atcl

Air Tanzania is the flag carrier airline of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia una hii Taarifa muhimu ya Umoja wa Ulaya (EU) kuzuia Ndege za ATCL kutua Ulaya yote kutokana na kutokuwa salama kwa Abiria na mbovu?

    Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchechu: Kulikuwa na changamoto ya kiufundi ratiba za Ndege za ATCL kubadilika

    Akijibu hoja iliyoibuliwa na Mwandishi wa Habari kwenye kikao maalumu baina ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na wahariri, kuhusu changamoto ambayo imekuwa ikijitokeza kwa nyakati tofauti kwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kushindwa kuzingatia muda na ratiba za safari, Msajili wa Hazina, Nehemia...
  3. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania ATCL yafichua udanganyifu wa tiketi bandia uliofanywa na wakala wa Kariakoo

    Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imethibitisha kuwapo kwa udanganyifu wa tiketi za ndege uliohusisha wakala mmoja wa Kariakoo, anayefahamika kama Yasmin Ladha wa kampuni ya Space Travel. Wakazi 32 waliokuwa safarini kutoka Guangzhou, China, walibaini kuwa tiketi zao za kurudi hazikuwepo katika...
  4. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania ATCL yadaiwa Tsh 369 Bilioni wakati ndege zimeegeshwa miaka 7 bila kuruka

    DODOMA — Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inakabiliwa na changamoto kubwa baada ya ndege nne za Airbus A220 kutokutumiwa kwa siku 279 hadi 721 kutokana na matatizo ya kiufundi na upatikanaji wa vipuri. Pia, ndege aina ya DASH 8 Q300 haijatumika kwa zaidi ya miaka saba licha ya kugharimu zaidi...
  5. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Aida Kenan: ATCL iliendeshwa kwa hasara, pamoja na kuongeza ndege, hazina umuhimu kwa wananchi, tufikiri kuwapa sekta binafsi

    Ripoti ya CAG ya mwaka wa fedha 2023/2024, iliyowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, imeonesha kuwa mashirika kadhaa ya umma bado yanaendelea kupata hasara kubwa licha ya uwekezaji mkubwa wa serikali. Kwa mfano, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) ilipokea ruzuku ya serikali ya shilingi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Mapato ya ATCL yameongezeka kutoka Tsh Bilion 254 hadi TSh. Trilioni 1.5

    Shirika la Ndege Tanzania ATCL limeongeza mapato yake kutoka Shilingi Bilioni 254 mwaka 2021 hadi kufikia Shilingi Trilioni 1.5 Februari mwaka 2025, ikichangiwa na Ongezeko la Ndege na safari za ndege kwenda nje ya nchi, kulikofanywa na Serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia abariki ATCL kuwapelea Mahujaji Makka

    Rais Samia amebariki Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupitia ndege yake ya Boeing 737-9 kuwapeleka Mahujaji Makka nchini Saudi Arabia.
  8. J

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Sasa kama wanayajua haya kwanini ATCL, TTCL na SGR zinaendelea kutia hasara kila ripoti ya CAG?

    Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali, Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya...
  9. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania ATCL mmejichanganya ! Hizi safari nitazipangua moja hadi nyingine! Mlioko tayari mjoini

    Naona safari za bei rahisi nyingi sana Nianze zipi wakuu
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ninasikitika na nitaendelea kusikitika juu ya kitendo cha serikali ya Samia na ile ya Magufuli kununua ndege za biashara huku ikiacha mambo muhimu

    Kitendo cha serikali ya Magufuli kununua ndege za biashara halafu kwa kipindi kifupi biashara ikatoa majibu kuwa ni biashara kichaa lakini serikali yake ikaendelea kuagiza ndege zingine. Alipoingia Samia nilitarajia aidha angeuza ndege zote za biashara au angesitisha mpango wa kuongeza ndege...
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge: Injini za Boeng zaleta hasara ya Bilioni 127 kwa ATCL

