atcl

Air Tanzania is the flag carrier airline of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania ATCL mbona kama delays zimezidi sana

    Wiki hii kumekuwa na delays nyingi sana za ndege za ATCL.hii inasabibsha usumbufu sana sana. Ushari wa bure,kama una ticket ya ATCL,Saa ya kuondoka haina uhakika.Yaani ni kama treni ya kwenda kigoma hiv. Halafu communication ni poor hiv UPDATES. Tumetoka Dar leo saa 11:30 jioni kuelekea...
  2. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Ndege ya ATCL iliyokamatwa uholanzi mbona hatuambiwi chochote; au ndiyo basi tena?

    Huku nyuma awamu ya 5 kila jaribio la wale nawaita wahuni kushika ndege za ATCL ili kulipwa madeni ya mchongo na Tanzania yamekua yanashindwa na ndege zimekua zinaachiwa baada ya muda mfupi. Wakati wa awamu ya 5 tuliona pale jaribio la kushika ndege ya ATCL kule afrika ya kusini liliposhindwa...
  3. Huihui2

    JamiiForums Tanzania ATCL Kaa Mbali na Ushirikiano na KQ

    Kwenye habari za Channel 10 ya Saa 1:00 jioni leo tarehe 19/ 04/ 23, kuna habari inayosema ATCL ina mpango wa kushirikiana na Shirika la Ndege la Kenya maarufu kama KQ. Kama habari hii ni ya kweli, nashauri Watanzania tukemee mipango hii kwa vile uzoefu unaonyesha ushirikiano hauna tija Kama...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Australia iliyofutiwa leseni yatishia kukamata ndege ya Tanzania

    Kampuni ya Indiana Resources ya Australia imetishia kuikamata ndege ya Tanzania endapo itashindwa kulipa fidia kufuatia kesi iliyofunguliwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Uwekezaji (ICSID) Nchini Marekani Kampuni hiyo imeishtak Tanzania baada ya kutaifisha leseni ya uchimbaji...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ili kupunguza hasara, ATCL ifute safari kuelekea vituo visivyo na abiria, hasa Chato

    Ni wazi kwamba ndege ya ATCL inayokwenda Chato huwa inaenda tupu, bila abiria Abiria pekee ni mama Janeth Magufuli na watoto wake au Kalemani. Nashauri ruti hii ifutwe kwa maslahi ya taifa.
  6. Simchezo

    JamiiForums Tanzania ATCL iendeshwe na viongozi wazungu...

    Sioni dalili yoyote ya ATCL kujiendesha kwa kwa faida na kushindana na makampuni mengine ukiwa itaendeshwa na Watz, Asilinia kubwa ya Waafrika hasa Wabongo wana weakness ya asili hata aende shule vipi! ndio maana shirika ili linaleta hasara kila mwaka. Napendekeza lifanyiwe overhaul na uongozi...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania ATCL, Airline in Total Confusion!

    Je, umesafiri kwa ndege za ATCL hivi karibuni? Basi utakumbana na madudu ambayo yalikuwepo miaka takriban 20 iliyopita. Schedules za ndege ni kizungumkuti. Unaweza kusubiri ndege airport utafikiri unasubiri basi la kwenda Igunga. Ndege kuchelewa kuondoka kwa masaa 3 hadi 4 sasa ni jambo la...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Bosi wa Reli, ATCL na TANESCO mnasubiri nini ofisini?

    Ripoti za CAG na TAKUKURU zilizowasilishwa mbele ya Rais Mapema leo Machi 29, 2023 zimeonyesha ufisadi mkubwa katika Mashirika Makubwa ya TRC, ATCL na TANESCO, Mhe Rais amesema waondoke swali je mnasubiri nini? ATCL “Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyoyasema Rais Samia kuhusu ATCL, ni vyema Mkurugenzi akajiuzulu mapema kabla hajatumbuliwa

    Leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya TAKUKURU Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa sana na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku...
  10. Bhaghosha

