atuhumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sildenafil Citrate

    Mbeya: Amuua mwanafunzi mwenzie kwa shoka baada ya kushindwa kumbaka

    Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Sinde jijini Mbeya, Faraja Kasole (16), ameuawa kwa kukatwa na shoka shingoni na mwanafunzi mwenzie aitwaye Humphrey Ngogo (17) mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Iduda, baada ya kushindwa kumbaka. Chanzo cha mauaji hayo...
  2. JanguKamaJangu

    Mwalimu Shule ya Msingi atuhumiwa kumdhalilisha kisha kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano Pemba

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, litampandisha Mahakamani wakati wowote, Mwalimu skuli ya Msingi ya Madungu wilaya ya Chake chake Pemba, Ali Makame Khatib, akidaiwa kumchezea sehemu zake za siri na kisha kumbaka, mwanafunzi wake wa darasa la tano skuli hapo. Taarifa za Jeshi hilo...
  3. Roving Journalist

    Mstaafu wa Jeshi atuhumiwa kuua kwa risasi kisa mgogoro wa mipaka

    Jonas Ziganyige (71) mstaafu wa Jeshi la Wananchi, Mkazi wa Mbezi Juu kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Patient Romwadi (48) mfanyabiashara, Mkazi wa Wazo Mivumoni, Kinondoni katika mgogoro wa mipaka. Mtuhumiwa anadaiwa kufanya tukio hilo Julai 9, 2022 ambapo marehemu alifika eneo...
  4. Gama

    Trump ametuhumiwa kupanga njama ya kuipindua Serikali ya Joe Biden

    Trump ametuhumiwa kupanga njama ya kuipindua Serikali ya Joe kwa kuchochea maandambano na vurugu zilizzofanyika Jan 6 2021 kwa waandamamji kuvamia jengp la Bunge FUATILIA HAPA Trump accused of 'attempted coup' in Capitol riot Former US President Donald Trump orchestrated last year's Capitol...
  5. John Haramba

    Atuhumiwa kuua mke na kumzika, juu ya shimo apanda mpunga

    Mkazi wa Tandahimba mkoani Mtwara, Shaibu Kauselela anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kumuua mkewe na kitu Kizito kinachodhaniwa kuwa na ncha kali na baadaye kumzika kwenye shamba na kupanda mpunga ili kupoteza ushahidi. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani hapo, Kaimu Kamanda wa...
  6. Dr. Wansegamila

    Muhudumu wa afya na mwanafunzi wa udaktari (intern) hospitali ya wilaya Kaliua, mkoani Tabora wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini

    Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini. Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku. Mmoja...
  7. Nuraty J

    Uyui, Tabora: Atuhumiwa kumuua aliyemuoa mkewe

    By Mwandishi Wetu Tabora. Mkazi wa Kijiji Cha Nyangahe, kitongoji cha Lungu ,wilayani Uyui, Mhonyiwa Mwanagwalila. anatuhumiwa kumuua Mgogo Gwahendwa ambaye alimuoa mke aliyemuacha. Akizungumza na waandishi wa habari, leo Jumatano Agosti 11, Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Safia...
  8. Roving Journalist

    Afande Sele( Seleman Msindi), asomewa dua ya kufa kabla ya Ramadhan ya 2021 kufika, atuhumiwa kumkufuru Mungu

    Salaam Wakuu, Kuna Video inasambaa ikimuonesha Sheikh akiomba kwa Mwenyezi Mungu muumba Mbingu na Nchi amchukue Msanii wa Bongo Fleva Afande Sele kabla ya ramadhan kufika. Je, kulikuwa na ulazima huo? Afande Sele anatuhumiwa kumkufuru na kumkashifu na kumkejeli na kumkifuru Mungu. Afande Sele...
Back
Top Bottom