atcl

Air Tanzania is the flag carrier airline of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. NairobiWalker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, shirika la ATCL linatoka Shimoni kwenda gizani?

    https://www.bbc.com/swahili/59765481?at_campaign=64&at_custom1=%5Bpost+type%5D&at_custom3=BBC+Swahili&at_custom4=86F55B8E-63A2-11EC-A562-145816F31EAE&at_custom2=facebook_page&at_medium=custom7
  2. X

    JamiiForums Tanzania Jobs Vacancy at ATCL December 2021

    air tanzania jobs 2021, air tanzania cabin crew vacancy, air tanzania internship 2021, precision air jobs 2021, precision air jobs 2020 ABOUT ATCL Air Tanzania Company Limited (ATCL) (Swahili: Kampuni ya Ndege ya Tanzania) is the flag carrier airline of Tanzania based in Dar es Salaam with its...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aipongeza ATCL kwa kuchanja mbuga, Kenya sasa ni Tshs 770,000 tu

    Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza ATCL kwa kupanua biashara ya usafiri na usafirishaji ya anga, hasa baada ya ATCL kuongeza safari zake za kibiashara kwa karibu mara tatu. Rais Samia ameipongeza zaidi ATCL kwa kurejesha Safari za Kenya Nairobi tena kwa gharama ndogo ya...
  4. Sophist

    JamiiForums Tanzania Nini kilipelekea vijana wa Tanzania kuteka ndege ya ATC 1982 Mwanza?

    Hi there! Do you remember our history. Here is a story written 27 years ago: Tanzania Jet Hijacked; 2 Are Reported Killed Published: February 27, 1982 Hijackers demanding the resignation of President Julius K. Nyerere of Tanzania seized a Tanzanian jetliner with more than 90 passengers...
  5. M

    JamiiForums Tanzania ATCL yatakiwa irejeshe Serikalini Tsh bilioni 896 ilizopewa kama ruzuku bila kufuata utaratibu

    Tanzania (TC, Dar es Salaam) will have to repay TZS896 billion shillings (USD388.8 million) illegally received from government coffers without prior approval from the country’s Ministry of Finance and Planning, according to the Parliamentary Accounts Committee (PAC). Committee Vice-Chairman...
  6. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JKIA (KEN) get ready for ATCL

    Final our new bird will start flying to KEN from TZ.
  7. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya safari za ATCL kuelekea Chato Airport

    Wote waliotangaza kuwa Chato airport imegeuzwa ya kuanikia mahindi na dagaa na walelewa Ubelgiji wote waje washuhudie ratiba ya ATCL hapa chini. ATCL inatua Chato mara tatu kwa wiki na ikiwa imejaza abiria.
  8. Mwanamaji

    JamiiForums Tanzania Another milestone: Klabu ya Simba SC na shirika la ndege ATCL zaingia mkataba wa udhamini kwa miaka miwili

    Klabu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam na shirika la ndege Tanzania, ATCL zimeingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya takribani milioni mianne. Katika makubaliano hayo, Shirika la ndege ATCL litakua ndio mshirika rasmi wa klabu ya Simba katika masuala ya safari za anga za ndani na nje...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu wa kibiashara, shirika la ATCL litakufa kibudu siku si nyingi

    Kusudio la kuanzishwa, kufunguliwa na kuhuishwa kwa shirika mama la usafiri wa anga la nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa lijiendeshe kibiashara, lipate faida na liweze kujisimamia na kujihudumia lenyewe bila kuwa mzigo kwa serikali. Shirika la ATCL limekuwa na flight cancellation za mara kwa...
  10. BAK

    JamiiForums Tanzania ATCL yaanzisha kibubu kwa abiria wanaotaka kulipia nauli kidogo kidogo

    ATCL yaanzisha kibubu kwa abiria wanaotaka kulipia nauli kidogo kidogo THURSDAY SEPTEMBER 09 2021 Summary Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeanzisha mpango wa "kibubu" utakaowawezesha wananchi kulipia kidogo kidogo mpaka atakapo kamilisha malipo ya tiketi yake ya ndege. By Waandishi Wetu...
  11. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania ATCL tunakwama wapi katika azma yetu ya kuwahudumia wanyonge wa nchi hii?

