luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Final our new bird will start flying to KEN from TZ.
Sisi tunaona mbele kuliko nyinyi hapo ni swala wa kupata viongozi wazarendo tu kila kitu kitakuwa byeeTatizo mnatapatapa sana bila kukaa mtathmini nini haswa kipau mbele, hebu fuatilia huu uzi hapa
Mradi wa SGR umeendeshwa vibaya na utalitia Taifa hasara kizazi hadi kizazi
Mwaka 1970-1974 mchina alijenga reli ya Tazara ya kisasa kwa wakati huo na watanzania waliaminishwa makubwa Sana juu ya faida ya mradi husika. Miaka 25 tu baada ya mradi kukamilika reli ikachoka, ikakosa wateja, usimamizi mbovu. Zile hadithi na simulizi tamu za manufaa ya mradi huo...www.jamiiforums.com
Sisi tunaona mbele kuliko nyinyi hapo ni swala wa kupata viongozi wazarendo tu kila kitu kitakuwa byee
Umesha sahau majuzi tu kenya na nairobi ilikuwa ndiyo kila kitu hapa EA ila leo hii tunapindua meza kibabe kiandae kusafisha macho hapo nairobi kwa ndege zetu mpya zenye kumetameta kama diamondMiaka yote tangu uhuru mnawasubiri hao "wazarendo", maana hamna hata kimoja mnachokisimamisha kionekane, haya ona hii
Punguza kutafuna miraa.Miaka yote tangu uhuru mnawasubiri hao "wazarendo", maana hamna hata kimoja mnachokisimamisha kionekane, haya ona hii
Kwani humjui huyo?, Wivu, chuki na ukabila ni vinavyomsumbuaPunguza kutafuna miraa.
Hamuwezi kuverify kitu kabla hamjapost!
Huoni ameumbuliwa hadi akafuta huo upotoshaji!
Ndio maana wanategemea chakula cha msaada karne hii!Kwani humjui huyo?, Wivu, chuki na ukabila ni vinavyomsumbua
Miaka yote tangu uhuru mnawasubiri hao "wazarendo", maana hamna hata kimoja mnachokisimamisha kionekane, haya ona hii
Ni way better kuliko daraja la mbao! hapa wakijenga permanent structure daraja linahamishika hili!Safi hii
Na mama samia alipita kule kutafuta kura ktk kampeni ya uchaguzi wa 2020Ni way better kuliko daraja la mbao! hapa wakijenga permanent structure daraja linahamishika hili!