atuhumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Chemba: Mkuu wa Elimu Msingi atuhumiwa kwa Ubadhirifu na Unyanyasaji akidaiwa kuwa na Mtandao wa Kumlinda

    Wilaya ya Chemba imegeuka kitovu cha malalamiko makubwa baada ya walimu na watumishi wa Idara ya Elimu Msingi wilayani humo kuibuka na tuhuma nzito dhidi ya Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi, Bw. Josephat Ambilikile. Wakiwa wamechoshwa na kile wanachoita utendaji mbovu, matumizi mabaya ya madaraka...
  2. galimoshi

    Joto la ubunge jimbo la Tunduma, Momba lapanda joto, Silinde atuhumiwa kuhujumu Sichalwe

    Na Mwandishi Wetu-Momba JOTO kisiasa katika majimbo yaliyopo mkoani Songwe limeamza kupanda baada ya Mbunge wa Tunduma, David Silinde kudaiwa kuandaa vijana kumzuia mbunge wa Momba, Condester Sichalwe asihudhurie mkutano wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya...
  3. S

    Mjane amtuhumu Mbunge wa Tanga, Ummy Mwalimu kwa kumtapeli shamba la ekari 40

    Mjane amtuhumu Mbunge wa Tanga, Ummy Mwalimu kwa kumtapeli shamba la ekari 40
  4. Roving Journalist

    Zanzibar: Wawili wakamatwa kwa tuhuma za kubaka, mmoja atuhumiwa kumbaka mtoto wa mwaka mmoja na nusu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kubaka watoto katika matukio mawili tofauti. Akizungumza na waandishi wa habari huko Tunguu, Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Kusini Unguja Kamanda wa Polisi Mkoa huo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) DANIEL...
  5. Nyanswe Nsame

    PreGE2025 Angelina Mabula atuhumiwa kutengeneza mpasuko CCM, ubadhirifu watajwa

    ANGELINA MABULA ATUHUMIWA KUTENGENEZA MPASUKO CCM, UBADHIRIFU WATAJWA Mbunge wa jimbo la Ilemela mkoani Mwanza, Angelina Mabula ameingia katika vita kubwa na viongozi wenzake wa Chama cha mapinduzi ccm kutokana na kuendesha genge la vijana wahuni wanaotukana na kuanzisha fujo katika mikutano ya...
  6. Poppy Hatonn

    DOKEZO Polisi Pemba atuhumiwa kumbaka msichana wa miaka saba

    Hizi habari za jana, Mama mmoja Pemba analalamika kwamba mtoto wake, Hamida, anayesoma darasa la kwanza amebakwa na Askari Polisi, Godfrey huko Pemba Anasema yeye anakaa Police Quarter huko Pemba na huyo Askari ni jirani yake na usiku alikuwa anamfuata yule mtoto na kumbaka kwa sababu mtoto...
  7. JanguKamaJangu

    Polisi yamshikilia Staa wa Man. City, atuhumiwa kukwapua simu ya shabiki

    Kiungo wa Manchester City, Matheus Nunes anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kukwapua simu ya shabiki ambaye alitaka kumpiga picha wakati alipokuwa msalani kwenye ukumbi wa starehe usiku. Licha ya taarifa hizo kujulikana leo Oktoba 2, 2024, Nunes (26) raia wa Ureno ambaye alisajiliwa na City kwa...
  8. W

    Rais wa Zamani wa Argentina atuhumiwa kwa kosa la Unyanyasaji

    Rais wa zamani wa Argentina, Albero Fernandez (65) anatuhumiwa kwa mashtaka ya Unyanyasaji dhidi ya mke wake wa zamani Fabiola Yañez (43) Waendesha mashataka nchini humo wameanza uchunguzi dhidi ya tuhuma hizo baada ya Fabiola kuwasilisha mashtaka ya kupigwa na kulazimishwa kutoa ujauzito...
  9. Ndagullachrles

    DOKEZO Kigogo Benki ya KCBL atuhumiwa kwa ufisadi

    BENKI ya ushirika mkoani Kilimanjaro,imeanziaha uchunguzi wa tuhuma za ufisadi wa mabilioni ya fedha za benki hiyo zinamkabili kigogo mmoja ndani ya benji hiyo . Taarifa kutoka ndani ya benki hiyo zinadai kuwa uchunguzi huo unafanywa kwa ushirikiano na Benki kuu (BoT) na Benki ya CRDB...
  10. BARD AI

    Diddy atuhumiwa na Mwanamke mwingine kwa udhalilishaji wa Kingono

    Sean "Diddy" Combs anakabiliwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kijinsia. Mwanamitindo wa zamani Crystal McKinney anadai rapper huyo aliyefedheheshwa aliwahi kumlazimisha kufanya ngono ya mdomo kufuatia hafla ya Wiki ya Mitindo ya Wanaume mnamo 2003. kulingana na hati za mahakama...
  11. Mjanja M1

