Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,335
- 24,232
Je, umesafiri kwa ndege za ATCL hivi karibuni?
Basi utakumbana na madudu ambayo yalikuwepo miaka takriban 20 iliyopita.
Schedules za ndege ni kizungumkuti.
Unaweza kusubiri ndege airport utafikiri unasubiri basi la kwenda Igunga.
Ndege kuchelewa kuondoka kwa masaa 3 hadi 4 sasa ni jambo la kawaida.
Jumatano iliyopita mzungu mmoja na ana lafudhi ya Afrika Kudini alifoka sana kukalishwa airport kwa masaa 12, na bado hakupata kusafiri.
Tatizo inaelekea lipo katika Operation au Flight Scheduling, nilivyosafiri majuzi rubani aliomba radhi kwa hilo, hapo ni baada ya flight kuchelewa masaa manne!
Watu badala ya kuondoka saa moja jioni safari inaanza saa saba na nudu usiku, na kugika kwa mfano Mwanza alfajiri!
Fast Jet walikuwa na ndege mbili tu, sasa ATCL wafikirie kujiondoa kuendesha shirika, limewashinda.
Wawakodishie Fast Jet, wanaoijua biashara.