    Hapa chini ni bookings za ATCL & Precision zilizofanywa na vijana fulani wanaotarajia kusafiri miezi kadhaa ijayo. Tarehe, destinations na madaraja - vyote vinafanana kwa bookings zote mbili. Tumekuwa tukiaminishwa kuwa ATCL, pamoja na malengo mengine, ipo kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania...
  12. mshale21

    JamiiForums Tanzania ATCL waanzisha kibubu kwa abiria wanaotaka kulipia nauli kidogo kidogo, Wahamasishaji kupewa zawadi

    Dar es Salaam Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeanzisha mpango wa "kibubu" utakaowawezesha wananchi kulipia kidogo kidogo mpaka atakapo kamilisha malipo ya tiketi yake ya ndege. Katika mpango huo, mwananchi atatakiwa kuweka Sh50,000 kwa mara ya kwanza na kiasi kinachobakia atatakiwa kulipa...
  13. msovero

    JamiiForums Tanzania Je, serikali ilitudanganya kwamba shirika la ndege ATCL linajiendesha kwa hasara?

    Kuna muda nakuwa nashindwa kuielewa hii serikali yangu. Pengine labda ni kutokana na uelewa na ufahamu mdogo nilionao kuhusu uendeshaji wa shirika letu la ndege kwani kauli na kaguzi zinazotolewa na serikali kuhusu uendeshwaji wa shirika hili zinanichanganya sana. Kwenye ripoti ya ukaguzi wa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wastaafu ATCL bado hawajalipwa licha Waziri Mkuu kueleza umma vinginevyo

    Muda usiopungua miaka kumi na hadi sasa wapo wastaafu wa Air Tanzania Company Limited wanadai mafao ya PPF sasa PSSSF hawajalipwa. Wastaafu wa ATCL wanadai haki yao kwa kuwa walikatwa kutoka katika mishahara lakini haikupelekwa PSSSF (PPF) hivyo kuwafanya waambulie mafao kidogo wakati wa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania iendelee kununua ndege?

    Leo Jumatano Septemba 01, 2021 Gazeti la HABARI LEO limeachia Makala yangu kwenye ukurasa wake wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari "KWANINI NI MUHIMU TANZANIA IENDELEE KUNUNUA NDEGE?. Mjadala mzuri na mkubwa sana. Ni hivi, katika juhudi za kufufua Shirika la ndege na kuimarisha sekta ya anga...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watani acheni mzaha, deni la ATCL bilioni 472.8B??? Mbona kama mlikurupuka kwenye hii biashara

    Hamkutulia mfanye utafiti nini tija ya hii biashara na namna gani inaendeshwa, mkawakuta Fastjet na kuwatupia nje....yaani deni lote hili mbona linatia kiwewe...na bado mnasubiri mindege ije.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Fedha ya Bunge PAC yatoa tamko: ATCL iko mahututi, itakufa hivi karibuni

    Katika kuthibitisha kile ambacho wanasiasa wa upinzani na wananchi kwa ujumla wamekuwa wakikipigia kelele siku zote na serikali kujifanya kiziwi haitaki kusikia, makamu mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Bunge, Japhet Hasunga, ametoa tamko rasmi kwamba shirika la ndege la Tanzania ATCL liko...
  18. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapigwa butwaa na Deni la ATCL kufika bilioni 472. Kuna hatari ya shirika kufa

    Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati. HT gazeti Mwananchi.
  19. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania David Mataka wa ATCL, ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa kulisababishia hasara ya Tsh Bilioni 71 shirika

    Bosi wa zamani wa ATCL, David Mataka amehukumiwa kwenda jela miaka minne ama kulipa faini ya Sh milioni 8 baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia shirika hasara ya Sh bilioni 100. ==== Mataka wa ATCL Ahukumiwa Jela Miaka 4 August 20, 2021 Mkurugenzi Mkuu wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ukipanda Basi unafika Dar mapema kuliko aliekata tiketi ya ndege za ATCL

    Iwe unatokea Mbeya au Mwanza ukipanda basi lolote lile hata iwe luwinzo mbona unaweza kufika mapema kuliko aliyekata tiketi ya ndege za ATCL. Au mmoja akitoka Mwanza akifika Tinde akapanda tank la mafuta mbona unatangulia kufika yaani wewe wa basi unaenda kumpokea mtu aliyepanda ndege...
Back
Top Bottom