    PreGE2025 RC wa MBEYA atuhumiwa kuhujumu maandamano ya CHADEMA Mbeya

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Homera amekuwa akiandaa njama za kudhoofisha maandamano ya chama hicho yaliyopangwa kufanyika jijini Mbeya Jumanne, Februari 20.2024 Akizungumza na wanahabari kwenye Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyassa zilizopo...
  12. G

    Arusha: Mwanaume auawa kikatili na kulawitiwa, mke atuhumiwa

    MUHIMU: Mtuhumiwa hana hatia mpaka itakapodhibitika ana hatia, the accused is considered innocent until proven guilty Mtindo huu wa mauaji umeanza kushika kasi Arusha, ni miezi michache iliyopita kulikuwa na tukio la mwanamke kukodi majambazi yamuue mme wake huko Arumeru. hivi tena kuna...
  13. K

    Waziri Masauni Atuhumiwa Kukwamisha Maslahi Ya Askari Wizara Ya Mambo Ya Ndani Kwa Maslahi Yake

    Askari walioko chini ya Wisara ya Mambo ya Ndani kutoka Polisi,Magereza,Fire nk wamekuwa wakimtuhumu Waziri Wa Mambo ya Ndani na watumishi wengine Wizarani kuzuia kwa maksudi posho yao ya UMEME na MAJI,huku wakitumia posho hiyo kujifaisha wenyewe kwa kujenga majumba ya kifa ha ri maeneo...
  14. Suley2019

    Mwalimu atuhumiwa kuwaharibu wasichana watano

    Mwalimu wa kiume aliyejulikana kwa jina moja la Ngoitanile anayekaribia kuwa na umri wa miaka 60 anayefundisha Shule ya Msingi Mwembetogwa iliyopo Mtila Kata ya Matola Halmashauri ya Mji wa Njombe, amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za ukatili wa kuwaingiza vidole sehemu za siri Watoto watano...
  15. JanguKamaJangu

    Mke atuhumiwa kumpiga mumewe kwa rungu na kupelekea kifo chake

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja Mkoani Iringa amempiga na rungu mumewe hadi kupelekea kifo baada ya kuwepo kwa ugomvi kati yao. Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limethibitisha kumshikilia mwanamke aitwaye Aurelia Kalolo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 kwa kosa la kumpiga...
  16. JanguKamaJangu

    Director wa RayVanny atuhumiwa ‘kumuiba’ mtoto wake na kutokomea naye, mzazi mwenzake abaki analia

    Mpigapicha na Muongozaji Video (Director) wa Msanii Rayvanny anayefahamika kwa jina la Eric Mzava anatuhumiwa kuiba mtoto wake na kutokomea naye huku akimuacha mzazi wenzake akihaha kumtafuta. Akisimulia stori hiyo, mama wa mtoto ambaye ndiye mzazi mwenza wa Mzava anasema: “Mzava ni mzazi...
  17. Roving Journalist

    Mbeya: Atuhumiwa kumuua mtoto wa kambo kwa kumpiga na kitu kizito kichwani kisha amtupa kwenye shimo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ZAWADI SASTONI NZUNJE [30] Mkazi wa Igalako Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kambo aitwaye MESHAKI FAZILI MLAWA [12] Mkazi wa Kapyo kwa kumpiga kwa kitu kizito kichwani na kukimbia kusikojulikana. Kamanda wa Polisi...
  18. Mohammed wa 5

    Geita: Mwalimu atuhumiwa kumuua mkewe

    HABARI Polisi mkoani Geita wamelazimika kufukua ndani ya nyumba ya mwalimu Francis Elizeus wa shule ya msingi Lubanga baada ya ndugu wa mke wake kumtuhumu kuwa amemuua mke wake Jenifer Mashimo na kumfukia ndani hali iliyopelekea ndugu hao kumtishia maisha mwalimu huyo. Mke wa Mwalimu huyo...
  19. JanguKamaJangu

    Mwanza: Mzee wa miaka 50 atuhumiwa kumbaka binti wa miaka 7

    Mwanaume mmoja mwenye umri zaidi ya miaka 50 aliyejulikana kwa jina la Hakimu Juma, mkazi wa Chamwenda, Kata ya Nyansaka Wilayani Ilemela Jijini Mwanza amejikuta matatani baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kumbaka binti wa miaka saba mtoto wa jirani yake. Inadaiwa kwamba mzee huyo amekuwa na...
  20. BARD AI

    Manyara: Naibu Waziri Pauline Gekul atuhumiwa kuchochea migogoro ya ardhi

    RC Makongoro Nyerere ametoa tuhuma hizo dhidi ya Gekul na kumtaja pia Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji, Babati, Abdulrahaman Kololi kwa kuwatuma wananchi kuvamia shamba la mwekezaji Amemwagiza RPC George Katabazi kuwakamata waliovamia shamba wahojiwe hadi wawataje wanaowatuma, na kudai kuwa...
Back
Top Bottom