, Misri sasa zimesogezwa karibu na Tanzania.
  15. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watoto waliozaliwa Awamu za Kikwete na Magufuli wana Majibu ya Kukusababishia ukaishi Gerezani Segerea milele?

    Mtoto unamuhangaikia Kumsomesha Usiku na Mchana halafu unamuuliza unataka kuwa nani baadae anakujibu anataka kuwa Mpiga Debe Msamvu Bus Terminal. Huyu huyu Mtoto ukipiga na ukamvunja vunja na Kumuharibu kwa Hasira Serikali ya Mama Samia haitakuelewa na labda hata Kukusamehe isikushtaki? Halafu...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna watu walichonga majeneza yao wenyewe Serikali ya Awamu ya Tano

    Wasalaam wadau, Wakati fulani katika awamu ya tano, kiliibuka kikundi cha kusifu na kuabudu viongozi hata kufikia kutaka kubadili katiba ili kuwaongoza muda viongozi walio madarakani, sio nia ya bandiko langu kutweza utu au legacy ya hayati mwenyekiti wangu Dkt. JPM bali kuwakumbusha waabudu...
  17. JamiiForums Tanzania Dhihaka na dharau kwa viongozi wa dini na anguko la Serikali ya Awamu ya 5

    Nikimnukuu mwanajamvi Pythagoras ktk comment yake: [Askofu Emmaus B. Mwamakula alikamatwa wiki ya mwisho ya mwezi Februari. Mapolisi wa Jiwe wakamdhihaki eti "Yule anayejiita Askofu" tunamhoji. Niliposikia vile nikajua sasa Meko ame cross red line. Meko Hakumaliza hata wiki mbili tena...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Akili yangu inazitafsiri hivi Tawala ( Awamu ) zote za Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Awamu ya Nyerere Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana. Awamu ya Mwinyi Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache...
  19. JamiiForums Tanzania Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Salaam Wakuu, Hapa chini ni Muhtasari wa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha 2019/2020 === Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC; Mhe. Grace Tendega (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya LAAC; Mhe. Daniel Sillo (Mb), Mwenyekiti...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya kisiasa kwa awamu hii ya sita yanaashiria furaha ya Watanzania kuongezeka zaidi

    Ninakumbuka kuwa huwa kuna Taasisi zinapima furaha ya wananchi kwa kila nchi. Kuna wakati yule Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar-es-Salaam aliyepita Prof. Mukandara aliwahi kuongea kwenye Kongamano la Mwl. Nyerere kuwa furaha kwa wananchi wa Tanzania imepungua kwa kiasi Fulani. Sasa hizo Taasisi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…