    JamiiForums Tanzania Ndege za ATCL na huduma ya Kahawa

    Kwa wasafiri wa ndege zetu za ATCL, hivi mmeshawahi kuhudumiwa kinywaji cha kahawa? Ni kitu cha ajabu sana kiwango cha ubora wake ni cha chini kabisa. Yaani wanahudumia chai ya kahawa au kahawa ya rangi. Kwa kuwa Tanzania inalima na kuzalisha kahawa ya kutumia, basi shirika letu lingetumia...
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania Wakati ATCL imelala usingizi wa pono Rwandair waongeza ndege nyingine aina ya Aibus A330-200

    Source: RwandAir- Ndege hiyo mpya ikiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kigali. Shirika la ndege la Rwanda Rwandair Ijumaa ilopita ilipokea ndege ingine mpya kubwa ya Airbus A330-200 kutoka Ufaransa. Ndege hiyo itakuwa ikisafiri masafa marefu kwenda barani Ulaya na Mashariki ya Kati. Lakini...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini hayati Magufuli hakupenda ushindani wa shirika la ndege la Fastjest dhidi ya ATCL?

    Hapo zamani nauli za ndege hasa kwa upande wa fast jet zilikuwa nafuu sana hadi mnyinge kama mimi nikapanda kama mara tatu hivi. Lakini alipoingia hayati magufuli akawafukuza fast jet nchini. Akanunua ndege za kutisha lakini mpaka anafariki nauli hazishikiki. Kwanini hayati Magufuli...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ndege 3 za Air Tanzania (Air Bus) zimepata hitilafu ya kiufundi, haziruki

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema kusimama kwa ndege hizo za Shirika la Ndege (ATCL), aina ya Airbus a220-300 kumetokana na hitilafu ya kiufundi na ambapo watengenezaji waliagiza zisiruke. Amesema Serikali inaendelea na mazungumzo na watengenezaji kuhusu matengenezo ya Ndege hizo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: ATCL yafilisika rasmi, haina ndege za kutosha baada ya ndege tatu kukamatwa. Wanaghairisha safari bila taarifa

    ATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Kweli biashara ya ndege ngumu, Kenya Airways na ukubwa wote wamechemka. Ruto kuiuza kwa Wamarekani. ATCL vipi?

    Rais wa Kenya, William Ruto amekutana na viongozi wakuu wa shirika la ndege la kimarekani la Delta katika mpango wa kuwauzia hisa zote 48.9% zinazomilikiwa na Serikali ya Kenya kwenye shirika hilo. Kenya Airways imekuwa ikitegemea hazina ya Kenya kuweza kujiendesha huku kipindi cha Januari-Juni...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ndege aina ya Airbus A220 ya (ATCL) ilifikaje nchini Uholanzi na kukamatwa?

    Nimelala nikakosa usingizi usiku wa leo nikiwaza, ndege yetu ya Tanzania ilifikaje Uholanzi? 1. Hatuna route ya kwenda Uholanzi 2. Hakuna connection useme ilipitia huko ikakamatwa 3. Haikwenda kwa matengenezo ikakamatwa 4. Ndege zote kubwa zimepakiwa kisingizio injini ni mbovu Kumbe...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

    Muwekezaji wa Kiswidi aliyeshinda tuzo ya Dola za kimarekani milioni 165 ameishawishi Mahakama ya Uholanzi kuishikilia ndege ndege ya Tanzania wakati pingamizi zikiendelea. Mgogoro huo umetokana na kufutwa mpango wa kuendeleza mashamba ya sukari wilayani Bagamoyo umbao ulikuwa na malengo ya...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Air Tanzania yashindwa kutua Bukoba, yageuza kwenda kutua Mwanza

    Ndege ya Air Tanzania imeshindwa kutua Bukoba Airport imerudi Mwanza. Stay tuned ====== UPDATES Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imeshindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera kutokana na hali mbaya ya hewa. Badala yake ndege hiyo imelazimika kutua salama katika...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sanga alia gharama kubwa za tiketi ATCL

    Mbunge wa Makete Festo Sanga ameitaka serikali kuangalia upya bei ya tiketi ya Shirika la Ndege la Air Tanzania kwa kuwa ni kubwa kulinganisha na uhalisia." Ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mapendekezo ya Mapango wa Taifa. Sanga amesema: "Ukikata tiketi ya DSM kwenda...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye Tangazo la Pole kutoka kwa ATCL kwenda kwa Precision Air aniwekee hapa tafadhali

    Zawadi Nono itatolewa na Wadau.
Back
Top Bottom