Mzuka Wanajamvi!
Mkumbuke awamu ya 4 kulikuwa hamna ukame na mvua zilikuwa zinanyesha za kutosha lakini kila wakati umeme ulikuwa unakatika. Bofya kwenye hizo linki za thread za malalamiko zilizoletwa humu JF
-...
Dar es Salaam
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya kwa Taifa ikiwemo kufungua matumaini mapya, furaha na mwanga wa maendeleo kwa wananchi.
Shaka ametoa...
Watumishi wa afya katika wilaya ya Muheza waliohusika kusajili wagonjwa hewa 313 wa virusi vya Ukimwi (VVU) ili kuonyesha takwimu zipo juu za wanaoishi na VVU kwa maslahi yao binafsi ikiwemo kujinufaisha na fedha zinazotolewa na shirika la afya la AMREF.
Awali akitoa taarifa kwa waandishi wa...
Wakuu kwema Aise naandika huku naogopa. Nina wadogo watatu wanaanza first year mwaka huu na walishaaply mkopo cha kishangaza awamu ya kwanza hola hakuna hata mmoja aliepata na waliandikiwa kwenye akaunti zao wasubiri mpaka leo tarehe 21 ila naona siku inaisha hakuna mabadiliko yoyote na hawa...
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35.
Mchakato huo umeanza kwa kufanya mkutano wa uhamasishaji kwa wananchi wa kata ya Madimba, Moma, Mbawala na Nanguruwe kuhusu ujenzi wa mradi huo...
Nasubiri Mirejesho yenu Watu wa Itifaki, Great Thinkers na Wabobezi wa Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania hapa JamiiForums ili mtuelimishe akina GENTAMYCINE tusiojua lolote na chochote.
Nitumie vigezo gani kupima ufanisi wa serikali ya awamu ya sita?
1. Wingi wa mikopo
2. Wingi wa magari ya misafara ya viongozi
3.safari za kila mara nje ya nchi
4. Porojo
5. Tozo kila mahali
6. Chanjo ya corona
7. Ufisadi
8. Sgr
9.jnhep
10. Barabara za mjini na vijijini kutokutengenezwa licha...
-Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa.
- Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu.
- Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA...
Wananchi wanaunga mkono Vipaumbele vya Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu, Vipaumbele hivyo ni;
Vituo vya Afya
Kilimo
Maji
Usafiri na Usafirishaji
Elimu
Ajira
Usalama wa Chakula
Huduma ya Umeme
N
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Hapa chini ningependa tuorodheshe tano bora ya mawaziri wenye kufanya vizuri zaidi katika serikali hii ya awamu ya sita ya mama yetu mh raisi Samia S. Hassan.
Tukiachana na waziri mkuu ambae yeye...
Kati ya nchi nyingi za Afrika, ni nchi chache sana ambazo wananchi wake wake walikuwa na ule uzalendo wa toka moyoni kabisa, ule uzalendo wa kikondoo wa kuambiwa chochote kile na kiongozi hata wa nyumba 10 na ukatekeleza kiroho safi.
Haka ka kitu sijui nikaite ni uzalendo ama ni nini, sijui...
Ukweli tuuseme tu, jahazi limeanza kumshinda mama. Sio kwa ugumu wa maisha huu!
Yaani Watanzania wanatozwa tozo ambazo hata mkoloni na roho yake mbaya asingethubutu kuwatendea namna hiyo.
Wengi wetu vipato vyetu ni vilevile, lakini gharama za maisha zimepata mara dufu! Kwa lugha rahisi...
Wakati Serikali ikitarajia kuanza kutoa ruzuku katika pembejeo za kilimo ikiwemo mbolea, wakulima wametakia kufuata utaratibu ulioweka ikiwemo kujisajili ili kufaidika na fursa hiyo itakayopungizia gharama za uzalishaji.
Kupitia mpango huo wa ruzuku, mbolea zote za kupandia zinazofahamika kama...
TFF na bodi ya ligi wanajificha kwenye kanuni na vijisheria kandamizi. kutisha na kufungia fungia watu hovyo., Hawajui demokrasia na uhuru wa maoni. Siraha Yao ipo kwenye kanuni na fungia fungia.
Nenda pale epl, bundersliga, hutaona michezo ya kitoto kama ya viongozi wa bodi sijui kamati ya...
🌲🌴 MBAGALA CHAMAZI MBANDE, NEW PROJECT NEW SITE
🌲🌴 RESIDENTIAL PROPERTY
✅ NO DOWN PAYMENT.
✅ NO RESIDENTIAL FEE.
✅ SITE VISITING NI KILA SIKU
👌 GOOD FOR RETIREMENT OR BAKASYUNAN.
✅ ACCESSIBLE AREA.
✅ HINDI BINABAHA.
✅ FRESH AIR CONDITION.
💵 PRICE LIST (FUTY)
50×30=800,000/=
50×40=1,200,000/=...
Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana vikwazo vipya dhidi ya Russia kwa sababu ya RussiaUkraineWar ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku kuagiza dhahabu kutoka nchini humo na kuzuia mali za Sberbank
Vikwazo hivyo vinakusudia kuadhibu na kudhoofisha uchumi wa Urusi ambapo Usafirishaji wa...
Awamu ya SITA imejikita kwenye kuliponya na kuliunganisha taifa dhidi ya Yale yasiyofaa ya awamu ya Tano.
Kuna waliomizwa na kuteswa sana na hata kupotea wengine. Jeshi la polisi Lina jukumu la kulinda usalama wa raia na Mali zao. Afande Sirro alikuwa mkuu wa chombo cha kulinda usalama wa raia...
Habari za majukumu wana JamiiForums.
Andiko langu la leo ni juu ya namna ya mshahara wa mtumishi ulipwe, kuzingatia mabadiliko ya mifumo ya maisha kupanda na kushuka kwa gharama za maisha napendekeza watumishi wa umma walipwe kwa awamu mbili nikiwa na maana ya tarehe 15 na tarehe 30 ya mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.