    Swali: Je ni lazima kuendelea kununua mandege ya kampuni ya Boeng? --- LICHA ya mafanikio yanayopatikana kwenye Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Kamati ya Bunge ya Miundombinu imesema matatizo ya kiusanifu ya injini za Airbus A220-300 ambazo zimekuwa zinapata hitilafu mara kwa mara...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Airbus A220-300 imezalisha hasara ya zaidi ya TSh. Bilioni 127.3 kwa mwaka

    Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula amesema shirika la ndege nchini (ATCL) linakabiliwa na changamoto ambazo zinakwambisha kufikia malengo yake akiitaja changamoto kubwa ni matatizo ya usanifu wa ndege yetu ya Air Bus Airbus A220-300 ambayo imekuwa na hitilafu kwenye Injini zake. Sababu hii...
  13. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kwa usalama wa abiria - Ndege za ATCL zisitishe safari za Congo

    M23 wasije wakatawanya ndege zetu angani huko Congo
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia Ateua Viongozi Wapya ATCL na Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko muhimu katika uongozi wa taasisi mbili nchini kwa kuteua viongozi wapya. Taarifa kutoka Ikulu iliyotolewa tarehe 11 Novemba 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, inaeleza uteuzi huo uliaanza...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini kusiwe na mshindani wa ATCL?.

    Sote tunajua gharama za ATCL zilivyo ghali na hasa safafri za kutoka Mwanza kwenda Dar na Dar kuja Mwanza na hasa nyakati za asubuhi. Binafsi naona kama wasafiri tunaonewa na inaaonyesha kama ATCL siyo Shirika letu sisi Wananchi. Kwanini kusiwe na mshindani wa ATCL kama ilivyokuwa Fastjet...
  16. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Anga Tanzania chini ya ATCL ni ghali kuliko hata usafiri kutoka Bara moja kwenda lingine kwa mataifa mengine

    Usafiri wa anga nchini Tanzania ni usafiri ghali na wa gharama ya juu hadi kufikirisha ukilinganisha na mataifa mengine yakihusisha na safari kutoka bara moja hadi bara jingine. Usafiri wa anga chini ya Air Tanzania kwa kiasi kikubwa ukisaidiana na Precision Air unaonekana kama umewalenga...
  17. Stroke

    JamiiForums Tanzania Hizi ndege za ATCL zimemkosea nini Lissu? Mbona anaziwazia mabaya tu?

    Leo akizungumza na Waandishi wa Habari , Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote...
  18. Mtanzania Tajiri

    JamiiForums Tanzania PPP ni lini mtaziendesha kwa Ubia hizi ATCL na TTCL?

    Kama Kuna mashirika ya Umma yanatafuna Kodi za Watanzania basi ni haya mawili kwa sasa. Kafulila ni lini haya mashirika mtayatafutia mwekezaji wa Ubia? Pia soma: Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2023, wakenya milioni 12 walisafiri kwa ndege ilhali watanzania milioni 3.8. Je, sisi watanzania shida ni umaskini au tunaogopa kusafiri?

    Kwa mujibu wa takwimu za usafiri zilizotolewa na mamlaka ya anga ya Nchi zote inaonesha wakenya wakitumia usafiri wa ndege mara 3 zaidi ya Watanzania ambapo takribani watu Milioni 12.3 walisafiri kwa Ndege huko Kenya wakiwemo wageni zaidi ya mil. 5 na raia zaidi ya mil. 6. Kwa upande wa...
  20. Ngongo

    JamiiForums Tanzania ATCL bado hawajajipanga vizuri

    Heshima sana wanajamvi, Last week nilikuwa UAE 🇦🇪 Dubai, nilitumia usafiri wa ATCL kwa mara ya kwanza. Mambo matano ya hovyo niliyashuhudia. Mosi Wahudumu ni wazee na wana miili mikubwa kama Mama Ntilie. Pili ATCL hawana connection nzuri ambayo ipo lakini kwa ujinga, ushamba, upumbavu...
Back
Top Bottom