awamu ya tano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Rais Samia: Kulikuwa na vinenoneno miradi haitaendelea, inaendelezwa kuliko ilivyokuwa ikiendelea

    Rais Samia Suluhu akiwa mkoani Mara kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa maji ameongelea suala la miradi ya Serikali. Ameuongelea mradi huo ulioanzishwa na Serikali ya awamu ya tano lakini ukakwamishwa na mkandarasi na kuamua kumbadilisha ili kumalizia mradi. Pia Rais Samia ameongelea spidi ya...
  2. Jidu La Mabambasi

    CCM msituletee tena viongozi kama Awamu ya Tano

    Aina ya uongozi kama ule wa Awamu ya Tano ulikuwa balaa kwa mustakabali wa umoja wa nchi yetu. Sina haja ya kurudia madhambi mabaya ya Awamu ya Tano maana kila mtu yalimgusa. Kiini cha hayo matatizo ni kinyang'anyiro cha urais wa 2015 ambapo walijitokeza wagombea zaidi ya 40. Naona hili...
  3. James Martin

    Inaonesha hila alizofanyiwa mfanyabiashara Ramadhani Ntunzwe zilikuwa na baraka za Serikali ya awamu ya tano

    Tangu mwaka jana nimekuwa nikimsikiliza mfanyabiashara Ramadhani Ntunzwe anavyosumbuliwa bila kupata ufumbuzi. Nina imani kabisa rais wa wakati huo kama kweli alikuwa na nia ya kumaliza jambo hilo lisingechukua muda mrefu kiasi hiki. Pia nadiriki kusema mateso aliyoyapata huyu mfanyabiashara...
  4. masara

    Ikitokea unawaza kwa sauti juu ya mabadiliko yaliyotokea uongozi wa awamu ya tano na ya sita, kwa huu muda mfupi unafikiri tutasikia maneno

    Kwanza natoa pongezi kwa uongozi wote wa awamu ya sita kwa jitihada kubwa inayofanywa hasa ya kuondoa ujinga kwa watoto wetu kwa kuwekeza nguvu kubwa kwenye kujenga shule na hospitali kila mahali kwa speed ya hali ya juu na kuendana na mahitaji na muda unaotakiwa, jambo ambalo limelazimika hadi...
  5. vnn

    Kama hii ni kweli, basi mikopo ya awamu ya tano ilikua ya ajabu sana, ukweli ndio unajulikana sasa

    Hiki ni kichekesho, inamaana hata reli yenyewe haijakamilika tayari mkopo wake umeshaanza kulipwa? hivi vitu walikua wanafanya wasomi au?
  6. M

    David Kafulila na Hujuma Kwa Serikali Ya Awamu ya Tano

    David Kafulila bila Shaka ni mtaalamu mkubwa wa hujuma. Alikuwa Chadema huko alishirikiana na kundi lake kulihujumu hicho chama. Baadaye alihamia NCCR Mageusi huko nako alihujumu kabla ya kutimkia CCCM. Akiwa CCM ametumika sana. Na katika hawamu ya 5 amepiga kila haina ya hujuma. Kwa sasa...
  7. Mawematatu

    Awamu ya Tano kuondoka ada Ili mzazi ale keki ipi ya nchi hii

    Sikuona sababu yoyote kumuachia malaika wa watu na vijana waende shule hadi kidato cha nne Bure. Nchi yetu tangu uhuru tunaijenga. Wazee wetu walijenga nchi kwa nguvu nyingi wakiendelea kutangukia mbele ya haki. Sisi tusome Bure Bure bila hata senti kwa keki ipi tuliyohangaika nanyo...
  8. nyboma

    Je? Zitto Kabwe ni kibaraka wa awamu ya tano chini ya serikali ya Samia Suluhu Hassan

    Jumuiya ya kimataifa (wabeberu) wameikalia kooni serikali ya Mh. Samia Suluhu, kwa kutuma mawakala wake kufuatilia kila hatua jinsi kesi ya kubumba (mchongo) inayomkabili Mh. Mbowe na kutuma ripoti kwa kila hatua inavyoendeshwa. Na wameahidi hakuna kutuma misaada hadi pale watakapomuachia Mh...
  9. MwajabuOmary

    Tanzania na awamu za uongozi, ya Kwanza hadi ya Sita

    Kumekuwepo na mjadala mkali juu ya kutaka kujua watanzania tuko awamu ya sita au bado tuko awamu ya tano? Mtanzania mwenzetu Ndugu Polepole ametanabaisha kwamba tuko awmu ya tano(5) bado. Watanzania walio wengi wameaminishwa kwamba tuko awamu ya sita (6) Nimejaribu kutafakari kwa kupitia hoja...
  10. S

    Kwa kauli hii ya rais Samia ni dhahiri awamu ya tano ilikuwa 'One Man Show'

    Rais amesema " upigaji ulifanyika awamu ya tano lkn jumba bovu inaanushiwa awamu ya sita. Sitakubali". Kama angekuwa mshiriki mkuuktk uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano rais SSH asingekubali hata awamu ya tano idhalilike. Lkn anaona ni sawa kwakuwa hakuhusika kwa chochote. Alikuwepo kama...
  11. thetallest

    Rais Samia chukua hatua kali zaidi, ulikuwepo Awamu ya Tano na sasa upo Awamu ya Sita, unaijua serikali barabara!

    Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo, kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu. Nikupe mfano, kwa kinachoendelea bandarini, kama ukweli uko...
  12. R

    Nitamsaidia Humphrey Polepole kutaja wahuni(Hooligans) ambao sio tu hawakumalizwa bali waliongezeka awamu ya tano mara 100 zaidi

    Mh Polepole naona anazunguka sana kuwataja majina na level zao wahuni ambao anadai Serikali ya Awamu ya Tano ilishindwa kumalizana nao. Kwanza Polepole anakubali kuwa Wahuni hao ni wanachama wa CCM. Pili Mh Polepole hakatai kuwa Wahuni hao (Hooligans) ni viongozi ndani ya chama na wengine...
  13. mgt software

    Video ya Aliyekuwa Rais awamu ya Tano hakikataa utitiri wa Mikoa, Awamu ya Sita anaweza kuipitia kama Funzo

    Wana Jf Kwa mara nyingi Marehemu JPM alisistiza na kukataa utitiri wa Mikoa, akadai wakati wananchi wanateseka na kodi kuzalisha, wao wanazunguka zunguka tu na matumbo. Ona wenyewe
  14. Countrywide

    Bandari ya Bagamoyo: Waziri Mwambe asema Wachina walisema Dar hadi Pangani, na sio Mtwara hadi Tanga

    SERIKALI YAMKANA HAYATI MAGUFULI Waziri Mwambe amesema haya ''Kuna jambo niliweke sawa ilisemwa kuwa wachina walisema kusiendelezwe bandari yoyote kutoka Mtwara hadi Tanga,sio kweli. Hayo maneno sijui yalitoka wapi, kilichosemwa ni kwamba kuanzia Dar es Salaam hadi Pangani kusiendelezwe...
  15. S

    Tatizo la umeme: Awamu ya tano haiwezi kukwepa lawama labda tu kama madai hayana ukweli

    By Zitto kupitia twitter: Mradi wa 300MW Mtwara ulisimama. Mradi wa 350MW Kilwa ulisimama. Mradi wa nyongeza Kinyerezi 185MW ulisimama. Mradi wa Kinyerezi 3 and 4 umesimama. Utapata wapi Umeme kulisha nyongeza ya shughuli za Uchumi baada kufungua Nchi? Miradi yote ya Umeme iliyokuwa kwenye...
  16. peno hasegawa

    Nimefuatilia utendaji kazi wa Rais Samia, PM Majaliwa na VP Mpango, huwezi kuamini awamu ya tano walikuwa wamoja na Hayati Magufuli

    Ukilala ukiamka, ukafuatilia uteuzi, utendaji na miradi mkakati iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tano, utaona wazi viongozi niliowataja walikuwa wanasali na kuomba JPM atakufa lini ili wafanye yakao. Ila hawakumbuki kuwa wanaongoza wananchi 60m ambao hawajawahi kuwaomba kura wala...
  17. Freddie Matuja

    Achunguzi ufanywe kwa Rais Magufuli au kwa Serikali ya awamu ya tano?

    Waslaam wakubwa Naomba nianze na swali la msingi ambalo limekuwa sehemu ya mjadala. JSerikali ya awamu ya Tano ni nini au ni nani? Swali la serikali ni nini? bila shaka huu ni mfumo wa utawala wa pamoja, mfumo wa kitaasisi ambapo kiongozi akishirikiana na wenzake wengi kuunda serikali. Awamu...
  18. Mwande na Mndewa

    Kwako Nape, umeona hela ya mkopo aliyokula Hayati Dkt. Magufuli?

    HELA YA MKOPO ALIYOKULA JPM HII HAPA. Tuliona utendaji wa kuacha alama katika awamu ya tano, tuliona uwajibikaji uliotukuka na kwa hakika Mabadiliko ya kimaendeleo yaligusa kila mmoja wetu, kama uoni basi utashika utagundua Kweli kuna mabadiliko, kama hushiki basi utakanyaga na utagundua...
  19. Cannabis

    Japhari Kubecha, Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM: Wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa diplomasia

    Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema...
  20. J

    Rais Samia Suluhu Hassan: Hii ni Serikali ya Awamu ya 6

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema hii ni Serikali ya awamu ya 6 hivyo atakayeshindwa kasi yake ataachwa njiani. Namshukuru sana Rais Samia kwa kuliweka sawa hili kwani jana watu wengi walinibishia nilipowaambia mimi naamini hii ni awamu ya 6. Kila zama na kitabu chake. Maendeleo hayana vyama!
Back
Top Bottom